Ronaldo de Lima: Kizazi changu ilikuwa ngumu kuwa bora Duniani

aiseee umeisoma hii content yko vyema kabla ya kuipost ..mkuu mbona haieleweki hahaa
 
nikumbushe DELIMA alishawahi kumfnya coacher gani apate kiharusi kama ambavyo ameshawahi kufnya messi ..halafu messi hakufnya kwa man u tu..ameshawahi kuwafnya Madrid katk nusu final ya uefa alishamshikisha adabu boarteng juzi juzi tu katoka kumburuza ardhini Marcelo hahaa ..
daaahh yule kiumbe sijui ana IQ ngapi aiseee
 
Sasa hearly tukiacha maneno mengi baadhi ya facts ni hizi hapa

DeLima wakati yuko Barca asilimia ya kufumania nyavu ilikuwa ni 91.9%
Timu ya Taifa 63%
Copa America 2 na Runner-up1
World Cup 2 na Runner-up1
Messi akiwa Barca ufumaniaji nyavu ni 91.6%
Timu ya Taifa 50%
Copa America 0 na Runner-ups3
World Cup 0 na Runner-up1
CR7 akiwa RMadrid kafumania nyavu kwa 104.3%
Timu ya Taifa 54%
EURO 1
Runner-up1
World Cup 0
Runner-up0.

Ufumaniaji nyavu katika timu za Taifa nimechukua tangu walipoanza kuzichezea nchi zao hata wakiwa na umri mdogo. Na kwa Messi nimempendelea kidogo kwa mechi za klabu kwa kuchukua mechi zake zote maana ni club moja tu aliyowahi kuichezea mpaka leo.

NOTE:- HAWA WAWILI WA MWISHO WANA WC HII YA 2018 ILI KUWEKA REKODI ZAO VIZURI. KWA KUWA BINGWA NI MMOJA NAAMINI KATI YA MESSI NA CR7 HAKUNA ATAKAEITWAA NDOO HIYO KUMZIDI DELIMA. HIZI NI FACTS, HUTAKI UNAACHA. TWENDE NA DELIMA [emoji91] [emoji123] [emoji123] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
 
daaahh mkuu hizi habari umezitoa kwa chanzo kipi cha habari .matango pori haya..hahaaa...
ronaldo Katka maisha yake amefaulu kutwaa kiatu cha ufungaji bora wa ulaya wa ligi yote ya ulaya Mara 2 tu..messi na rc7 wamechukua hiyo tuzo Mara 8 Mara nne kwa kila mmoja wao..aiseee achana na ufungaji bora wa uefa measi kachukua Mara 3cr7 Mara 4..hizo takwimu wazitoa wapi wewe hahaa
 
aiseee umeisoma hii content yko vyema kabla ya kuipost ..mkuu mbona haieleweki hahaa
Post zangu zinaenda kwa mtiririko. Bahati mbaya huzisomi kwa makini mstari kwa mstari. Bahati mbaya hufanyi homework ujue undani wake. Sasa nimekuwekea kumbukumbu chache ili uone jukumu walilonalo hawa vijana wanapokuwa na safari ya kumtafuta DeLima. Ukisema Messi yuko "sayari" nyingine sikuelewi kabisa. Unapoenda sayari nyingine it's obvious kwamba takeoff velocity ni hapahapa duniani. Qn is huyo messi hajaliona kombe la dunia au copa america hadi kayaacha duniani. Hizo runner-ups zilikuwa za nini au ndo yaleyale sizitaki mbichi hizi? Twende na DeLima[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji123]
 
Fanya homework kama ninavyofanya mimi hapa. Nimewasoma wote ndo nikatoka na hiyo executive summary. Hata hivyo kwa swali lako pitia extract hii hapa chini ujifunze kitu kingine. Inaonekana wewe bado sana
ninaposema twende na DeLima wewe tufuate tu[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]


SASA HAYO MAGOLI 34 YALITOKANA NA MECHI 37. CHUKUA 34/37 X 100= 91.89 approximately to 91.9%. Rudi kwenye hesabu zangu halafu uanze ku trail. Wewe bado sana aisee
 
El phenomena
 
Kaka nimekubali , c7'na mwenzake ni wachumba tu
 
Ni kwa kuwa tuko humu mitandaoni ndo maana tunapuuzana kirahisi. Mpira tuliucheza zamani na akina Lila Shomari. Lakini kwa sehemu kubwa tulikuwa tukibadilishana uwezo na akina Paulo Rwechungura, akina Bea Simba, Fumo Felician, Clement Kahabuka, Nteze John et al. Yaani ilikuwa ni hivii[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91].
Mpira wa enzi hizo ilikuwa burudani sana. Uliweza kucheza na mtu kama Kelvin Haule. Unamkumbuka aisee?
 
Bana hearly mara yangu ya mwisho kupiga danadana ilikuwa Jangwani hapo enzi za Kocha Tambwe Leya tulikuwa na akina Ben Luoga, Shaban Nonda Papii, Slyvatus Ibrahim, Salvatory Edward...sijui kipindi hicho wewe ulisukuma gozi la ng'ombe ukiwa wapi
 
Kelvin haule , abbas said kuka, peter tino huyu ni hatari,malota soma, alain shomari, Bwalya, Edd Mohamed, Bakar iddi , maskati said, Julius mwakatika etc , daah long time hiyo, halafu zamani mabeki walikuwa watu wa kazi , gary pallister, captain tony adams, Christian pannuci,mathias sammer,steve bruce, nesta,costacuta etc
 
Asantee, hizo beki hazikuwa na lelemama no wonder DeLima alitundika daruga mapema. Hizo beki weka mbali na watoto mkuu. [emoji109]
 

Usimfananishe Messi na vitu vya kijinga Mkuu, utaonekana hujui mpira. Messi level nyingine bana.


  1. Messi
  2. Diego
  3. Pele

  1. Alfredo de stefano
  2. Johan Cruyff
  3. Puskas
  4. Zidane
  5. Requelme

  1. Iniesta
  2. De lima
  3. Ibracadabra
  4. Gaucho
  5. Xavi
  6. Aimar
  7. Di maria
  8. Aguero
  9. Neimar
  10. Dybala
  11. Mbappe
  12. De bruyn
  13. Hazard
 
Nimeandika sana humu ndani ila kwa sababu ni mvivu wa kusoma umekurupuka kama umeshinda hela za Biko. Acha povu soma comments kwanza.
 

Yani Messi atoke Barca aende tim za mchangani. Si vichekesho jamani!!! Yani haoni ata aibu kuongea hivyo...Ndio kushindwa kwenyewe hoja inapelekea wanaandika wasichokijua mkuu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Nimeandika sana humu ndani ila kwa sababu ni mvivu wa kusoma umekurupuka kama umeshinda hela za Biko. Acha povu soma comments kwanza.

Nimepitia commets zako zote sijaona facts. Huwezi mlinganisha Messi na Di lima hata kama angecheza miaka 50 ahead lakini asingeweza kumfikia.


Ebu naomba magoli ya de lima ktk kila msimu alocheza Barcelona, Madrid na hata inter alafu tucompare na Messi aliyecheza club moja tena the big club in the world. Najuwa ni wivu huo unakusumbua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…