RONALDINHO atangaza kutundika daluga, ninakushukuru kwa niaba ya Dunia

RONALDINHO atangaza kutundika daluga, ninakushukuru kwa niaba ya Dunia

Mimi ni shabiki mkubwa wa messi ni kweli messi tunaweza sema ndiye mchezaji bora kwa sasa kutokana na vitu vyake lakin ukisema umlinganishe na gaucho utakuwa unamuonea sana Gaucho ni habari nyingine anavitu vya kujua yeye tu yule jamaa sijaona kwa kizazi cha leo sijajua wale wa nyuma yangu sijawahi kumuona maladona enzi zake nilikuwa sijapata upeo wa kufatilia mpira watanisaidia wakongwe hapa.
Ana record gani aliyompita king Leo?

Ushawahisikia gaucho anafananishwa na pelle au maradona?

Kwann messiah anafananishwa nao?
 
Hivi kama Huyu Nabii wa soka wa wakati wote THE RONALDINHO, MR GAUCHO Kama leo angekuwa bado anacheza kabumbu tena kwa kiwango kile na tena katika dunia ya sasa ya soka la mpirapesa na akawekwa sokoni ili timu wababe wamnunue.
Tujadili angepaswa kuuzwa kiasi gani?
Karibuni wahenga wenzangu. Tafadhali kama haukuwahi kupata bahati ya kuonja ladha ya huyu kiumbe usituharibie wakubwa zako na nikupe pole, maana umekuta mpira umeisha.
 
Namjua sana Gaucho enzi zile lakini kwa sasa nimeacha kufuatilia soka.

Ngoja nione wadau watapandisha dau kiasi gani
 
Hivi kama Huyu Nabii wa soka wa wakati wote THE RONALDINHO, MR GAUCHO Kama leo angekuwa bado anacheza kabumbu tena kwa kiwango kile na tena katika dunia ya sasa ya soka la mpirapesa na akawekwa sokoni ili timu wababe wamnunue.
Tujadili angepaswa kuuzwa kiasi gani?
Karibuni wahenga wenzangu. Tafadhali kama haukuwahi kupata bahati ya kuonja ladha ya huyu kiumbe usituharibie wakubwa zako na nikupe pole, maana umekuta mpira umeisha.
Bei yake ingekuwa kama ya beki wa Liverpool VVD €70
 
narudia kukwambia kwamba wewe ni mjinga..kama kujua mpira ni kufunga hata Kane wa spurs anafunga..kwa mtazamo wako mabeki sio wachezaji na hata wakicheza hawajui kwa kuwa hawafungi
Wewe mwehu gaucho amempita kipi neymar tukienda kwenye statistics?
 
gaucho anaweza kufanya kila messi anachofanya,kuchukua uefa,kombe LA dunia,LA liga,kufunga apendavyo lakini messi hawezi kufanya Yale gaucho aliyafanya akiwa na mpira
Statistics hazidanganyi kwa messi mbali mno maana alichokifanya messi kufunga hatrick Elcasico wakongwe walikishindwa akiwemo gaucho leta statistics neymar na gaucho ndipo utapogundua kuwa gaucho kilaza
 
Back
Top Bottom