RONALDINHO atangaza kutundika daluga, ninakushukuru kwa niaba ya Dunia

RONALDINHO atangaza kutundika daluga, ninakushukuru kwa niaba ya Dunia

Binafsi ni shabiki sn wa Messi. Lakini kuendelea kumfananisha Gaucho na wachezaji wa kizazi hiki NI UTOVU WA NIDHAMU. Tukubali he is and will always be a legend...!!!

Hawa kina Neymar Jr, Ronaldo, Messi, Suarez etc, sawa tunakubali, wanafunga na kutoa assist kibao, ila burudani ya mpira wao ni tofauti sn na burudani aliyokuwa anatoa Gaucho..!!!

Halafu haw wa sasa hivi WANAZOELEKA SANA, na hata ukikosa kuangalia mechi zao unaona poa tu. Ila Gaucho alikuwa hazoeleki aisee..!! Mechi ya Gaucho ndani ikikupita hujaiona, yan mpk mtu unajisikia vibaya. Unajiona kma umemiss kitu gani cjui. Jamaa kila siku mpya...!!!
Huyu jamaa kipofu hata umuelezee vipi ye kang'ang'ania Statistics ambazo hata akina John Bocco wanazo au akina Drogba wanazo,
 
Huyu jamaa kipofu hata umuelezee vipi ye kang'ang'ania Statistics ambazo hata akina John Bocco wanazo au akina Drogba wanazo,
Basi acheni kumlinganisha pogba na kbd kama stastics sio issue kwaiyo tumkubali mchezaji kwa maneno tu lakn hakuna cha maana alichofanya?
 
Kipi cha ajabu alichokifanya neymar Jr hajakifanya?
Wakati wanacheza Liverpool na AC Milan UEFA champions League Kaka alipiga chenga ya kukanyaga mpira na kuzunguka nao,chenga hiyo hiyo akarudia Penant wa Liverpool lkn ile ya Kaka ndiyo ilionekana Bora zaidi wakati chenga ni hiyohiyo
 
Pole sana mkuu inaonekana umeanza kufuatilia mpira juzi kati Azam Fc ilivyoanzishwa bongo.

Kwenye mpira kumfananisha Fundi Gaucho na messi ni sawa na ramli chonganishi.
YouTube

#UTAFUNGWA#
Statistics hazidanganyi kwa messi mbali mno maana alichokifanya messi kufunga hatrick Elcasico wakongwe walikishindwa akiwemo gaucho leta statistics neymar na gaucho ndipo utapogundua kuwa gaucho kilaza
 
Leta stastics za neymar barca na gaucho mkuu
Hatutaki story za kwenye vijiwe vya kahawa
Wakisema kabeba Balloon d'or au kabeba W Cup unaanza kuongea habari za akina Lahm,wakisema kapigiwa makofi na Madrid unaanza habari za akina Iniesta. Sasa kuna haja gani ya kuuliza hilo swali
 
Wakati wanacheza Liverpool na AC Milan UEFA champions League Kaka alipiga chenga ya kukanyaga mpira na kuzunguka nao,chenga hiyo hiyo akarudia Penant wa Liverpool lkn ile ya Kaka ndiyo ilionekana Bora zaidi wakati chenga ni hiyohiyo
Changa toka lini ikawekwa kwenye stastics ninazodai?

Letta comparison ya goals and assist
 
Back
Top Bottom