Duh! Wewe jamaa acha kudanganya watu humu na kufanya hawaujui mpira,,, yani de lima amzidi Messi huyu Messi!!! Au unakusudia messi wa mchangani!!! Gaucho na Messi wapi na wapi!! De lima na Messi wapi na wapi Ni kama tembo na sisimizi,,,,, mtake radhi huyu kiumbe ambaye hana mpinzani adi leo hii.
Ili wawe bora zaidi ya King Messi,,, kwanza kabisa wavuke kwa Diego Maradona, Zidane,de stefano, puskas,cruiff na kwa Pele.....baada ya hapo kama watakuwa wamevuka, so walinganishwe na Professor mwenyewe/MESSI......
kwa taarifa yako,,, hivyo vichezaji vyako vingekuwepo kipindi hiki visingeambulia chochote huo ndio ukweli halisi....