LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,611
- 27,615
ukijibu hivyo uwe unajua maana ya ubatizo. Unajua maji kidogo yalianzaje?Elimu ya talimungu ni muhimu sana, usipoelewa utataka maji mengi, utataka ukanyage mafuta, utataka uvae chupi za upako n.k.
Maji kidogo au mengi vyote ni ubatizo.