Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Mwenyewe nampenda Ronaldino kuliko Mess,na kinachonifanya nimpende ni jinsi alivyokuwa anauchezea mpira da yaani ilikuwa full radha,Messi anajua kufunga,na chenga za maudhi ambazo zinaisaidia timu yake.Watu wanapenda radha ya mpira ndo maana kila ikifika kombe la dunia watu wanapenda kumwona Ronaldinho aoneshe vitu.
Kwa sera ya Mpira ni Magoli nadhani mshindi ni MESSI ila kama Mpira ni Burudani Mshindi ni Dinho asilimia mia moja
Kwa sera ya Mpira ni Magoli nadhani mshindi ni MESSI ila kama Mpira ni Burudani Mshindi ni Dinho asilimia mia moja