RONALDINHO atangaza kutundika daluga, ninakushukuru kwa niaba ya Dunia

Aiseee...nakumbuka yeye ndo aliyenifanya niipende barc.sikuwa mshabiki wa barca ila yeye alinifanya niipende barca..nakumbuka jamaa alikuwa akiweka mpira kwenye paja kuupata ni ishu.anakutunishia msuli na hiwezi kuupata hata kwa dawa..ukimchezea rafu yeye hajali anacheka tu..dinyo ni habari nyingine acheni tu hawa akina mess na ronaldo wafunge magoli ila yeye atabaki kuwa hero
 
Unakijua unschokiandika ww?

Kwa akili yako tu ya kuzaliwa kaka unataka kumcompare gaucho na huyu KING MESSI Mwargentina!!!! Rudi utafakari upya kaka. While Gaucho hajafikia hata robo ya king Messi. U know that mjomba mtu unapojadili unatakiwa ujipange and then ukiombwa facts n evidence unatuletea sio mnakimbia kimbia tu.

  1. Weka statistics za Mfalme na gaucho pia...
  2. Tupia video ya gaucho nami nitatupia ya Mfalme
  3. Niletee ushahidi unaoonyesha gaucho yupo top 5 ama 10

Nasubiri, sitaki uniletee stori mkuu.
 
Mchezaji bora wa wakat wote

Huyu alikuwa anafunga sio kushndania ufungaji bora
Ila alikuwa anafunga inapobid tu
 
Aiseee...nakumbuka yeye ndo aliyenifanya niipende barc.sikuwa mshabiki wa barca ila yeye alinifanya niipende barca..nakumbuka jamaa alikuwa akiweka mpira kwenye paja kuupata ni ishu.anakutunishia msuli na hiwezi kuupata hata kwa dawa..ukimchezea rafu yeye hajali anacheka tu..dinyo ni habari nyingine acheni tu hawa akina mess na ronaldo wafunge magoli ila yeye atabaki kuwa hero

Yani unavyomwelezea gaucho utafikiri sisi wengine hatukumuona. Toa hoja yenye kuweleweka kaka. Hata statistics basii, hapo kwenye blue ndio kamsemo wa mashabiki wa gaucho na ukifatilia vizuri utagundua wengi hawajui mpira bali ni ushabiki usiokuwa na maana,hata ukimuomba evidence anatulia alafu atafuatia mwingine na hako kamsemo ulokatumia kumsifu.
 
Kwa akili yako tu ya kuzaliwa kaka unataka kumcompare gaucho na huyu KING MESSI Mwargentina!!!! Rudi utafakari upya kaka. While Gaucho hajafikia hata robo ya king Messi. U know that mjomba mtu unapojadili unatakiwa ujipange and then ukiombwa facts n evidence unatuletea sio mnakimbia kimbia tu.

  1. Weka statistics za Mfalme na gaucho pia...
  2. Tupia video ya gaucho nami nitatupia ya Mfalme
  3. Niletee ushahidi unaoonyesha gaucho yupo top 5 ama 10

Nasubiri, sitaki uniletee stori mkuu.
Usije hapa jukwaani uonekane na wewe unajua mpira, binafsi siwezi kubishana na mtu mwenye akili ya kukariri, takwimu unazotaka wewe ni za magoli na ndipo napoona nazungumza na kilaza asiejua soccer, unaijua tofauti ya nafasi aliokua anacheza gaucho na messi? Kila mmoja ana majukumu yake kwahivyo usitegemee takwimu zao kufanana, kasome majukumu ya messi na gaucho ndo urudi hapa , ndo nyinyi mtaanza kubishana nani zaidi kati ya hazard na ngolo kante.

Ukija usije kama kondoo
 
Kwani kama ww unampenda mess au ronaldo unataka na mm niwapende kama ww...ww baki na iman yako na mimi nibaki na iman yangu...kama burudani ni stastis basi nenda kazichukue kwa hao akina mess.........
 
Usije hapa jukwaani uonekane na wewe unajua mpira, binafsi siwezi kubishana na mtu mwenye akili ya kukariri, takwimu unazotaka wewe ni za magoli na ndipo napoona nazungumza na kilaza asiejua soccer, unaijua tofauti ya nafasi aliokua anacheza gaucho na messi? Kila mmoja ana majukumu yake kwahivyo usitegemee takwimu zao kufanana, kasome majukumu ya messi na gaucho ndo urudi hapa , ndo nyinyi mtaanza kubishana nani zaidi kati ya hazard na ngolo kante.

Ukija usije kama kondoo
Achana nae mkuuu.....kaenda kubali id anadhani anashindani tuzo ya mabishano..sisi tunazungumza vitu alivyokuwa anavifanya dinyo uwanjani yeye anaanza kuleta habari za takwimu....
 
Ni mchezaji bora kwa mwaka 2005, is the most technical player of all time. Yajue mambo 10 yaliyokupita enzi zake

1. Alikua akimpitia/drive Messi kila siku kwenda nae mazoezini enzi akiwa Barca na ndi mpaka keo messi anatamani kua kama Gaucho kwa kua ameona vingi zaidi ya mim na wew

2. Amekusanya jezi nyingi kwa mtindo wa kubadilishana baada ya mechi

3. Akiwa na miaka 7 ndipo alipewa jona la ronaldinho

4. Malengo yake kwa sasa ni kuanza siasa, cjui labda anamekua boosted na Joji weah

5. Mara zote awapo Barcelona kabla ya match aligongonga sana papuchi, anasema alikua anajiskia vzr kesgo yake uwanjan

6. Ilikua asain man u kabla ya barcelona

7. Anataka kufanya Duo with David Gueta

8. Ameshashiriki kweny segment ktk moja ya muvi za kifaransa, pia kwa sasa anahulka ya kuact muvi

9. Alishawahi kua msemaji wa UN 2016, "Michezo kwa maendeleo na amani"

10. ....

Wabongo bwana. Mnapenda kumake na kupost,without evidence ni kama kutwanga maji kwenye kinu 😛😛😛😛😛😛
 
Kwa akili yako tu ya kuzaliwa kaka unataka kumcompare gaucho na huyu KING MESSI Mwargentina!!!! Rudi utafakari upya kaka. While Gaucho hajafikia hata robo ya king Messi. U know that mjomba mtu unapojadili unatakiwa ujipange and then ukiombwa facts n evidence unatuletea sio mnakimbia kimbia tu.

  1. Weka statistics za Mfalme na gaucho pia...
  2. Tupia video ya gaucho nami nitatupia ya Mfalme
  3. Niletee ushahidi unaoonyesha gaucho yupo top 5 ama 10

Nasubiri, sitaki uniletee stori mkuu.

Anza wewe kuweka statistic zako hapo tuone.
Watu wanamsifia gaucho wewe unapinga.
Inawezekana hawajui sasa wewe wawekee hizo statistics zako kwamba messi zaidi na sio wao ,inawezekana wao wanamsifia bila kujua wape statistic hizo au fungua uzi toa statistics hizo kumsifia messi zidi ya gaucho watu waelimike.

Kwenye mpira kila mtu anashabikia timu yake hata kama mbovu na sio timu bora bado ataishabikia tu wewe hauwezi kujua aliipendea nini. Sasa ukitaka kila mtu ashangilie barca au kila mtu amshabikie messi kwenye mpira hakuna. ndio maana timu kama bristol city inamashabiki pia ingawa kwako sio timu bora.kwenye mitandao huko wanaisifia timu yao wewe ungekuwa unawashangaa.

Nilichokiona humu kwenye wachangiaji wengi kwamba gaucho wakati anacheza alikuwa mtu wavyenga sana ,kupiga watu kanzu(kukuvisha na kukuvua) kukusanya kijiji ,magoli ya tick tack,kuchezea mpira anavyotaka yeye na skills nyingine mbali mbali kwenye mpira. Kuna video ipo kwenye huu uzi gaucho akifanya mazoezi amekaa nje ya box anapiga dana dana halafu ule mpira anagongesha kwenye mwamba wa goli wa juu unarudi kwake kafanya kama hivyo mara nne .sasa watu wengi wameona hiyo ni burudani wanamsifia jamani noma wewe sasa unapinga unasema leteni statistic messi ni zaidi.

Uwezi kumlazimisha mtu kupenda asichokita kisa statistics.

Nasubiria uweke hizo statistic zako watu wapate elimu hapa .
 
Ni mchezaji bora kwa mwaka 2005, is the most technical player of all time. Yajue mambo 10 yaliyokupita enzi zake

1. Alikua akimpitia/drive Messi kila siku kwenda nae mazoezini enzi akiwa Barca na ndi mpaka keo messi anatamani kua kama Gaucho kwa kua ameona vingi zaidi ya mim na wew

2. Amekusanya jezi nyingi kwa mtindo wa kubadilishana baada ya mechi

3. Akiwa na miaka 7 ndipo alipewa jona la ronaldinho

4. Malengo yake kwa sasa ni kuanza siasa, cjui labda anamekua boosted na Joji weah

5. Mara zote awapo Barcelona kabla ya match aligongonga sana papuchi, anasema alikua anajiskia vzr kesgo yake uwanjan

6. Ilikua asain man u kabla ya barcelona

7. Anataka kufanya Duo with David Gueta

8. Ameshashiriki kweny segment ktk moja ya muvi za kifaransa, pia kwa sasa anahulka ya kuact muvi

9. Alishawahi kua msemaji wa UN 2016, "Michezo kwa maendeleo na amani"

10. ....
Alishawahi kukugonga mkuu kabla ya mechi?
 
Aiseee...nakumbuka yeye ndo aliyenifanya niipende barc.sikuwa mshabiki wa barca ila yeye alinifanya niipende barca..nakumbuka jamaa alikuwa akiweka mpira kwenye paja kuupata ni ishu.anakutunishia msuli na hiwezi kuupata hata kwa dawa..ukimchezea rafu yeye hajali anacheka tu..dinyo ni habari nyingine acheni tu hawa akina mess na ronaldo wafunge magoli ila yeye atabaki kuwa hero
Toka lini mchezaji akapimwa kwa kuweka mpira mapajani au?
 
Back
Top Bottom