Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Kanisa likija kujua kwamba nina dogo dogo litaninyima Sacrament na ndiyo mwanzo wa kutengwa.Tafuta dogodogo akuchekeshe,
Huyo bibi kezee utaomba abaki huko mjini mwaka mzima
Kwa umri huu wa Uzee tunatakiwa kutenda mema na kuongeza ibada, maana hatuna miaka 25 ama 30 mbele ya kuishi kulingana na umri wetu.
Kwahiyo bora niwe najipunguzia upweke kwa kujichatisha humu kutwa kucha kwani Pension yangu bado inanilea.