Ujinga wangu ni upi ?wewe ni mjinga
Sasa uyo gaucho aliyepigwa magoli na neymar Jr ana lipi jipya?we mwehu kweli..messi zaid ya chenga za koni anakiweza nini kingine?..kufunga hata adebayor alikua anafunga
Tunaomba hiyo clip akiongea na huo mpiraGang Chomba popote ulipo swahiba njoo utie neno hapa...akizungumziwa dinho mimi kutia neno wakati upo ni kuwakosea heshima wapenzi wa huyu kiumbe pekee aliyeweza kuongea na mpira na mpira ukamsikiliza
Mashabiki wa gaucho hamna jipya kipi alichokifanya cha ajabu uyo gaucho wako?unatafuta laana tu.....
Ana record gani aliyompita king Leo?Mimi ni shabiki mkubwa wa messi ni kweli messi tunaweza sema ndiye mchezaji bora kwa sasa kutokana na vitu vyake lakin ukisema umlinganishe na gaucho utakuwa unamuonea sana Gaucho ni habari nyingine anavitu vya kujua yeye tu yule jamaa sijaona kwa kizazi cha leo sijajua wale wa nyuma yangu sijawahi kumuona maladona enzi zake nilikuwa sijapata upeo wa kufatilia mpira watanisaidia wakongwe hapa.
Bei yake ingekuwa kama ya beki wa Liverpool VVD €70Hivi kama Huyu Nabii wa soka wa wakati wote THE RONALDINHO, MR GAUCHO Kama leo angekuwa bado anacheza kabumbu tena kwa kiwango kile na tena katika dunia ya sasa ya soka la mpirapesa na akawekwa sokoni ili timu wababe wamnunue.
Tujadili angepaswa kuuzwa kiasi gani?
Karibuni wahenga wenzangu. Tafadhali kama haukuwahi kupata bahati ya kuonja ladha ya huyu kiumbe usituharibie wakubwa zako na nikupe pole, maana umekuta mpira umeisha.
narudia kukwambia kwamba wewe ni mjinga..kama kujua mpira ni kufunga hata Kane wa spurs anafunga..kwa mtazamo wako mabeki sio wachezaji na hata wakicheza hawajui kwa kuwa hawafungiSasa uyo gaucho aliyepigwa magoli na neymar Jr ana lipi jipya?
hujasikia kwa kuwa umeanza kufuatilia mpira wakati messi anachezaAna record gani aliyompita king Leo?
Ushawahisikia gaucho anafananishwa na pelle au maradona?
Kwann messiah anafananishwa nao?
Wewe mwehu gaucho amempita kipi neymar tukienda kwenye statistics?narudia kukwambia kwamba wewe ni mjinga..kama kujua mpira ni kufunga hata Kane wa spurs anafunga..kwa mtazamo wako mabeki sio wachezaji na hata wakicheza hawajui kwa kuwa hawafungi
gaucho anaweza kufanya kila messi anachofanya,kuchukua uefa,kombe LA dunia,LA liga,kufunga apendavyo lakini messi hawezi kufanya Yale gaucho aliyafanya akiwa na mpiraMashabiki wa gaucho hamna jipya kipi alichokifanya cha ajabu uyo gaucho wako?
Statistics hazidanganyi kwa messi mbali mno maana alichokifanya messi kufunga hatrick Elcasico wakongwe walikishindwa akiwemo gaucho leta statistics neymar na gaucho ndipo utapogundua kuwa gaucho kilazagaucho anaweza kufanya kila messi anachofanya,kuchukua uefa,kombe LA dunia,LA liga,kufunga apendavyo lakini messi hawezi kufanya Yale gaucho aliyafanya akiwa na mpira
Haha..kuna watu mnawivu sana na kujitoa ufahamu....kwamba hana chochote....Huyo hana chochote zaidi ya kujipiga vyenga ndyo maana record zake binafsi za barca na Brazil zimefunikwa na neymar Jr
Weka statistics za neymar Jr na gaucho namba hazidanganyi mkuuHaha..kuna watu mnawivu sana na kujitoa ufahamu....kwamba hana chochote....
Yote uliosema nakubaliana nayo ila hapo kwny kufunga atakavyo umetudanganyagaucho anaweza kufanya kila messi anachofanya,kuchukua uefa,kombe LA dunia,LA liga,kufunga apendavyo lakini messi hawezi kufanya Yale gaucho aliyafanya akiwa na mpira
huyo kila Uzi yupo..anatafuta umaarufuWewe dogo Alonso14 usiwe mpumbavu. Nimekua nakufuatilia comments zako humo unaonekana ni mjinga mjinga. Acha kutafuta umaarufu usiolipa humu JF. Acha itikadi za kujiona mhuni nyuma ya keyboard. Pumbavu kabisa!