Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Mwenyewe nampenda Ronaldino kuliko Mess,na kinachonifanya nimpende ni jinsi alivyokuwa anauchezea mpira da yaani ilikuwa full radha,Messi anajua kufunga,na chenga za maudhi ambazo zinaisaidia timu yake.Watu wanapenda radha ya mpira ndo maana kila ikifika kombe la dunia watu wanapenda kumwona Ronaldinho aoneshe vitu.
Kwa sera ya Mpira ni Magoli nadhani mshindi ni MESSI ila kama Mpira ni Burudani Mshindi ni Dinho asilimia mia moja
Mkuu, kwa mtazamo wako nani angeshinda na kwa sifa zipi ambazo angemshindia Messi?wapiga kura kuchagua mchezaji bora wakatimwingine wanasukumwa na promo anayopata mchezaji toka vyombo vya habari,so hata Messi kuna baadhi wapiga kura wanampigia baada ya kuwa convinced kupitia vyombo vya habari yaani unamwona bora tu bcoz anaongelewa nawe unaamini kuwa huyu ni bora,kama vyombo vya habari vingekuwa havitoi promo cdhani kama Messi angeshinda tuzo ya mchezaji bora mara nne.Halafu tuiulize kwanini Messi kwenye timu ya Taifa huwa anapotezwa kabisa?
I believe huenda wangeshinda wengine ambao huenda wana ubora hata Ronaldo naye sidhani kama angekuwa anashika namba mbili muda wote angeweza kuwa hata namba tatu au namba nyingine,lakini sio yeye four times consecutively hapan.Akili ya binadamu mara nyingi inatawaliwa na kuwa boosted sometimes,ndo maana unaweza ukawakuta watu wanabishana eti Redio fulani imesema fulani anacheza vizuri so naye anaamini hivo.But ni mtizamo wangu tu si lazima iwe hivo.Mkuu, kwa mtazamo wako nani angeshinda na kwa sifa zipi ambazo angemshindia Messi?
Kw upande wangu hakuna kama Ronaldinho
Kw upande wangu hakuna kama Ronaldinho
Binafsi naamini hajawahi tokea na hatokuja kutokea nabii wa soccer kama Gaucho, Gaucho ni nabii mkuu na wa mwisho katika soccer
Dah!! Mbali sana uko! Ni nani na kwa vigezo vipi!!!?I believe huenda wangeshinda wengine ambao huenda wana ubora hata Ronaldo naye sidhani kama angekuwa anashika namba mbili muda wote angeweza kuwa hata namba tatu au namba nyingine,lakini sio yeye four times consecutively hapan.Akili ya binadamu mara nyingi inatawaliwa na kuwa boosted sometimes,ndo maana unaweza ukawakuta watu wanabishana eti Redio fulani imesema fulani anacheza vizuri so naye anaamini hivo.But ni mtizamo wangu tu si lazima iwe hivo.
Bufa umenena vyema.
Gaucho ni nabii wa mwisho wa Soka...
Nabii wa mwisho wa soka ni JJ OKOCHA (Nigeria), uafrika wake tu ndio uliomporomosha kwa criticism & racism shari ya kutoka Africa.
Waila kwa mijibu wa thread hii, namkubali zaidi Gaucho.
Nabii wa mwisho wa soka ni JJ OKOCHA (Nigeria), uafrika wake tu ndio uliomporomosha kwa criticism & racism shari ya kutoka Africa.
Waila kwa mijibu wa thread hii, namkubali zaidi Gaucho.
hebu kaangalie video za Okocha kisha katafute miujiza ya Gaucho...
Utajuwa kwa nini imeandikwa kuwa Gaucho ni nabii wa mwisho wa Soka.