Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
Haahaaa, asanteni kwa uzi huu, hayo maneno ya Arteta yamenifanya nicheke hadi walio karibu wananishangaa... AntMessi baada ya kuona issue ya kombe la dunia inamwangusha na CR7 pia, naona wameamua kutafuta mwingine wa kumlinganisha naye! Kazi mnayo...
Tuzo huzitokei jasho hizo wewee...pasuka.
tuzo hizo unapigiwa kura, hazina offside, wala hukimbii, haukabwi wala kuzomewa.
Tuzo hizo hazina sub wala hauchezewi rafu.
Futa mimate hiyo.
Kama tuzo huzitolei jasho mbona asipewe Gaucho mara 4?
Kwa hiyo unadhani tuzo wanapewa na Blatter? Uliza uambiwe, anapigiwa kura na wanaojua vigezo na kuzingatia mambo fulani sio wewe na Mama Yo Yo na jealous zenu.
Mwaka wenu huu, na bado, Messi ataendelea kuwashika. This time mtamlinganisha na Leodger Tenga.
Kama tuzo huzitolei jasho mbona asipewe Gaucho mara 4?
Kwa hiyo unadhani tuzo wanapewa na Blatter? Uliza uambiwe, anapigiwa kura na wanaojua vigezo na kuzingatia mambo fulani sio wewe na Mama Yo Yo na jealous zenu.
Mwaka wenu huu, na bado, Messi ataendelea kuwashika. This time mtamlinganisha na Leodger Tenga.
Haahaaa! mkuu ndetichia, salama?! Umeelewa issue inayoongelewa hapa na una uhakika ulichoandika hapa ni sahihi?! Haya bana. Kuna watu ambao itawachukua miaka 10 au hata 20 kutoka sasa kung'amua kuwa Messi ni habari nyingine kabisa.nadhani ishu hapa inayoongelewa ni vigezo vya kumpa jamaa ballon d or huwa hazieleweki maana huyu CR7 akijitahidi kuchukua ndoo huwa wanaondoa kipengele cha ndoo akijitahidi kutupia kamba wanaondoa kipengele za kufunga soo lazima watu waongee ila wangesema mchezaji kuchukua ndoo aliyestaili ni torres maana kachukua uero na champions league..
#FIFA =NEC
Arifu niliwahi kuwa na IDs zaidi ya 23 hapo kale…niliacha mambo hayo long kitambo…kama un anilinganisha na GC basi umepotea sana kamanda……Au ndio ID mbili mbili sasa unajimix mkuu
Arifu hapa ni jukwaa la spoti kamanda usijibu kama uko jukwaa la siasa aisee….tizama era ya barca utajua kwanini nasema hivyo…tatizo lako hujatulia unavyojibu thread hii….Kwa hiyo ni Ronaldinho ndio ameitengeneza Barca eti? Halafu wakamuuza mwalimu wao? Kweli DOUBLE ID, maana mawazo ni yale yale. Ni kweli Barca imemtengeneza Messi, ila hilo la Gaucho kuitengeneza Barca ndio illusions zenyewe.
Kumbuka hata maradona alihama kutoka borca jr kwenda bara kwa ada iliovunja rekodi ya $ mil 5 kipi cha ajabu?? Hizo figure hazi justfy kuwa messi ni mkali zaidi ya dinho……Well then, baada ya yeye kuitengeneza Barca, iweje wenye Barca yao wamtukuze Messi kiasi hicho? Nikukumbushe kuwa Anzhi Makatchakala wametoa ofa ya £205m kwa Barcelona na mshahara wa £430,000 kwa Messi lakini still Barca wamekataa kumuuza Messi japo walimuuza Ronaldinho kwa bei chee?
mkuu mie sio mama ni baba wa motto mmoja wa kike anaitwa Lisa…jifunze kujenga hoja bila kutoka nje ya mada ya kutoa kashfa za reja reja….mkuu niambie ni lini hao jamaa wamepiga kura ya kumchagua messi ?Mkuu mama Yo Yo, ni hao hao kina Arsene Wenger, Jose Mourinho, Diego Maradona, Marcello Lipi na makocha wengineo ndio wamempigia Messi kura na sio shabiki njaa kama mimi na wewe.
Arifu niliwahi kuwa na IDs zaidi ya 23 hapo kale…niliacha mambo hayo long kitambo…kama un anilinganisha na GC basi umepotea sana kamanda……Au ndio ID mbili mbili sasa unajimix mkuu
Arifu hapa ni jukwaa la spoti kamanda usijibu kama uko jukwaa la siasa aisee….tizama era ya barca utajua kwanini nasema hivyo…tatizo lako hujatulia unavyojibu thread hii….Kwa hiyo ni Ronaldinho ndio ameitengeneza Barca eti? Halafu wakamuuza mwalimu wao? Kweli DOUBLE ID, maana mawazo ni yale yale. Ni kweli Barca imemtengeneza Messi, ila hilo la Gaucho kuitengeneza Barca ndio illusions zenyewe.
Kumbuka hata maradona alihama kutoka borca jr kwenda bara kwa ada iliovunja rekodi ya $ mil 5 kipi cha ajabu?? Hizo figure hazi justfy kuwa messi ni mkali zaidi ya dinho……Well then, baada ya yeye kuitengeneza Barca, iweje wenye Barca yao wamtukuze Messi kiasi hicho? Nikukumbushe kuwa Anzhi Makatchakala wametoa ofa ya £205m kwa Barcelona na mshahara wa £430,000 kwa Messi lakini still Barca wamekataa kumuuza Messi japo walimuuza Ronaldinho kwa bei chee?
mkuu mie sio mama ni baba wa motto mmoja wa kike anaitwa Lisa…jifunze kujenga hoja bila kutoka nje ya mada ya kutoa kashfa za reja reja….mkuu niambie ni lini hao jamaa wamepiga kura ya kumchagua messi ?Mkuu mama Yo Yo, ni hao hao kina Arsene Wenger, Jose Mourinho, Diego Maradona, Marcello Lipi na makocha wengineo ndio wamempigia Messi kura na sio shabiki njaa kama mimi na wewe.
Kwa vile mleta maada amewalinganisha magwiji hawa wakiwa Barcelona, nimeona ni vema nikiweka rekodi zao wakiwa wachezaji wa Barcelona tu (Gaucho amechezea klabu zingine zaidi ya Barcelona).
[TABLE="class: grid, width: 613"]
[TR]
[TD="colspan: 6"]Lionel Andrés "Leo" Messi [/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Year[/TD]
[TD="align: center"]Club[/TD]
[TD="colspan: 3, align: center"]La Liga[/TD]
[TD="colspan: 3, align: center"]UEFA CL
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"]Played[/TD]
[TD="align: center"]Goals[/TD]
[TD="align: center"]Assists[/TD]
[TD="align: center"]Played[/TD]
[TD="align: center"]Goals[/TD]
[TD="align: center"]Assists[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2012/13[/TD]
[TD="align: center"]Barcelona[/TD]
[TD="align: center"]18[/TD]
[TD="align: center"]27[/TD]
[TD="align: center"]6[/TD]
[TD="align: center"]6[/TD]
[TD="align: center"]5[/TD]
[TD="align: center"]2[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2011/12[/TD]
[TD="align: center"]Barcelona[/TD]
[TD="align: center"]37[/TD]
[TD="align: center"]50[/TD]
[TD="align: center"]15[/TD]
[TD="align: center"]11[/TD]
[TD="align: center"]14[/TD]
[TD="align: center"]5[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2010/11[/TD]
[TD="align: center"]Barcelona[/TD]
[TD="align: center"]33[/TD]
[TD="align: center"]31[/TD]
[TD="align: center"]18[/TD]
[TD="align: center"]13[/TD]
[TD="align: center"]12[/TD]
[TD="align: center"]3[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2009/10[/TD]
[TD="align: center"]Barcelona[/TD]
[TD="align: center"]35[/TD]
[TD="align: center"]34[/TD]
[TD="align: center"]10[/TD]
[TD="align: center"]11[/TD]
[TD="align: center"]8[/TD]
[TD="align: center"]0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2008/09[/TD]
[TD="align: center"]Barcelona[/TD]
[TD="align: center"]31[/TD]
[TD="align: center"]23[/TD]
[TD="align: center"]11[/TD]
[TD="align: center"]12[/TD]
[TD="align: center"]9[/TD]
[TD="align: center"]5[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2007/08[/TD]
[TD="align: center"]Barcelona[/TD]
[TD="align: center"]28[/TD]
[TD="align: center"]10[/TD]
[TD="align: center"]12[/TD]
[TD="align: center"]12[/TD]
[TD="align: center"]8[/TD]
[TD="align: center"]1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2006/07[/TD]
[TD="align: center"]Barcelona[/TD]
[TD="align: center"]26[/TD]
[TD="align: center"]14[/TD]
[TD="align: center"]2[/TD]
[TD="align: center"]5[/TD]
[TD="align: center"]1[/TD]
[TD="align: center"]0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2005/06[/TD]
[TD="align: center"]Barcelona[/TD]
[TD="align: center"]17[/TD]
[TD="align: center"]6[/TD]
[TD="align: center"]0[/TD]
[TD="align: center"]6[/TD]
[TD="align: center"]1[/TD]
[TD="align: center"]1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2004/05[/TD]
[TD="align: center"]Barcelona[/TD]
[TD="align: center"]7[/TD]
[TD="align: center"]1[/TD]
[TD="align: center"]0[/TD]
[TD="align: center"]1[/TD]
[TD="align: center"]0[/TD]
[TD="align: center"]0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"]TOTAL[/TD]
[TD="align: center"]232[/TD]
[TD="align: center"]196[/TD]
[TD="align: center"]74[/TD]
[TD="align: center"]77[/TD]
[TD="align: center"]58[/TD]
[TD="align: center"]17[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 6"]Ronaldo de Assis Moreira ( Ronaldinho Gaúcho)[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD="colspan: 3, align: center"]La Liga[/TD]
[TD="colspan: 3, align: center"]UEFA CL[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"]Played[/TD]
[TD="align: center"]Goals[/TD]
[TD="align: center"]Assists[/TD]
[TD="align: center"]Played[/TD]
[TD="align: center"]Goals[/TD]
[TD="align: center"]Assists[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2007/08[/TD]
[TD="align: center"]Barcelona[/TD]
[TD="align: center"]17[/TD]
[TD="align: center"]8[/TD]
[TD="align: center"]2[/TD]
[TD="align: center"]10[/TD]
[TD="align: center"]1[/TD]
[TD="align: center"]3[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2006/07[/TD]
[TD="align: center"]Barcelona[/TD]
[TD="align: center"]32[/TD]
[TD="align: center"]21[/TD]
[TD="align: center"]8[/TD]
[TD="align: center"]8[/TD]
[TD="align: center"]2[/TD]
[TD="align: center"]1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2005/06[/TD]
[TD="align: center"]Barcelona[/TD]
[TD="align: center"]29[/TD]
[TD="align: center"]17[/TD]
[TD="align: center"]13[/TD]
[TD="align: center"]12[/TD]
[TD="align: center"]7[/TD]
[TD="align: center"]4[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2004/05[/TD]
[TD="align: center"]Barcelona[/TD]
[TD="align: center"]35[/TD]
[TD="align: center"]9[/TD]
[TD="align: center"]0[/TD]
[TD="align: center"]7[/TD]
[TD="align: center"]4[/TD]
[TD="align: center"]0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2003/04[/TD]
[TD="align: center"]Barcelona[/TD]
[TD="align: center"]33[/TD]
[TD="align: center"]15[/TD]
[TD="align: center"]0[/TD]
[TD="align: center"]7[/TD]
[TD="align: center"]4[/TD]
[TD="align: center"]0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"]TOTAL[/TD]
[TD="align: center"]146[/TD]
[TD="align: center"]70[/TD]
[TD="align: center"]23[/TD]
[TD="align: center"]44[/TD]
[TD="align: center"]18[/TD]
[TD="align: center"]8[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Mataji waliyopata wakiwa na Barcelona
[TABLE="class: grid, width: 500"]
[TR]
[TD]Mataji[/TD]
[TD="align: center"]Messi[/TD]
[TD="align: center"]Gaucho[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]La Liga[/TD]
[TD="align: center"]5[/TD]
[TD="align: center"]2[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Copa del Rey[/TD]
[TD="align: center"]2[/TD]
[TD="align: center"]0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Supercopa de Espana[/TD]
[TD="align: center"]5[/TD]
[TD="align: center"]2[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]UEFA Champions League[/TD]
[TD="align: center"]3[/TD]
[TD="align: center"]1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]UEFA Super Cup[/TD]
[TD="align: center"]2[/TD]
[TD="align: center"]0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]FIFA Club World Cup[/TD]
[TD="align: center"]2[/TD]
[TD="align: center"]0[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Nani zaidi? Amua mwenyewe!
Sources:
Lionel Messi - Wikipedia, the free encyclopedia
Ronaldinho - Wikipedia, the free encyclopedia
Lionel Messi Bio, Stats, News - Football / Soccer - - ESPN FC
Ronaldinho Bio, Stats, News - Football / Soccer - - ESPN FC
Na kumbe unajua off side ni kikwazo eeh, basi ndio ujue Messi alifanya kazi kubwa. Kapiga mabao mengi kuliko mtu yeyote pale Barca kwa hiyo alizishinda off sides nyingi
Arifu niliwahi kuwa na IDs zaidi ya 23 hapo kale…niliacha mambo hayo long kitambo…kama un anilinganisha na GC basi umepotea sana kamanda……
Arifu hapa ni jukwaa la spoti kamanda usijibu kama uko jukwaa la siasa aisee….tizama era ya barca utajua kwanini nasema hivyo…tatizo lako hujatulia unavyojibu thread hii….
Kumbuka hata maradona alihama kutoka borca jr kwenda bara kwa ada iliovunja rekodi ya $ mil 5 kipi cha ajabu?? Hizo figure hazi justfy kuwa messi ni mkali zaidi ya dinho……
mkuu mie sio mama ni baba wa motto mmoja wa kike anaitwa Lisa…jifunze kujenga hoja bila kutoka nje ya mada ya kutoa kashfa za reja reja….mkuu niambie ni lini hao jamaa wamepiga kura ya kumchagua messi ?
Arifu niliwahi kuwa na IDs zaidi ya 23 hapo kale…niliacha mambo hayo long kitambo…kama un anilinganisha na GC basi umepotea sana kamanda……
Arifu hapa ni jukwaa la spoti kamanda usijibu kama uko jukwaa la siasa aisee….tizama era ya barca utajua kwanini nasema hivyo…tatizo lako hujatulia unavyojibu thread hii….
Kumbuka hata maradona alihama kutoka borca jr kwenda bara kwa ada iliovunja rekodi ya $ mil 5 kipi cha ajabu?? Hizo figure hazi justfy kuwa messi ni mkali zaidi ya dinho……
mkuu mie sio mama ni baba wa motto mmoja wa kike anaitwa Lisa…jifunze kujenga hoja bila kutoka nje ya mada ya kutoa kashfa za reja reja….mkuu niambie ni lini hao jamaa wamepiga kura ya kumchagua messi ?
napinga na wewe.
Nani alikwambia ni kitu rahisi kumnyang'anya Dinho mpira?
Huko ni kukurupuka.
Ronaldinho akiichezea Barca katika mchezo wa nUsu fainali dhidi ya AC Milan aliwadhalilisha nguli wawili Gatuso na Nesta na ifamike kuwa Nesta ni beki bora wa kati kisha Gaucho akasababisha majanga kwa Milan.
The same shit last season Barca vs Milan Alesandro Nesta anaapa Messi hata acheze na mikono basi hawezi kumpita na kwenda kufunga na hata kuwatoa katika robo fainali.
Messi alishindwa.
Messi hakumpita NESTA aliekuwa na 37yrs.
Then tazama mechi ambazo Dinho yuko uwanjani na Messi yupo uwanjani utagundua ni nani mrahisi kumnyang'anya mpira.
Kumkaba Gaucho na kumnyang'anya mpira kirahisi inakubidi umfuate ukiwa na bikali au kisoda cha kumkwangua mgongoni.
Kila mtu na zama zake! Dinho ni entertainer wakati Messi ni mtu wa kazi. Ni kama Dansi (Dinho) na Hip Hop (Messi).
Tztizo lako nakuambia unajibu hoja kama unapongea na wakina Nape.....wewe huzijui clab hizi kubwa Barcelona na Real Madrid hawana heshima kwa Legends hata Messi ataishia river plate na CR7 ataishia sporting lisboa wakati umri wao utakapoanza kuwatupa mkono...angalia Raul aliisshia wapi.....alitupwa mbali hakuna aliemjali na wakati ndio mfungaji wao bora pale....samuel etoo je? basi walibadilishana kwa mil 40 kumnasa Ibra....beckam je? Figo waliishiaje? those clubs lack grace....ndio maana nakuambia unajibu kama una reply post ya nape au zitoKwani wakati Barca wanamuuza Ronaldinho alikuwa amezeeka au? Hivi kwa akili yako £205m ni senti za majadiliano? Hii inamaanisha Messi ni most valuable to them, na ndio maana hawamuuzi kama walivyomuuza Dinho.
Mwaka wenu, wivu utawaua
Toa huu upuuzi.
Umeambiwa Dinho created Barca, ila Barca created Messi
Ronaldo and Messi are both great players but Ronaldinho was something else. He was unpredictable, yeah sure he could pass, dribble etc but he was incredible. Most defenders said the reason why Ronaldinho was so hard to defend agaist was because one minute the balls by his feet the next its in the 18 area. Messi has Iniseta and Xavi. Ronaldinho was a one man show, he didn't have that much support from his team mates. He was just born with the ball, you can't take that away from him though I think Messi is close to him but Ronaldinho is still #1Mkuu we ungetubandikia tu hata huko Ronaldinho alikoelekea ili ANTI-MESSIS wajue kuwa hata wakiongezewa miaka mingine bado Messi ni Messi tu. Kuna watu wana jealous mbaya mpk wanapata vidonda vya tumbo.
hitimisho ni kuwa kila alichokishinda Messi basi Gaucho alisha kishinda.
Lakini kuna alichokishinda Gaucho huyo Messi hajawahi kukishinda.
So kwa niaba ya wamiliki wa Jamii forums, pia kwa mamlaka niliokabidhiwa na mtoa mada ndugu Yo Yo, na wachangiaji woote waliochangia thread hii napenda kumpa kura zoote za ushindi nabii wa Soka Ronaldinho gaucho ambaye ni WORLD CUP WINNER.
Narudia tena WORLD CUP WINNER.
Asanteni.
Ronaldo and Messi are both great players but Ronaldinho was something else. He was unpredictable, yeah sure he could pass, dribble etc but he was incredible. Most defenders said the reason why Ronaldinho was so hard to defend agaist was because one minute the balls by his feet the next its in the 18 area. Messi has Iniseta and Xavi. Ronaldinho was a one man show, he didn't have that much support from his team mates. He was just born with the ball, you can't take that away from him though I think Messi is close to him but Ronaldinho is still #1
His the reason most started watching football.
Tztizo lako nakuambia unajibu hoja kama unapongea na wakina Nape.....wewe huzijui clab hizi kubwa Barcelona na Real Madrid hawana heshima kwa Legends hata Messi ataishia river plate na CR7 ataishia sporting lisboa wakati umri wao utakapoanza kuwatupa mkono...angalia Raul aliisshia wapi.....alitupwa mbali hakuna aliemjali na wakati ndio mfungaji wao bora pale....samuel etoo je? basi walibadilishana kwa mil 40 kumnasa Ibra....beckam je? Figo waliishiaje? those clubs lack grace....ndio maana nakuambia unajibu kama una reply post ya nape au zito
Toa huu upuuzi.
Umeambiwa Dinho created Barca, ila Barca created Messi
We ulitaka Raul afanywe nini? Afunguliwe kiosk nje ya uwanja auze AZAM Ice Cream au? Mtu kama mpira umekwisha kuondoka ni ada, ama ulitaka afanyweje?
Mimi nataka kama kuna mmoja wenu ana takwimu zozote zile zenye kuonesha jinsi Ronaldinho alivyo na mafanikio zaidi ya Messi na aweke hapa na sio kutuambia hisia zenu.