Ronaldo de Lima: Kizazi changu ilikuwa ngumu kuwa bora Duniani

Di lima anazeheka na akili zinamruka vibaya sana. Zidane nitaendelea kumheshimu sana. Ni mtu mstaarabu asiependa kuropoka hovyo,, na hana mambo ya kike kike.
 
Ww labda haujamuelewa de lima , de lima messi na ronaldo wanachua uchezaji bora mara kwa mara kwa wachezaji wanaoshindana nao ni dhaifu
 
Marseille umewasahau basile bolli , jean pierre pappin , barca / madrid michael laudrap ( mchezaji bora kabisa) na ndugu yake brian , peter scheimel naye ukumtaja , elbe sand , any way mkali vichwa nimemuona hapo ( bierhoff) , summer libero bora
 

Wewe unaonesha mpira umeanza kuuangalia juzi. Gaucho amesaidiaje De lima katika mafanikio yake ilhali de lima na Gaucho walikuwa katika zama tofauti na De lima alipata jina wakati hata Gaucho hajulikani. Historia ya De lima inaanzia 1996, wakati historia ya gaucho inaanzia 2002. Wakati gaucho anachipukia tayari de lima alikuwa na tuzo mbili za uwanasoka bora kibindoni. Utasemaje mafanikio ya De lima yamechagizwa na Gaucho.?

Binafsi kwangu Gaucho ni bora kuliko Messi. Kwa maana gaucho alikuwa anayatimiza mambo yake ya msingi awapo uwanjanjani na ziada pia. Na naona wengi hivi sasa mmekuwa brainwashed kuwa ili uwe bora ni lazima ufunge magoli mengi. Mnasahau mpira ni mchezo ambao kila mchezaji mmoja anapewa majukumu yake uwanjani, na ndo maana ikaitwa Timu. Na ubora wa mtu hupimwa kwa kutimiza majukumu yake ya msingi kiufashaha na akaongezea bonus juu yake.

Kufunga ni jukumu la msingi la washambuliaji, lakini pia usisahau kuna viungo mabeki na kipa. Ni sahihi kupima ubora wa washambuliaji kwa kuangalia idadi ya magoli wanayofunga. Ila si sahihi kutumia kigezo hicho kwa mabeki na viungo. Ndo maana unaona wakina Zidane , gaucho, rivaldo, figo, Canavaro walitunukiwa tuzo hiyo kwa nyakati tofauti.

FIFA kwa miaka ya karibuni imekuwa ikijiingiza katika siasa za soka, kwani katika miaka hii 10 ya hao mnaowaita wameshindikana nimeshuhudia mara tatu waliostahili tuzo wakinyimwa, ambapo laiti ingekuwa kipindi kile cha haki, waliostahili wangepewa dhahiri. Kwa miaka tofauti tofauti Andres iniesta(2014), Wesley Sneijder(2010), na Frank Ribery(2012) walinyang'anywa tuzo walizostahili kuzipata. Ukiwa fan wa mpira hili huwezi kubisha kwani lilikuwa dhaniri shair.
 
Zidane alikuwa anacheza namba ngapi Na Messi anacheza namba ngapi? Unajaribu kulinganisha shule Na mfereji halafu utake majibu sawa
 
Kweli lkn mi sijaona uwezo wa R9 kujiweka na level za R7 na messi, kwangu R9 level ni Henry Kane tu na pengn Kane ni bora zaid yake
Povu ruksa
 
Kweli lkn mi sijaona uwezo wa R9 kujiweka na level za R7 na messi, kwangu R9 level ni Henry Kane tu na pengn Kane ni bora zaid yake
Povu ruksa

Hujui unachokiongea. De lima alikuwa mtu mwengine aisee. Ingia youtube tafuta mambo yake ya kuanzia 1996 utaelewa nini nasema
 
Zidane alikuwa anacheza namba ngapi Na Messi anacheza namba ngapi? Unajaribu kulinganisha shule Na mfereji halafu utake majibu sawa
sasa hilo swali muulize mtoa post mkuu
mimi wanionea ..kwa sababu mtoa post ameleta mtazamo wa delima ambaye anasema kuwa kizazi chao kilikuwa na ushindani mkubwa kuliko hiki cha sasa pasipo kuzingatia nafasi za uchezaji wao uwanjani kupitia namba..
so namimi nimemjibu kutokana na vile ambavyo amei wakilisha content yake hapa..
but zidane na messi walikuwa wanacheza namba moja wote ...zidane 10 na messi 10
 
but zidane na messi walikuwa wanacheza namba moja wote ...zidane 10 na messi 10
Zinedine Yazid ZidaneO.L.H. , A.O.M.N. (French pronunciation: [zinedin zidan] , born 23 June 1972), nicknamed " Zizou ", is a French retired professional footballer and current manager of
Real Madrid . He played as an attacking midfielder for the France national team , Cannes ,
Bordeaux , Juventus and Real Madrid.
Zizou alikuwa anacheza namba nane
 
Hujui unachokiongea. De lima alikuwa mtu mwengine aisee. Ingia youtube tafuta mambo yake ya kuanzia 1996 utaelewa nini nasema
Youtube yann mi nimemshuhudia live, hana jipya, ni type tu ya henry kane
 
sawa
 
Wewe ni shabiki wa messi na sio mpira.. umeanza kushabikia mpira enzi messi akiwa kwenye ubora wake lakin bahati mbaya hukushabikia enzi wengine wakiwa kwenye ubora wao
We jamaa una uwezo mkubwa wa kufikiri japo tumebaki wachache
 
Tulia basi ueleweshwe. Nguli mwenyewe kakwambia kile kizazi ni balaa na bahati mbaya umemzungumzia De Lima akiwa timu yake ya Taifa. Muulize Messi mwenyewe analijua balaa la mfumaniaji magoli huyo alipokuwa Barca kabla ya kwenda Seria A. Kule walichuana sana na chuma ya Italy ikienda kwa jina la Del Piero. Kilikuwa kipindi cha aina yake kusema kweli.
 
Kama ni hivi usingemuacha GianFranco Zora na Faustino Aspilla na kuna Msweden mmoja aliitwa Martin Darlin.
 
Kuna beki mmoja aliitwa Paul Montero alikuwa Juventus. Center half matata sana. Kipindi hicho kilikuwa kigumu sana
 
Watu wamepiga hizo hat trick, wamepeleka timu zao WC, hukohuko wamepiga magoli na kombe la dunia wamebeba. Hayo makombe mengine wamejizolea kama mchanga na sifa nyingine kedekede. De Lima [emoji91]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…