Ronaldo de Lima: Kizazi changu ilikuwa ngumu kuwa bora Duniani

mkuu huyo messi unaye. mzumgumzia hapa aliwapiga Madrid ya capelo goal 3 mguuni akiwa anatokea benchi team ya Madrid ikiwa na kina zidane .nahao kina r .carlos na yule beki wao RAIA wa Italia aliyewahi kuchukua balloon Dior na Madrid ilikuwa inaongoza goal 3 bila messi alivyoingia kipndi cha pili akarejesha zote mechi ikawa draw ..tangu siku hiyo mpka leo Fabio capelo ana amini hakuna mchezaji bora kuwahi kutokea chini ya hili jua zaidi ya messi.messi huyo huyo alimdhalilisha Paul schols kwakumpiga matobo kama mtoto mdogo ..nanina dhani sifa ya scholsc dhid yakuwa kiungo mkabaji bora unaijua vyema...sasa wataka mabeki gani tena waje kumkaba au kutoka mars hahaaa

Messi sio binadamu. Haters wenyewe wanakiri. Isipokuwa ubishi usiokuwa na maana.
 
Huyu ndo mchezaji ambae anawasumbua vichwa watu duniani__kila anaekuja anawika miaka miwili au mitatu anapotea lakini Messi yupo pale pale_best player in all generation.

Nyie pigeni kelele mpaka masikio yasimame lakini Messi ndio kwanzaa anazidi kuwa fire
 
Nikuletee ya mwisho na twende huko kwenye majukwaa mengine. Kwenye National Team majukumu ya juu kabisa waliyowahi kuwa nayo Messi CR7 na R9 ni timu kapteni kwa hao wawili wa mwanzo na R9 akipewa kama goal getter.
Katika hao ni nani alitimiza majukumu hayo vizuri kwa kuacha Landmark(s). Just relax and enjoy your reading.

Ivi mkuu kwa akili zako tu za kuzaliwa unaamini kweli de lima ni zaidi ya Messi! Zidane ni zaidi ya Messi! Gaucho ni zaidi ya Messi! Au unamkusudia Messi yupi wa mchangani au??? Nashangazwa sana unatuletea vitu vya ajabu unavilinganisha na Mfalme wa soka kuwahi kutokea! Pele na maradona wenyewe wamenawa mikono kwa Messi, alaf wewe unatuletea vibeseni hapa akina de lima!!! Kuwa serious!

Nimekusoma unachuki sana na Messi hilo liko wazi mkuu. Na sio Messi tu hata cr7.

Hiyo kweli kabisa , Kuna mwaka Ronaldo de lima alikuwa mchezaji bora 1998 au 1999, mi niliona figo ndio alistahili nikabishana Sana na jamaa, mwaka uliofuatiwa figo akawa mchezaji bora
mmmh hapa pana ukweli? figo 1998-1999 ,!

embu angalia vizuri kumbukumbu zako!
 
nimetoa fact nyingi mnooo humu acha kujifnya huelewi kitu ..jaribu kufuatilia post zilizopita ..huwenda ikawa nacho kiongea sio level ya ubongo wako ndio maana hutaki kuelewa ..moja ya fact niliyotoa niliwaambia kuwa katk rank za uefa zidane anasimama ktk nafasi ya 4 kama mchezaji bora wa ulaya ..nyuma ya cryf.platin na cr7 .so huo ubora wa hao wachezaji wenu bora mnao wataja uko wapi ikiwa wameachwa mbli mpka na kina platin ndio watafikia level ya messi anayefahamika kama G.O.A.T

HIYO HOJA MLIJIFNYA KUTOIONA MKAIPITA DAAHH MNAVISA
NIMETOA FACT KIBAO MNOOO HUMU FUATILIA POST ZANGU ZA NYUMA ...
THEN NAKWENDA KUPMZIKA NOW ..HUU MJDALA KWA LEO NAISHIA HAPA .NGOJA NITEMBELEE MAJUKWAA MENGINE NIPATE KUJIFNZA ZAID

Sijui anataka facts zipi_wabongo bana vichekesho sana, ndio maana kwenye mitihani/interview tunafeli sana
 
hivi unajua Tito kuna wakati anatushangaa. Sasa kwa muda wote huu una facts gani contrary na nilizokuwekea aisee. Mbali na personal attacks sioni msingi wa hoja zako. In fact personal attacks ni kundi la chini kabisa katika ulimwengu wa maarifa.

Ukishindwa kuyaona mafanikio ya sasa ya Zidane ni dhahiri una tatizo mahali. Unaposema Zidane anaujua mpira ni records mkuu zinazotokana na anavyoujua mpira. Tuletee za huyo kijana

Zidane ni mchezaji bora zaidi ya De lima, tena yupo kwenye list ya wachezaji wa zamani na sio Dada lima

  1. Kwa taarifa yako waliotajwa kwenye utatu kuna
  • Messi
  • Diego
  • Pele
Ukija kundi la pili kuna
  • Alfredo
  • Cruyff
  • Platini
  • Cr7
  • Zidane
Sasa huyo de lima wako ambae ni foward tu wakumalizia utamlinganisha vipi na Messi ambae yupo level ya juu!! Huyu huyu Messi ana assist anaetengeneza, kukusanya kijiji and then anascore. Aise muombe radhi kiumbe huyu asie na mpinzani mpaka now.

Sina mda wa kujadili wakati ukweli unajulikana. Ukitaka facts zaidi omba msaada Google.
 
Ivi mkuu kwa akili zako tu za kuzaliwa unaamini kweli de lima ni zaidi ya Messi! Zidane ni zaidi ya Messi! Gaucho ni zaidi ya Messi! Au unamkusudia Messi yupi wa mchangani au??? Nashangazwa sana unatuletea vitu vya ajabu unavilinganisha na Mfalme wa soka kuwahi kutokea! Pele na maradona wenyewe wamenawa mikono kwa Messi, alaf wewe unatuletea vibeseni hapa akina de lima!!! Kuwa serious!

Nimekusoma unachuki sana na Messi hilo liko wazi mkuu. Na sio Messi tu hata cr7.

mimi simpendi CR7 but haimaanishi kuwa hajui Moira ..ila huwa simpendi kwakuwa najua kuna watu wana force awe sawa na messi ...
ila ktka suala hili la cr7kupitwa nakina figo cjui DELIMA aiseeee na pinga vikali nikumkosea heshima ronaldo 7
 
Upo sahihi mkuu!! imi pia simpendi Cr7. Lakini likija swala la kuwalinganisha na kuweka ushabiki mandazi pending cr7 ni bora mara 100 yao. Alaf anakuja mtu ana mcompare Messi na cr7 or Messi na De lima or Messi na Gaucho or Messi na Zidane. Yani mtu kama hana cha kuchangia ni heri akae pembeni awaachie wanaojuwa 😀😀😀
 
Ivi mkuu kwa akili zako tu za kuzaliwa unaamini kweli de lima ni zaidi ya Messi! Zidane ni zaidi ya Messi! Gaucho ni zaidi ya Messi! Au unamkusudia Messi yupi wa mchangani au??? Nashangazwa sana unatuletea vitu vya ajabu unavilinganisha na Mfalme wa soka kuwahi kutokea! Pele na maradona wenyewe wamenawa mikono kwa Messi, alaf wewe unatuletea vibeseni hapa akina de lima!!! Kuwa serious!

Nimekusoma unachuki sana na Messi hilo liko wazi mkuu. Na sio Messi tu hata cr7.

Kwa taarifa fupi mimi ni mshabiki kindakindaki wa La Liga, unaweza pia kunikuta kwenye Real Madrid Special thread humuhumu JF. Sasa hizo chuki nazianzaje. Kama una kawaida ya ku fail interview hilo ni tatizo lako wala sio la jumla. Pole sana mkuu.
 
Upo sahihi mkuu!! imi pia simpendi Cr7. Lakini likija swala la kuwalinganisha na kuweka ushabiki mandazi pending cr7 ni bora mara 100 yao. Alaf anakuja mtu ana mcompare Messi na cr7 or Messi na De lima or Messi na Gaucho or Messi na Zidane. Yani mtu kama hana cha kuchangia ni heri akae pembeni awaachie wanaojuwa 😀😀😀
Sikujua kama uko low kiasi hiki. Hivi inakuwaje una conflict of interest na unajiweka kwenye position ya uamuzi wa jambo sensitive? Sasa chuki za nini kwenye mchezo unaohimiza "Fair Play" kama huu? Bahati mbaya kwa fikra zako finyu unalazimisha na wengine tuamue kwa muktadha huohuo. Hapana, twende na mpira wetu vizuri tu.
 
alichokisema Rinaldo kinaukweli kiasi lakini niktika upande wa ushindani wakizazi chao...nasio katk ubora alionao messi ama cristiano ronaldo na wao...ktk hao aliowataja watu wanaopaswa kuingizwa ktk compatation ya baina ya messi na cristiano kwa mbali ni ronaldo mwenyew na zidane bhasiiii na bado ubora wao haufikii hata kwa messi..mtu aliyeweza kupiga goal 91 ktka msimu mmoja mtu aliyeweza kuchkua tuzo NNE bora ya fifa katika miaka mi4 mfululizo ..mtu ambaye ameivusha agentina nakuipeleka world cup tena kwa nguvu zake nzito kiasi Kile mtu ambaye amekuwa anafnya vyema kila baada ya miaka 2 ..waweza kumfananisha nahao kina delima..delima alikuwa nimchezaji mzuri mnoo lakini alizungukwa na wachezaji wazuri pia ktk team yao ya taifa...watu kama gaucho rivaldo na kaka huwezi acha kuwataja mbele ya mafanikio ya delima katk team ya taifa ..ukimtazama messi kuanzi upigaji chenga ..kasi ..uwezo wakutoa Pasi za mwisho mpaka uwezo wakuzifumania nyavu .hakuna wakumuweka level moja nae hapa....kiasi anajitahidi cristiano nanikatk upande wa magoli tu pekee ...lakini sio ukokotaji mpira wala upigaji chenga wla pasi za mwisho na jinsi ambavyo anaichezesha team
Mara kibao tumekuwa tunaona messi akiwa hayupo na barca NAyO haina pumzi..itazame barca ilivyoondokewa na neymar ..ilivyoondokewa na gaucho ..hakuna aliyetegemea kama itakuwa katk level hizi ..yote hiyo nikwaajili ya uwezo wa messi
zidane alikuwa anacontrol mnoo anapiga chenga pia na kuichezesha team pia...but hakuwa mpigaji mzuri wa mipira iliyokufa kama messi hakuwa mwenye uwezo mkubwa wakupiga chenga watu wanne mpka wa tano kama messi ..hakuwa mfungaji bora hata siku moja ..hakuwahi kuwa nakasi kama messi..hakuwahi na pasi za mwisho nyingi kama messi...messi nimchezaji aliyetemia na uwezo wake dhidi hayo wachezaji waliotajwa hapo nivitu vinavyotengana kama maji na mafuta ..messi kawaacha mbali mnoo
Umeandika mengi lakini haya ukweli nadhani tathimini yako imebase katika kizazi ulichoanza kuujua mpira cha kina messi,lakini delima yuko sahihi kabisa wala sikweli kuwa ronaldo alizungukwa na watu wenye uwezo katika mantiki hiyo nitakuuliza wakati messi anakuwa mfungaji bora au ronaldo mdogo anakuwa mfungaji bora hakuzungukwa na watu wenye uwezo?wakati wakina delima tulizungumzia vipaji binafsi na vipaji halisi achana na huu mpira waleo ulio jaa technolojia ambao kila mtu hata ambae hajawai cheza mpira wamakaratasi anaweza kuwa mchambuzi wa soccer tunazungumzia mpira ule ulio fanya mpira waleo kuwa biashara kubwa 99% hawakuwa wachezaji wa kutengenezwa
 
Sijui kama watakuelewa hawa vijana
 
alichokisema Rinaldo kinaukweli kiasi lakini niktika upande wa ushindani wakizazi chao...nasio katk ubora alionao messi ama cristiano ronaldo na wao...ktk hao aliowataja watu wanaopaswa kuingizwa ktk compatation ya baina ya messi na cristiano kwa mbali ni ronaldo mwenyew na zidane bhasiiii na bado ubora wao haufikii hata kwa messi..mtu aliyeweza kupiga goal 91 ktka msimu mmoja mtu aliyeweza kuchkua tuzo NNE bora ya fifa katika miaka mi4 mfululizo ..mtu ambaye ameivusha agentina nakuipeleka world cup tena kwa nguvu zake nzito kiasi Kile mtu ambaye amekuwa anafnya vyema kila baada ya miaka 2 ..waweza kumfananisha nahao kina delima..delima alikuwa nimchezaji mzuri mnoo lakini alizungukwa na wachezaji wazuri pia ktk team yao ya taifa...watu kama gaucho rivaldo na kaka huwezi acha kuwataja mbele ya mafanikio ya delima katk team ya taifa ..ukimtazama messi kuanzi upigaji chenga ..kasi ..uwezo wakutoa Pasi za mwisho mpaka uwezo wakuzifumania nyavu .hakuna wakumuweka level moja nae hapa....kiasi anajitahidi cristiano nanikatk upande wa magoli tu pekee ...lakini sio ukokotaji mpira wala upigaji chenga wla pasi za mwisho na jinsi ambavyo anaichezesha team
Mara kibao tumekuwa tunaona messi akiwa hayupo na barca NAyO haina pumzi..itazame barca ilivyoondokewa na neymar ..ilivyoondokewa na gaucho ..hakuna aliyetegemea kama itakuwa katk level hizi ..yote hiyo nikwaajili ya uwezo wa messi
zidane alikuwa anacontrol mnoo anapiga chenga pia na kuichezesha team pia...but hakuwa mpigaji mzuri wa mipira iliyokufa kama messi hakuwa mwenye uwezo mkubwa wakupiga chenga watu wanne mpka wa tano kama messi ..hakuwa mfungaji bora hata siku moja ..hakuwahi kuwa nakasi kama messi..hakuwahi na pasi za mwisho nyingi kama messi...messi nimchezaji aliyetemia na uwezo wake dhidi hayo wachezaji waliotajwa hapo nivitu vinavyotengana kama maji na mafuta ..messi kawaacha mbali mnoo
Kizazi hiki meharibikiwa sana, mchezaji bora kwenu ni yule anaefunga magoli mengi tu, wengine hawana nafasi, sikushangai kusema haya.
 
Messi and Ronaldo(cr7) have absolutely no chance to this guy(R9)NEVER NEVER, R9 was the best player without a doubt to have ever walked the face of this world.
 
Kizazi hiki meharibikiwa sana, mchezaji bora kwenu ni yule anaefunga magoli mengi tu, wengine hawana nafasi, sikushangai kusema haya.
makaveli [HASHTAG]#heshima10[/HASHTAG] yako kwanza...
mkuu hiki kizazi ni moja ya vizazi bora kabisa kuwahi kutokea ..maana messi tu kama mchezaji mmoja lakini anasifa zote ambazo zilikuwa zinapatikana kwa wachezaji mmoja mmoja wa wakati huo wazamani hahaa ndio maana zamani palikuwa na competition kubwa ..ukimuangalia messi vyema utagundua kuwa ana skills .ana drible anaichezesha team .ndiye mtoaji pass za mwisho za magoli na ndiye mfungaji bora wa club na ligi ya Spain wa muda wote...so wataka nini tena ??
 
Back
Top Bottom