reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,203
- 28,789
Tuombe MUNGU dadaaaaSasa muda nashindwa kupanga vizuri, ila tufanye saa 4 asubuhi.
Tukutane ubuyuni!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuombe MUNGU dadaaaaSasa muda nashindwa kupanga vizuri, ila tufanye saa 4 asubuhi.
Tukutane ubuyuni!
Basi usijali, wewe usikae mbali na hili jukwaa kwa mwisho huu mwaka utapata kuyajua mengi.Asante sana.
Ujue mimi na ujanja wangu wote Romy Jones nilikuwa simjui ndiyo nakuja kumjulia kwako.
Sasa nikikaa na watu na mimi naweza kujisikia mtu, nikamuongelea mpaka Romy Jones 🤣🤣🤣
Umeongea kitu cha msingi sana.Ila wasanii kazi kama hizi waangalie namna ya kuziweka rasmi
Wawe na mikataba na ratiba zinazo eleweka mtu akikiuka sheria na taratibu zifuatwe
Maana itawakuta mpo kwenye scene mtu ataitwa na mama yake nyumbani ata waacha hapo
Haya mambo ni ishara kwamba bado kazi zina endeshwa kienyeji kienyejiUmeongea kitu cha msingi sana.
Sina uhakika huko mambo yakoje, yangekuwa hivi maana yake RJ angetakiwa kuwajibika kwa kukiuka mkataba.
Mkuu saa nyingine ndugu ndo halipwi kabisa kwa sababu ya kuaminishwa pia yeye ni mmiliki wa WCB. Kuna wakati nilifanya kazi kwa baba mdogo ila nilikuwa wa mwisho kulipwa. Niliondoka mikono mitupuKwa wengine huenda ni haba ila sio kwa RJ, yule ni makamu wa Rais wa WCB ujue?
Na DJ rasmi wa Diamond, yuko pazuri.
Unaweza kuwa sahihi kwa upande wako ila kwa Romy nakataa maana kipindi kile alichovurugana na Diamond akasimamishwa alipauka sana hadi aliporudishwa.Mkuu saa nyingine ndugu ndo halipwi kabisa kwa sababu ya kuaminishwa pia yeye ni mmiliki wa WCB. Kuna wakati nilifanya kazi kwa baba mdogo ila nilikuwa wa mwisho kulipwa. Niliondoka mikono mitupu
Tutafurahi ikiwa hivyo Mkuu, wengine tulishamaliza kulitumikia Taifa hivyo muda mwingi tunapenda kushinda humu katika kupunguza Upweke wakati huu wa Uzee wetu 🤗Asante Mkuu, huu mwaka hadi uishe mtasuuzika roho zenu.
Oohh kwahiyo mama diamond alimnyonyesha pia romy jons auYes, ni ndugu wa damu maana walinyonya ziwa moja, na mama zao ni ndugu pia.
Bill anaweza asirudi tena huko safarini mkaletewa muhusika mpya [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila mimi huwa namkubali, naangaliaga scene zake pekee mara nyingi.
Mkuu, kwani uzee una upweke hata ukizeeka na mtu unayempenda?Tutafurahi ikiwa hivyo Mkuu, wengine tulishamaliza kulitumikia Taifa hivyo muda mwingi tunapenda kushinda humu katika kupunguza Upweke wakati huu wa Uzee wetu 🤗
Ni mwendo wa Pop 🍿 tu
Mama Romy ndio alimnyonyesha Diamond na Romy kwa pamoja.Oohh kwahiyo mama diamond alimnyonyesha pia romy jons au
Dooh wasije wakambadilisha bill kama kipindi kile walivyombadilisha nailah
Bila shaka utakuwa unavutiwa na wanaume weupe, unlike you wanawake wengi wanafuatilia jua kali sababu ya frank (quick rocka), si unajua tena mambo ya tall dark guys
Uzee ni fahari sana Mkuu, shida inakuja pale ambapo ninyi akina Mama muda mwingi mnatumia kwenda kuwasalimia watoto wetu huko Mjini huku mkituacha sisi Wazee wenzenu eti tulinde nyumba.Mkuu, kwani uzee una upweke hata ukizeeka na mtu unayempenda?
Umeniambia vitu vya msingi sana, hakika sitofanya makosa hayo kwa huyu wangu tukizeeka.Uzee ni fahari sana Mkuu, shida inakuja pale ambapo ninyi akina Mama muda mwingi mnatumia kwenda kuwasalimia watoto wetu huko Mjini huku mkituacha sisi Wazee wenzenu eti tulinde nyumba.
Mbaya zaidi ukute tulibahatika kupata watoto wa kutosha, basi ukienda Darisalama utaenda kwa mtoto A, baada ya wiki 2 unaenda kwa mtoto B, then C then D.
Kuja kurudi Kijijini tena unakuta baada ya miezi 6.
Fahari yetu sasa ni kuperuzi humu, tukipigana vikumbo na Vijana huku tukiwaelezea historia ya TANU 🤗
Oohh hapo nimekupataMama Romy ndio alimnyonyesha Diamond na Romy kwa pamoja.
Umekosea, mi na wanaume weupe mbalimbali. Mimi namkubali Romy tu, sio kwa kuvutiwa nae.
Hata wewe Mkuu utakuwa kama huyu Bibi yako ukizeeka, inaonekana mnapenda zaidi kwenda kucheza na wajukuu kuliko kucheza na wenza wenu japo kukumbushia enzi.Umenimbia vitu vya msingi sana, hakika sitofanya makosa hayo kwa huyu wangu tukizeeka.
Nashukuru sana Mkuu.
Tafuta dogodogo akuchekeshe,Hata wewe Mkuu utakuwa kama huyu Bibi yako ukizeeka, inaonekana mnapenda zaidi kwenda kucheza na wajukuu kuliko kucheza na wenza wenu japo kukumbushia enzi.
Ndiyo maana kwenye kila nyumba 10 basi nyumba 6 unakuta sisi akina Babu tulishatangulia mbele za haki na kuwaacha nyie akina Bibi
Upweke una uma Mkuu 😢