Alonso14
JF-Expert Member
- Aug 6, 2017
- 1,785
- 1,817
Ni mavi tu huyoKipindi hicho hakukuwa na mafundi wazuri ndio maana yeye atleast alionekana onekana. Kipindi cha hiki cha king Messi angelikuwa anashika nafasi ya 10 au hata zaidi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mavi tu huyoKipindi hicho hakukuwa na mafundi wazuri ndio maana yeye atleast alionekana onekana. Kipindi cha hiki cha king Messi angelikuwa anashika nafasi ya 10 au hata zaidi.
Angalia hapa watu gani wanasema Neymar na watu gani wanasema gaucho,ukiona wa Gaucho ni wengi ndio ujue Gaucho aliwapa burudani ya kutoshaLadha gani aliyonayo gaucho ambayo neymar hana?
Leta stastics zao mkuuAngalia hapa watu gani wanasema Neymar na watu gani wanasema gaucho,ukiona wa Gaucho ni wengi ndio ujue Gaucho aliwapa burudani ya kutosha
Mpende Neymar wako,wenzio wamemchagua Gaucho. Mkataa wengi ni mchawiLeteni stastics za neymar na gaucho ushabiki wa mihemko hautakuwi
Hapo kwenye Mchezaji Bora wa Dunia na Kombe la Dunia ataanza kuleta hadithi za akina Ozil badala ya NeymarKachukua ballon dor mara 2 na kombe la dunia
Sasa unataka Statistics za Nini? Kama Statistics hata Okwi anazo huenda kuzidi NeymarKombe la dunia hata philipo lahm analo leta goals and assist
Huyu jamaa kipofu hata umuelezee vipi ye kang'ang'ania Statistics ambazo hata akina John Bocco wanazo au akina Drogba wanazo,Binafsi ni shabiki sn wa Messi. Lakini kuendelea kumfananisha Gaucho na wachezaji wa kizazi hiki NI UTOVU WA NIDHAMU. Tukubali he is and will always be a legend...!!!
Hawa kina Neymar Jr, Ronaldo, Messi, Suarez etc, sawa tunakubali, wanafunga na kutoa assist kibao, ila burudani ya mpira wao ni tofauti sn na burudani aliyokuwa anatoa Gaucho..!!!
Halafu haw wa sasa hivi WANAZOELEKA SANA, na hata ukikosa kuangalia mechi zao unaona poa tu. Ila Gaucho alikuwa hazoeleki aisee..!! Mechi ya Gaucho ndani ikikupita hujaiona, yan mpk mtu unajisikia vibaya. Unajiona kma umemiss kitu gani cjui. Jamaa kila siku mpya...!!!
Labda Neymar kafanya nini?Leta stastics za neymar barca na gaucho mkuu
Hatutaki story za kwenye vijiwe vya kahawa
Basi acheni kumlinganisha pogba na kbd kama stastics sio issue kwaiyo tumkubali mchezaji kwa maneno tu lakn hakuna cha maana alichofanya?Huyu jamaa kipofu hata umuelezee vipi ye kang'ang'ania Statistics ambazo hata akina John Bocco wanazo au akina Drogba wanazo,
Leta goals and assist makombe sio takwimu za kupima uboraSasa unataka Statistics za Nini? Kama Statistics hata Okwi anazo huenda kuzidi Neymar
Wakati wanacheza Liverpool na AC Milan UEFA champions League Kaka alipiga chenga ya kukanyaga mpira na kuzunguka nao,chenga hiyo hiyo akarudia Penant wa Liverpool lkn ile ya Kaka ndiyo ilionekana Bora zaidi wakati chenga ni hiyohiyoKipi cha ajabu alichokifanya neymar Jr hajakifanya?
Weka stastics acha kutafuta hurumaMpende Neymar wako,wenzio wamemchagua Gaucho. Mkataa wengi ni mchawi
Statistics hazidanganyi kwa messi mbali mno maana alichokifanya messi kufunga hatrick Elcasico wakongwe walikishindwa akiwemo gaucho leta statistics neymar na gaucho ndipo utapogundua kuwa gaucho kilaza
Wakisema kabeba Balloon d'or au kabeba W Cup unaanza kuongea habari za akina Lahm,wakisema kapigiwa makofi na Madrid unaanza habari za akina Iniesta. Sasa kuna haja gani ya kuuliza hilo swaliLeta stastics za neymar barca na gaucho mkuu
Hatutaki story za kwenye vijiwe vya kahawa
Changa toka lini ikawekwa kwenye stastics ninazodai?Wakati wanacheza Liverpool na AC Milan UEFA champions League Kaka alipiga chenga ya kukanyaga mpira na kuzunguka nao,chenga hiyo hiyo akarudia Penant wa Liverpool lkn ile ya Kaka ndiyo ilionekana Bora zaidi wakati chenga ni hiyohiyo
Kwa hiyo Huyo Andreas ndiyo Neymar sio?Andres inesta pia amepigiwa makofi Santiago kwaiyo hiyo sio big deal
Ronaldinho alifanya kila jinsia ipende soka. Huyo neymar huko france ukiacha ndugu zake wa kibrazil hata wewe unasubiri CL tu ndo umuone au uangalie highlightsSasa uyo gaucho aliyepigwa magoli na neymar Jr ana lipi jipya?
Leta stastics za messi na gaucho tuone nani bora maneno ya vijiwe vya kahawa hatutakiPole sana mkuu inaonekana umeanza kufuatilia mpira juzi kazi.
Kwenye mpira kumfananisha Fundi Gaucho na messi ni sawa na ramli chonganishi.
#UTAFUNGWA#
Tatizo tukileta Statistics unaanza kuwaongelea akina LahmLeta stastics zao mkuu