Ronaldinho alikuwa zaidi ya Messi Barcelona

Mwenyewe nampenda Ronaldino kuliko Mess,na kinachonifanya nimpende ni jinsi alivyokuwa anauchezea mpira da yaani ilikuwa full radha,Messi anajua kufunga,na chenga za maudhi ambazo zinaisaidia timu yake.Watu wanapenda radha ya mpira ndo maana kila ikifika kombe la dunia watu wanapenda kumwona Ronaldinho aoneshe vitu.
Kwa sera ya Mpira ni Magoli nadhani mshindi ni MESSI ila kama Mpira ni Burudani Mshindi ni Dinho asilimia mia moja
 
Marhabaaaaaaa
 
wapiga kura kuchagua mchezaji bora wakatimwingine wanasukumwa na promo anayopata mchezaji toka vyombo vya habari,so hata Messi kuna baadhi wapiga kura wanampigia baada ya kuwa convinced kupitia vyombo vya habari yaani unamwona bora tu bcoz anaongelewa nawe unaamini kuwa huyu ni bora,kama vyombo vya habari vingekuwa havitoi promo cdhani kama Messi angeshinda tuzo ya mchezaji bora mara nne.Halafu tuiulize kwanini Messi kwenye timu ya Taifa huwa anapotezwa kabisa?
 
Mkuu, kwa mtazamo wako nani angeshinda na kwa sifa zipi ambazo angemshindia Messi?
 
I believe huenda wangeshinda wengine ambao huenda wana ubora hata Ronaldo naye sidhani kama angekuwa anashika namba mbili muda wote angeweza kuwa hata namba tatu au namba nyingine,lakini sio yeye four times consecutively hapan.Akili ya binadamu mara nyingi inatawaliwa na kuwa boosted sometimes,ndo maana unaweza ukawakuta watu wanabishana eti Redio fulani imesema fulani anacheza vizuri so naye anaamini hivo.But ni mtizamo wangu tu si lazima iwe hivo.
 
Hahahahaha this is funny ila nimefurahi sana kuona kuna wadau wanamkubali Gaucho kama mimi.
 
Binafsi naamini hajawahi tokea na hatokuja kutokea nabii wa soccer kama Gaucho, Gaucho ni nabii mkuu na wa mwisho katika soccer
 
Bufa umenena vyema.
Gaucho ni nabii wa mwisho wa Soka...
 
Ngoja tumuangalie nabii mkuu wa soccer Gaucho akitenda miujiza
 
I believe huenda wangeshinda wengine ambao huenda wana ubora hata Ronaldo naye sidhani kama angekuwa anashika namba mbili muda wote angeweza kuwa hata namba tatu au namba nyingine,lakini sio yeye four times consecutively hapan.Akili ya binadamu mara nyingi inatawaliwa na kuwa boosted sometimes,ndo maana unaweza ukawakuta watu wanabishana eti Redio fulani imesema fulani anacheza vizuri so naye anaamini hivo.But ni mtizamo wangu tu si lazima iwe hivo.
Dah!! Mbali sana uko! Ni nani na kwa vigezo vipi!!!?
 
Nabii wa mwisho wa soka ni JJ OKOCHA (Nigeria), uafrika wake tu ndio uliomporomosha kwa criticism & racism shari ya kutoka Africa.
Waila kwa mijibu wa thread hii, namkubali zaidi Gaucho.

Okocha alikua mzima sana pia ila kwa Gaucho nae anakaa..
 
Nabii wa mwisho wa soka ni JJ OKOCHA (Nigeria), uafrika wake tu ndio uliomporomosha kwa criticism & racism shari ya kutoka Africa.
Waila kwa mijibu wa thread hii, namkubali zaidi Gaucho.

hebu kaangalie video za Okocha kisha katafute miujiza ya Gaucho...
Utajuwa kwa nini imeandikwa kuwa Gaucho ni nabii wa mwisho wa Soka.
 
Pele alivyomuona Okocha aliuliza ndio nani yule, jamaa alikuwa noma acha!

"He is known for his stepovers, skill, technique, and being 'so good that they named him twice' (a line immortalised in a terrace chant while Okocha played for Bolton Wanderers)"
 
Kuna watu mna mioyo migumu kama mawe. Mi jana nilikaa kwa hamu mbele ya Runinga nimtazame huyo nabii wenu, loh, kichefuchefu kitupu. Angekuwa nabii kweli angetembea kwenye dimba la Uingereza. Lakini nilimuona Gerrard, Cleverly na Wilshere wakitakata kama wanacheza peke yao.

Kocha wa Brazil akaepusha fedheha akaamua kumtoa. Endeleeni kumpandisha chati kwa midomo, uwanjani ndio yule mliyemuona.......hovyooooo na penalt kakosa
 
hebu kaangalie video za Okocha kisha katafute miujiza ya Gaucho...
Utajuwa kwa nini imeandikwa kuwa Gaucho ni nabii wa mwisho wa Soka.

Imeandikwa wapi?

Tuzo zingekuwa zinatolewa kulingana na mdomo wako sawa, ila kwa kuwa zinatolewa kwa kiwango cha uchezaji wa mtu, basi nakupa pole, Gaucho jana madudu matupu, jana aliyekipiga alikuwa Jack Wilshere

By the way, Austin 'Jay Jay' Okocha usimlinganishe na Gaucho, Okocha ndie nabii hasa aliyetuletea 'baiskeli' uwanjani. Kwa taarifa yako, baiskeli kwa mara ya kwanza ilipigwa 1994 kwenye kombe la dunia Marekani
 
Back
Top Bottom