Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
hata me naunga mkono fifa hamna kitu we tazama hata afrika mchezaji bora katongo hakuwekwa kwnye list
Akili zako zimekuwa za Kitanzania mpaka zimepitiliza. Puma na Addidas wanaweza kuwa na mkataba na Messi au Blatter (kama ulivyoelekezwa na shangazi yako) lkn umewahi kujiuliza kura zinapigwa na watu wangapi na hao watu ni kina nani? Makocha, manahodha wa timu za taifa, waandishi wa habari hao woote wanahongwa na Addidass? Kweli akili nzuri ukiwa nazo.
Msipende ubishi wa kijingajinga na kitoto wa fulani kahongwa, hakuna mwanaume wa kumuhonga Arsene Wenger kutoa kura yake kwa Messi. By the way, makocha karibu mia tano wanaweza kuhongwa wote?
Ungekuwa na akili basi ungemlinganisha Zidane na Messi na sio Zidane na Ronaldinho. Zidane kachukua mara 3, Messi 4, Gaucho only twice. Kwanza kwa taarifa yako, Ronaldo de Lima 'The phenomenon boy' amekipiga zaidi ya Gaucho. Sema wengi mlikuwa hamjaja mjini. Nimewawekea hata chati ya wachezaji bora wa Brazil, Gaucho hayumo kabisaaaaa kati ya 20
Roho ya wapinga Messi haitaacha kuwatafuna. Amelinganishwa saaana na Christian Ronaldo, baada ya kuona amemuadhiri, mkamlinganisha na Chitalu wa Zambia, kilipoonekana ni kichekesho, mmekuja na Ronaldinho na naamini ipo siku mtamlinganisha na Ngassa wa Azam.
Hii roho itaendelea kuwasumbua na kwa roho hii, hata takwimu mtazikataa na FIFA wataonekana kama wao ndio wanaamua tuzo apewe nani wakati si kweli. Mwingine ameonesha ujuha wake kiasi cha kusema wanahongwa, sasa sijui mtu anawezaje kuwahonga wati zaidi ya 500 wenye misimamo tofauti.
Lionel Andres 'Leo' Messi, ataendelea kuwa Messi, na ataendelea kuandika rekodi mpya kwa kadiri ya kipaji chake. Kichekesho cha kumlinganisha na Ronaldinho ni kikubwa hasa ukizingatia hata baina ya Wabrazil, Ronaldinho alikuwa kama upepo wa kupita tu. Yupo Ronaldo de Lima, huyu ndio hasa nguli wa Kibrazil wa kizazi hiki na kamwe sio Mr. Tabasamu.
Labda mniambie mmeathirika na tabasamu kwa kuwa hapa kwetu linaongoza nchi
Hii list lazima itakuwa imechakachuliwa kwa vigezo viwili moja umalaya wa Dhino, pili hakukaa kwenye peak muda mrefu kutokana na kupoteza muda mrefu pale PSG..! Haiwezikani Ronadhino Gaucho asiwepo. Kuhusu itamchukua muda gani Messi kumfikia Dhino ni kwamba ikiwa atafanikiwa kufanya vitu adimu for next 2 years hapo sasa tunaweza kuongea tofauti..! Good thing ni kwamba the guy is still young he can make it..! Nadhani tupo pamoja..!
samahani inawezekana kweli ulikuwa hujaja mjini kwenye miaka ya 90 mpaka 2000 mwanzoni maoni yako peleka Clouds au kwa Dauda ambae nadhani yeye ni BINAMU yake Cr7 . Mwisho bila kumumunya wala kutafuna ukweli ni kuwa Wepenzi wote wa Man Utd hawampendi Leo Messi Roho zao mbaya kama Aden Rage na SAF Na SHAFFIE DAUDA
Yaani ni Bora kamati ya kikao cha harusi na changizo zao za uchakavu kuliko FIFA hii ya Blatter...
Yaani FIFA wote akili zao ni masaburi masaburi...
Na nimekuwekea na hiyo source nikijuwa utakurupuka kuponda kuwa ni Madrid ndio wanamchafua huyo Eskimo.
Je hiyo habari hujapata isoma kwenye web nyingine?
Na unavyodai kuwa ni watu wa Madrid ndio wameandika hivyo je wewe nukuu zako zimeshushwa?
Au nazo zinaweza kuwa na dalili zote za kumchafua saint Gaucho?
Shida pia ni kuwa na tuzo 4 mfululizo ambazo huzitokei jasho, lakini hujabeba kombe la Dunia ambalo alikwenda South Africa akawa uharo kiasi hata magazeti yakawa yanaogopa kuweka picha yake front page kwani alikosa mvuto akawa kama maiti...
Pambaf
Nachanganyikiwa tuuuuuu.Weka la kwako la mpataji basi...
Sio unajishaua tu kama umenyimwa kibali cha kwenda kwenye ngoma ya biti Jakaya...
Haya mambo yalikwisha pitwa na wakati watu wanataka sexy football samba lakini mabao yawepo sio mimeno nje ka Jembe la Trekta kila saa kucheka hakuna goli haipo hiyo ndo maana Samba sasa imebaki kuchezwa majukwaani Ndani ya Dimba hata Mexico kawagonga fainal ya Olympic London
Sasa man utd inaingiaje tena hapa? Naona huna jipya zaidi ya kuwakumbusha mkono wa Ferguson ulivyokuwa unatetemeka kwenye ule msiba wa 3-1samahani inawezekana kweli ulikuwa hujaja mjini kwenye miaka ya 90 mpaka 2000 mwanzoni maoni yako peleka Clouds au kwa Dauda ambae nadhani yeye ni BINAMU yake Cr7 . Mwisho bila kumumunya wala kutafuna ukweli ni kuwa Wepenzi wote wa Man Utd hawampendi Leo Messi Roho zao mbaya kama Aden Rage na SAF Na SHAFFIE DAUDA
Kuwa na busara japo kudogo basi, mbona unaleta matusi kwenye mambo ya mpira? Punguza kashfa Messi siyo mumeo..!Akili zingine ni za kijinga hadi zimepitiliza. Hapo juu kabisa ya jedwali kuna link, hiyo link ukiifuata itakuletea jedwali hili hili original, sasa sijui una sababu gani za kutaka kubishana na redio.
Muda gani Messi atakuchukua kumfikia Gaucho halikuwa swali, nilikuwa NAKEJELI. Ukiwa na akili timamu, utagundua kuwa rekodi zinaonesha kuwa Messi yupo mbele, kwa MAGOLI, VIKOMBE, POPULARITY, FEDHA, THAMANI na UMUHIMU.
Kama chenga ziliwapendeza, basi mjue kuwa Barca wao wamependezwa na soccer. Hivyo unavyoviita vitu adimu, Austin 'Jay Jay' Okocha alivifanya kwenye kombe la Dunia 1994 Marekani na bado havikumfanya awe mwanasoka bora wa dunia.
Mtaumiza kichwa kwa Jealous zenu. Mnakataa hata takwimu kwa wivu,.....by the way, hivi navyokujibu, Barcelona keshamkandamiza Malaga 2 na ni dkk ya 69. Mbao ya kwanza imewekwa kimiani na Lionel Andres 'Leo' Messi na la pili, Cesc Fabregas. Mtaumwa sana mwaka huu na marehemu wenu huyo
ahame hapo barca huyo messi kama atawika....
Kuwa na busara japo kudogo basi, mbona unaleta matusi kwenye mambo ya mpira? Punguza kashfa Messi siyo mumeo..!
Kuwa na busara japo kudogo basi, mbona unaleta matusi kwenye mambo ya mpira? Punguza kashfa Messi siyo mumeo..!
akienda timu ya Taifa anakuwa mimavi mitupu...
Bwah hah hah hah hah hah haaah...
Mkuu unasema?
Yaani kwako hizi ndio hoja za kudhihirisha ubora wa Gaucho dhidi ya Messi
messi is the product of much training but gaucho is ALL talent.