Ronaldinho alikuwa zaidi ya Messi Barcelona

Ronaldinho alikuwa zaidi ya Messi Barcelona

hata me naunga mkono fifa hamna kitu we tazama hata afrika mchezaji bora katongo hakuwekwa kwnye list


Yaani ni Bora kamati ya kikao cha harusi na changizo zao za uchakavu kuliko FIFA hii ya Blatter...
Yaani FIFA wote akili zao ni masaburi masaburi...
 
Haya mambo yalikwisha pitwa na wakati watu wanataka sexy football samba lakini mabao yawepo sio mimeno nje ka Jembe la Trekta kila saa kucheka hakuna goli haipo hiyo ndo maana Samba sasa imebaki kuchezwa majukwaani Ndani ya Dimba hata Mexico kawagonga fainal ya Olympic London
 
Akili zako zimekuwa za Kitanzania mpaka zimepitiliza. Puma na Addidas wanaweza kuwa na mkataba na Messi au Blatter (kama ulivyoelekezwa na shangazi yako) lkn umewahi kujiuliza kura zinapigwa na watu wangapi na hao watu ni kina nani? Makocha, manahodha wa timu za taifa, waandishi wa habari hao woote wanahongwa na Addidass? Kweli akili nzuri ukiwa nazo.

Msipende ubishi wa kijingajinga na kitoto wa fulani kahongwa, hakuna mwanaume wa kumuhonga Arsene Wenger kutoa kura yake kwa Messi. By the way, makocha karibu mia tano wanaweza kuhongwa wote?

Ungekuwa na akili basi ungemlinganisha Zidane na Messi na sio Zidane na Ronaldinho. Zidane kachukua mara 3, Messi 4, Gaucho only twice. Kwanza kwa taarifa yako, Ronaldo de Lima 'The phenomenon boy' amekipiga zaidi ya Gaucho. Sema wengi mlikuwa hamjaja mjini. Nimewawekea hata chati ya wachezaji bora wa Brazil, Gaucho hayumo kabisaaaaa kati ya 20

BaeleZE BaeleZE PaPPA Hawa ndo kina Dauda eti wachambuzi wa Soka labda wachambuzi wa wali na mpunga.. Kukicha wanapiga Dongo eti Messi hakuwa na Vigezo . Je George WEAH Alipewa kwa vigezo gani! Kama sio kupitia mafanikio ya AC Millan na sio Liberia alipokuja Dar Hussein Masha akamkaba hakufurukuta
 
Roho ya wapinga Messi haitaacha kuwatafuna. Amelinganishwa saaana na Christian Ronaldo, baada ya kuona amemuadhiri, mkamlinganisha na Chitalu wa Zambia, kilipoonekana ni kichekesho, mmekuja na Ronaldinho na naamini ipo siku mtamlinganisha na Ngassa wa Azam.

Hii roho itaendelea kuwasumbua na kwa roho hii, hata takwimu mtazikataa na FIFA wataonekana kama wao ndio wanaamua tuzo apewe nani wakati si kweli. Mwingine ameonesha ujuha wake kiasi cha kusema wanahongwa, sasa sijui mtu anawezaje kuwahonga wati zaidi ya 500 wenye misimamo tofauti.

Lionel Andres 'Leo' Messi, ataendelea kuwa Messi, na ataendelea kuandika rekodi mpya kwa kadiri ya kipaji chake. Kichekesho cha kumlinganisha na Ronaldinho ni kikubwa hasa ukizingatia hata baina ya Wabrazil, Ronaldinho alikuwa kama upepo wa kupita tu. Yupo Ronaldo de Lima, huyu ndio hasa nguli wa Kibrazil wa kizazi hiki na kamwe sio Mr. Tabasamu.

Labda mniambie mmeathirika na tabasamu kwa kuwa hapa kwetu linaongoza nchi

hapa kwenye Tabasamu linaongoza Nchi kutamu Asante
 
Hii list lazima itakuwa imechakachuliwa kwa vigezo viwili moja umalaya wa Dhino, pili hakukaa kwenye peak muda mrefu kutokana na kupoteza muda mrefu pale PSG..! Haiwezikani Ronadhino Gaucho asiwepo. Kuhusu itamchukua muda gani Messi kumfikia Dhino ni kwamba ikiwa atafanikiwa kufanya vitu adimu for next 2 years hapo sasa tunaweza kuongea tofauti..! Good thing ni kwamba the guy is still young he can make it..! Nadhani tupo pamoja..!

samahani inawezekana kweli ulikuwa hujaja mjini kwenye miaka ya 90 mpaka 2000 mwanzoni maoni yako peleka Clouds au kwa Dauda ambae nadhani yeye ni BINAMU yake Cr7 . Mwisho bila kumumunya wala kutafuna ukweli ni kuwa Wepenzi wote wa Man Utd hawampendi Leo Messi Roho zao mbaya kama Aden Rage na SAF Na SHAFFIE DAUDA
 
samahani inawezekana kweli ulikuwa hujaja mjini kwenye miaka ya 90 mpaka 2000 mwanzoni maoni yako peleka Clouds au kwa Dauda ambae nadhani yeye ni BINAMU yake Cr7 . Mwisho bila kumumunya wala kutafuna ukweli ni kuwa Wepenzi wote wa Man Utd hawampendi Leo Messi Roho zao mbaya kama Aden Rage na SAF Na SHAFFIE DAUDA

Yaani hisia zake ziko sahihi kuliko maoni ya wanaojua soka zaidi ya 500 waliomchagua Messi. Kuna watu wanaugua akili hawajijui. Kufungwa na Messi ni jambo la kawaida, lkn kufungwa na Messi kwa kichwa na ufupi ule ni dhalili, lazima wamchukie.

Watu wanadhani Messi anachukua tuzo kwa maoni ya Clouds FM, nooo, Messi anachukua tuzo kwa mguu wake. Mwaka wao huu, jana Messi katupia goli lingine huku visikio mvaa heleni akiendelea kufulia
 
Na nimekuwekea na hiyo source nikijuwa utakurupuka kuponda kuwa ni Madrid ndio wanamchafua huyo Eskimo.
Je hiyo habari hujapata isoma kwenye web nyingine?

Na unavyodai kuwa ni watu wa Madrid ndio wameandika hivyo je wewe nukuu zako zimeshushwa?
Au nazo zinaweza kuwa na dalili zote za kumchafua saint Gaucho?

Acha kutoka mishipa ya koo, ingia kwenye tovuti ya Barca wenyewe angalia nani wanam - rank highly kati ya Messi na Gaucho. Au na Barca nao wanaongozwa na Blatter?

Je na ile list ya Wabrazil nayo imewekwa na Blatter? Manake katika Wabrazil 20 wanaowania tuzo ya Brazilian Player of the Century huyo Gaucho wako hayupo.

Unajua chuki bana haijifichi, majuzi ulimuita Nesi, leo Eskimo sijui kesho utaamka na lipi. Ila nachoweza kukuambia ni kwamba, maneno, chuki, wivu na roho mbaya yako havimpunguzii Messi mafanikio, jana katupia goli moja dhidi ya Malaga. Kaa mbali na sumu na kamba, shetani anakunyemelea
 
Shida pia ni kuwa na tuzo 4 mfululizo ambazo huzitokei jasho, lakini hujabeba kombe la Dunia ambalo alikwenda South Africa akawa uharo kiasi hata magazeti yakawa yanaogopa kuweka picha yake front page kwani alikosa mvuto akawa kama maiti...

Pambaf

Messi anakutia jazba eeeh? Sasa PUMBAVU ni wewe unayedhani kuwa unaweza kumshusha kiwango Messi kwa maneno yako unayoongelea JF.

Eti tuzo ambazo hakuzitolea jasho, we kweli kilaza, yaani unafikiri Messi aliweka makalio chini na ku-type kama wewe unavyotype utumbo wa moyo wako hapo ulipokaa?

Messi ni mtu mmoja na kamwe hawezi kucheza namba zote uwanjani ili Argentina ishinde. Utaendelea kutafuta sababu weeeee, lkn nakuhakikishia Messi ndie bora na ndio maana anachaguliwa.

Mwaka wako huu, na utalia sana.
 
Haya mambo yalikwisha pitwa na wakati watu wanataka sexy football samba lakini mabao yawepo sio mimeno nje ka Jembe la Trekta kila saa kucheka hakuna goli haipo hiyo ndo maana Samba sasa imebaki kuchezwa majukwaani Ndani ya Dimba hata Mexico kawagonga fainal ya Olympic London


Haya futa mikohozi hiyo...
Dinho amefunga magoli ambayo wewe na ubongo wako uliojaa makamasi huo unayakumbuka.
Dinho kafanya miujiza ya soka ambayo wewe unaikumbuka.
Dinho ni alama ya Soka kwa watu wa Soka..
 
messi is the product of much training but gaucho is ALL talent.
 
ahame hapo barca huyo messi kama atawika....
 
samahani inawezekana kweli ulikuwa hujaja mjini kwenye miaka ya 90 mpaka 2000 mwanzoni maoni yako peleka Clouds au kwa Dauda ambae nadhani yeye ni BINAMU yake Cr7 . Mwisho bila kumumunya wala kutafuna ukweli ni kuwa Wepenzi wote wa Man Utd hawampendi Leo Messi Roho zao mbaya kama Aden Rage na SAF Na SHAFFIE DAUDA
Sasa man utd inaingiaje tena hapa? Naona huna jipya zaidi ya kuwakumbusha mkono wa Ferguson ulivyokuwa unatetemeka kwenye ule msiba wa 3-1
 
Akili zingine ni za kijinga hadi zimepitiliza. Hapo juu kabisa ya jedwali kuna link, hiyo link ukiifuata itakuletea jedwali hili hili original, sasa sijui una sababu gani za kutaka kubishana na redio.

Muda gani Messi atakuchukua kumfikia Gaucho halikuwa swali, nilikuwa NAKEJELI. Ukiwa na akili timamu, utagundua kuwa rekodi zinaonesha kuwa Messi yupo mbele, kwa MAGOLI, VIKOMBE, POPULARITY, FEDHA, THAMANI na UMUHIMU.

Kama chenga ziliwapendeza, basi mjue kuwa Barca wao wamependezwa na soccer. Hivyo unavyoviita vitu adimu, Austin 'Jay Jay' Okocha alivifanya kwenye kombe la Dunia 1994 Marekani na bado havikumfanya awe mwanasoka bora wa dunia.

Mtaumiza kichwa kwa Jealous zenu. Mnakataa hata takwimu kwa wivu,.....by the way, hivi navyokujibu, Barcelona keshamkandamiza Malaga 2 na ni dkk ya 69. Mbao ya kwanza imewekwa kimiani na Lionel Andres 'Leo' Messi na la pili, Cesc Fabregas. Mtaumwa sana mwaka huu na marehemu wenu huyo
Kuwa na busara japo kudogo basi, mbona unaleta matusi kwenye mambo ya mpira? Punguza kashfa Messi siyo mumeo..!
 
Kuwa na busara japo kudogo basi, mbona unaleta matusi kwenye mambo ya mpira? Punguza kashfa Messi siyo mumeo..!

Unaweza kunionesha matusi katika niliyoyaongea? Mbona mna jazba? Najua ndio Messi sio mume wangu kwa kuwa mimi si mwanamke, ila kwa nionavyo itakuwa ulishamtaka akakukataa na ndio maana una jazba. Kama unaona list imechakachuliwa fuata link uone original.

Kama unaweza kubishana na redio mimi sina haja ya kubishana na mtu wa aina yako, naweka majedwali tu unajijibu mwenyewe.

Kama una mshipa wa kukemea maneno ya hovyo haya hapa chini huyu mwenye kuumizwa roho kayamimina bila aibu wala kuzingatia hadhi yake kama mtu mzima sababu ya jazba.

akienda timu ya Taifa anakuwa mimavi mitupu...

Na mada inasema nani ni mkali kati ya Gaucho na Messi wakiwa Barca na sio kwenye timu zao za taifa. Wote wamechezea Barca lkn Messi hajachezea Brazil wala Gaucho hajachezea Argentina.

Na hata hivyo:
Messi mechi 67 magoli 31, Gaucho mechi 96 magoli 33. Bado huna jipya zaidi ya ngonjera
 
Bwah hah hah hah hah hah haaah...
Mkuu unasema?

Utaishia kushabikia upuuzi kama hivi lakini FACTS huna. Shame on you, jealous zitakuua ndugu yangu. Unashangilia maneno ya kijinga ambayo ilibidi uambiwe wewe.
quote_icon.png
By Gang Chomba

akienda timu ya Taifa anakuwa mimavi mitupu...
Yaani kwako hizi ndio hoja za kudhihirisha ubora wa Gaucho dhidi ya Messi
 
messi is the product of much training but gaucho is ALL talent.

Sasa huo wala sio mlango wa kutokea mkuu: Kipaji si akili, mwenye kipaji hufanya yale yaliyo katika kipaji chake tu, lakini Genius hufanya linalotakiwa kwa akili yake.

Credits to Messi, he achieved what a talented man couldn't.
 
Back
Top Bottom