Romy Jones ndani ya bifu zito na Lamata!

Kwani wanalipwa Sh. ngapi kwa Episode moja wanayocheza au kwa scene moja, tuanzie hapo kwanza. Maana ukisema Romy Jones alikwama akaja kuomba hela huku so kwa kaka yake tuaeambiwa ni Bilionea vipii??
 
Kwani wanalipwa Sh. ngapi kwa Episode moja wanayocheza au kwa scene moja, tuanzie hapo kwanza. Maana ukisema Romy Jones alikwama akaja kuomba hela huku so kwa kaka yake tuaeambiwa ni Bilionea vipii??
Hata kama ni bilionea ndio amlipie kila kitu Mkuu?
Kampa kazi kama DJ wake na makamu wa rais pale WCB inatosha.

Kuhusu malipo sina uhakika.
 
Mimi pia namkubali mno RJ, ila katika hili kazingua.
Ile ni kazi, kukosekana kwa RJ kama moja ya wahusika wakuu katika tamthilia kuna gharama hadi ya kubadili mtiririko mzima wa story.

Usimtetee sababu ya Wasafi Festival, ana makosa kweli.
Ndo maana hajaonekana....wanezuga km kasafiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…