Kwa kutoa misaada Mesi hàmuezi RonaldoMessi katoa Mara mbili ya Ronaldo [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] uchochezi wa makusudi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kutoa misaada Mesi hàmuezi RonaldoMessi katoa Mara mbili ya Ronaldo [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] uchochezi wa makusudi
wenger hajatoa yeye imetoa timu..mancity nao wametoa pesa ndefu tu mara tano zaid yua arsenalbora wenger mbona guadiola hajatoa kabisa kwa tafsiri yako haha ha ha
messi anatoa kila cku sio kwe majanga tu.......Messi ni balozi wa UNICEF ,kupitia foundation yake ya Leo messi foundation ameingia mkataba na UNICEF kusaidia watoto kwenye elimu,lishe nk na anachangia kila mwaka Ma millioni UNICEF ..
Kwa uhakika zaidi na habari kem kem tembelea tovuti ya Leo messi foundation
Aseno [emoji115] [emoji23] [emoji23]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] leta data hapa naona umesahau UNICEF uko wapi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa kutoa misaada Mesi hàmuezi Ronaldo