Rommy Jones amwita Gabo Zigamba mshamba

Sasa ushamba uko wapi?? Yeye alitaka afanyeje??
 
Kiukweli kutoka moyoni nakiri Gabo ni mshamba sana tena hana swag iwe movie iwe kitaa Yaan hata huwa najiuliza hivi eatv wanapataje ujasiri wa kumpa promo mtu kama gabo???

Yaan hata wanaompigiaga kura najiuliza wana chuki na Rey au wana chuki na Tino??

Au kanumba alivokufa watu wamechanganyikiwa hawajui nani awe bora???

Hii mambo ha kusapoti kinachosapotiwa na media, mtakuja kusapoti ushoga baadae.
 
Baada ya kumshinda kiba naona mmegeukia kwa Gabo,kwa taarifa tu gabo ndio muigizahi bora kwa wakat wote baada ya Kanumba,kwa maono yangu.. Halaf hatafutag kiki za kishwain
 
Ulitaka gabo amshike tako wema kama zile pozi za kaka yako na zari?
 
Mwenzie anavuna mataji yeye kakalia wivu wa kike na mipasho!
 
Aliyeleta uzi huu ni mwanaume au mwanamke..?? Kama ni demu basi kicheche na kama ni mshkaji basi ni dege...
 
mond bora angemuachaga huyu boya nw angekuwa shoga aliyekubuh km james delicious...tid mzee kigogo rom alikuwa km dem wake..ashukur mond kumuokoa.
 
Mbona jambo ka kawaida kwa wanaume kutaniana? sasa cha kushangaa hapo ni nini?? Ndio kapozi kama anaogopa hajajiachia vzr kiume angeweka hata mkono mmoja mfukoni huo ulobaki ndo angekunja ili sepetunga aingize mkono wake
 
hii nayo ni habari...no wonder bado ccm inaendelea kutawala!
 
Japo namkubali sana Gabo, lakini kiukweli ana kaushamba fulani, japo Rommy hajafanya poa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…