Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
- Thread starter
- #101
Kiukweli, kuna mabadiliko fulani chanya katika maisha yangu ndiyo yamepelekea haya (Ipo siku nitawaambia)Nifah siku hizi umekuja kivingine.
Baada ya kimya ya muda mrefu, umekuwa active sana jukwaani.
Je, huu ni mpango Mkakati?
Mzee baba Habib, alikuja huku. Akatengeneza jina na sasa anapiga hela nje ya ulingo JF.
Waweza kukataa, lakini ukweli ni kuwa JF kulimjenga sana Bw. Anga.
It clicks on my mind, is this a marketing Strategy? Wabongo wanapenda sana umbea, ujijengee jina humu kisha baadae uenende nje ya ulingo kujipakulia minyama.
By the way, si jambo baya. Nakutakia kila la kheri. Nauzimia sana mpangilio wako, hauna mambo mengi. Unaeleweka hata kwa tusiowafahamu wahusika.
Sina maana yoyote zaidi ya kuwapa watu burudani for free, sina mpango mkakati wowote.
Labda tu kukuza taaluma ninayoipenda zaidi ya uandishi wa habari.
Kama uko makini kuna mabadiliko makubwa katika namna ninavyoandika. Hivi sasa ni tofauti na zamani.
Otherwise, hakuna cha ziada.
Asante sana.