Ronaldo de Lima: Kizazi changu ilikuwa ngumu kuwa bora Duniani

Ronaldo de Lima: Kizazi changu ilikuwa ngumu kuwa bora Duniani

makaveli [HASHTAG]#heshima10[/HASHTAG] yako kwanza...
mkuu hiki kizazi ni moja ya vizazi bora kabisa kuwahi kutokea ..maana messi tu kama mchezaji mmoja lakini anasifa zote ambazo zilikuwa zinapatikana kwa wachezaji mmoja mmoja wa wakati huo wazamani hahaa ndio maana zamani palikuwa na competition kubwa ..ukimuangalia messi vyema utagundua kuwa ana skills .ana drible anaichezesha team .ndiye mtoaji pass za mwisho za magoli na ndiye mfungaji bora wa club na ligi ya Spain wa muda wote...so wataka nini tena ??
Ntakujibu kwa majibu mafupi mpira wasasa ni narenare au laini sana hakuna skills kunatechnolojia nyingi sana
 
Ntakujibu kwa majibu mafupi mpira wasasa ni narenare au laini sana hakuna skills kunatechnolojia nyingi sana
skills hakuna mkuu au wadanganya ..!!?
messi nijibu tosha ..achilia mbali neymar Jr..
 
skills hakuna mkuu au wadanganya ..!!?
messi nijibu tosha ..achilia mbali neymar Jr..

Hii umeipitia vizuri kabla hujaipachika humu? Kwenye hayo makundi wafuatao ( tena kwa uchache) umewaachaje

FRANZ BECKENBAUER
CARLOS VALDERRAMA
GEORGE WEAH
HRISTO STOICHKOV

Angalia namna nilivyowaleta ili ujifunze kitu na ntafurahi ukiwazungumzia kidogo (Kama unawafahamu). Asante
Mwenzako ame like, sasa sijui ni kwa bahati mbaya au kanogewa?! Anyway, ushamaliza kula turudi kwenye lile jukwaa?
 
Mwenzako ame like, sasa sijui ni kwa bahati mbaya au kanogewa?! Anyway, ushamaliza kula turudi kwenye lile jukwaa?
kulike kuna mantiki nyingi ...waungwana huwa tunapnda kutoa like ..ili kuonyesha kuwa hiki kinachotufnya tuwe tofauti kimtazamo hakipaswi kutufanya tushindwe kuitambua thamani ya michango yetu wote tunaoitoa humu JF haijalishi unapendezwa na hoja za mtu au unachukizwa nazo ..unachopaswa kufnya nikuheshimu maoni yke ..maana kama ingekuwa mtu unabaki peke yko humu usingepata nafasi yakubadilishana ideas na watu wengine
 
Ni kweli kizazi cha Ronaldo de Lima na Zidane kilikuwa na wachezaji bora sana ukifananisha na kipindi hiki. lakini uwezo wa Messi na CR7 ni wa hali ya juu sana na naamini wangereta ushindani wa hali ya juu hata wangekuwepi kipindi cha wakina Ronaldo de Lima
 
sasa social media kibao ndo mana unasema ivo,

kibongo bongo mnamsifia SHISHIMBI, AJIBU, KICHUYA, MKUNDE,

LAKINI jiulize kuna ambaye anayefikia uwezo wa LUNYAMILA?

jibu unalo,


Ronaldo De Lima mwacheni tuuu

hiyo namba 9 ilikuwa motooo
 
si kwlei hiki cha messi na ronaldo ni hatari japo wapo wawili tu.

Hiki ni kikali zaidi kuwahi kutokea, akina zidane, de lima, gaucho n.k kipindi hiki wasingeonekana, wangelikuwa kama akina aguero, iniesta, neimar,Dybala,mbappe n.k...kuna mijitu humu itapingi hiki kitu
 
skills hakuna mkuu au wadanganya ..!!?
messi nijibu tosha ..achilia mbali neymar Jr..

Ukitaja jina MESSI wanaumia sana haters, coz wanamjua kakamilika,na ndiye baba wa soka kuwahi kutokea___ kwa skills,dribbling,passes,freeckick, goal scorers n.k hana mpinzani hapa duniani.labda penalties anazidiwa. So Hilo wanalijua sana except chuki zinawasumbua hawa watu,hakuna kingine.alafu nimegundua"chuki na wabishi duniani" wanapatikana bongo tu, other countries sijaona hilo.

I'm so happy umemjibu shortcut "MESSI NI JIBU TOSHA" umemaliza.
 
Ukitaja jina MESSI wanaumia sana haters, coz wanamjua kakamilika,na ndiye baba wa soka kuwahi kutokea___ kwa skills,dribbling,passes,freeckick, goal scorers n.k hana mpinzani hapa duniani.labda penalties anazidiwa. So Hilo wanalijua sana except chuki zinawasumbua hawa watu,hakuna kingine.alafu nimegundua"chuki na wabishi duniani" wanapatikana bongo tu, other countries sijaona hilo.

I'm so happy umemjibu shortcut "MESSI NI JIBU TOSHA" umemaliza.
*Cristiano Ronaldo vs Leo Messi in court*
Judge: Have any of you won the
Golden ball?
Ronaldo: Yes, 5 times.
Messi: Yes, 5 times as well.
Judge: Have any of you won the
Golden Boot?
Ronaldo: Yes, 4 times.
Messi: Same here.
Judge: How many individual trophies
have you each won?
Ronaldo: 16.
Messi: 13.
Judge: Have any of you played for
another club’s first team besides your
current one?
Ronaldo: Yes! Sporting CP in Portugal
first division and Manchester United
in BPL.
Messi: No. Only Barcelona.
Judge: Have any of you won a title
with your national team?
Ronaldo: Yes! We won Portugal’s first
ever European Championship.
Messi: No.
Judge: How many goals have each of
you scored for your respective
teams?
Ronaldo: Should I count the goals
I’ve scored for Man United and
Sporting?
Judge: No. Only for Real Madrid.
Ronaldo: 427 goals in 421
appearances or 9 seasons.
Messi: 534 goals in 617 appearances
or 14 seasons.
Judge: Who has scored more hat-
tricks in La Liga?
Ronaldo: Me. 35 in La Liga.
Messi: Ronaldo has. I’ve scored 28.
Judge: Which is the most prestigious
competition in club football?
Ronaldo: Champions League.
Messi: Champions League.
Judge: Have any of you won
Champions League?
Ronaldo: Yes, 4 times in total with 2
different teams. Once with Man United
and 3 times with Madrid.
Messi: Yes, 4 times as well with
Barcelona only.
Judge: Who has scored more goals in
the CL between the two of you?
Ronaldo: I’ve scored 114 goals in the
CL.
Messi: I’ve scored 97.
Judge: Who has more assists
between the two of you in the CL?
Ronaldo: I have 38.
Messi: Ronaldo has. I have 26.
Judge: Who has scored more goals in
total in the CL finals?
Ronaldo: Me.
Messi: Ronaldo.
Judge: Which one of you have scored
more free kicks?
Ronaldo: I have.
Messi: Ronaldo has.
Judge: Most goals with weak foot?
Ronaldo: Me, I think.
Messi: (Nods in agreement).
Judge: Most goals from outside of the
box?
Ronaldo: Me.. again.
Messi: Ronaldo.
Judge: Who has scored more
headers?
Ronaldo: Is that a serious question?
Messi: ...
Judge: Who has a better penalty
conversion rate?
Ronaldo: I think I do. I’ve scored 82%
of the penalties I’ve taken.
Messi: I’ve scored 77% of the
penalties I’ve taken.
Judge: Which one of you have scored
the most goals in total during your
career?
Ronaldo: I think I have. 628 goals.
Messi: I’ve scored 595.
Judge: How many football records do
each of you hold in total for both
club and country?
Ronaldo: 146
Messi: 110
Judge: Well, after analyzing all of the
facts that have been presented to me.
I can only draw one conclusion when
it comes to comparing you both as
football players. That conclusion is
that Ronaldo is the better player in
almost every category. When it comes
to goal scoring and accolades for
both club and country, Ronaldo
comes out on top. Messi, you are
without a doubt Barcelona’s best
player of all time. But certainly not
the world’s best ever. That is clearly
Ronaldo at the moment.
Messi: But I am younger than Ronaldo
and haven’t played as many matches
as him.
Judge: I understand that, but until
you surpass his goal scoring records
and win as many trophies both
individually and collectively as he
has, then Ronaldo will, according to
the statistics, be considered as the
best football player of all time. Until
then, keep pushing on and you just
might be able to achieve just as
much as Ronaldo!
 
Messi and Ronaldo(cr7) have absolutely no chance to this guy(R9)NEVER NEVER, R9 was the best player without a doubt to have ever walked the face of this world.
R9 labda umlinganishe na Suarez, hao wengine waache kabisa
 
alichokisema Rinaldo kinaukweli kiasi lakini niktika upande wa ushindani wakizazi chao...nasio katk ubora alionao messi ama cristiano ronaldo na wao...ktk hao aliowataja watu wanaopaswa kuingizwa ktk compatation ya baina ya messi na cristiano kwa mbali ni ronaldo mwenyew na zidane bhasiiii na bado ubora wao haufikii hata kwa messi..mtu aliyeweza kupiga goal 91 ktka msimu mmoja mtu aliyeweza kuchkua tuzo NNE bora ya fifa katika miaka mi4 mfululizo ..mtu ambaye ameivusha agentina nakuipeleka world cup tena kwa nguvu zake nzito kiasi Kile mtu ambaye amekuwa anafnya vyema kila baada ya miaka 2 ..waweza kumfananisha nahao kina delima..delima alikuwa nimchezaji mzuri mnoo lakini alizungukwa na wachezaji wazuri pia ktk team yao ya taifa...watu kama gaucho rivaldo na kaka huwezi acha kuwataja mbele ya mafanikio ya delima katk team ya taifa ..ukimtazama messi kuanzi upigaji chenga ..kasi ..uwezo wakutoa Pasi za mwisho mpaka uwezo wakuzifumania nyavu .hakuna wakumuweka level moja nae hapa....kiasi anajitahidi cristiano nanikatk upande wa magoli tu pekee ...lakini sio ukokotaji mpira wala upigaji chenga wla pasi za mwisho na jinsi ambavyo anaichezesha team
Mara kibao tumekuwa tunaona messi akiwa hayupo na barca NAyO haina pumzi..itazame barca ilivyoondokewa na neymar ..ilivyoondokewa na gaucho ..hakuna aliyetegemea kama itakuwa katk level hizi ..yote hiyo nikwaajili ya uwezo wa messi
zidane alikuwa anacontrol mnoo anapiga chenga pia na kuichezesha team pia...but hakuwa mpigaji mzuri wa mipira iliyokufa kama messi hakuwa mwenye uwezo mkubwa wakupiga chenga watu wanne mpka wa tano kama messi ..hakuwa mfungaji bora hata siku moja ..hakuwahi kuwa nakasi kama messi..hakuwahi na pasi za mwisho nyingi kama messi...messi nimchezaji aliyetemia na uwezo wake dhidi hayo wachezaji waliotajwa hapo nivitu vinavyotengana kama maji na mafuta ..messi kawaacha mbali mnoo
Ushabiki umekujaa tu huna lolote wachezaj walkuwa zaman kipind hiko huwez Jua nan atachukua tuzo kila league Kuna wachezaj wa kutisha ushindan Ulkuwa mkubwa
 
Ushabiki umekujaa tu huna lolote wachezaj walkuwa zaman kipind hiko huwez Jua nan atachukua tuzo kila league Kuna wachezaj wa kutisha ushindan Ulkuwa mkubwa

Kwa sababu uwezo wao ulikuwa ni wa kawaida sana ukilinganisha na uwezo wa MESSI NA CR7. wewe hujiulizi tu kama wangelikuwepo kipindi hiki cha akina Messi wangeambulia nini kama sio hewa? Hivi hujiulizi ni kwanini Messi halinganishwi na hao wachezaji wa zamani? I means ZIDANE, REQUELME, GAUCHO, DE LIMA, OKOCHA, AIMAR, HENRY, ORTEGA N.K!!!!! Ndiomaana Messi yupo katika utatu utakuwa umenielewa mpaka hapo... sasa hapo nani wa kumkamata Messi!! Wote hao ni watoto sana. Na kama huamini ingia mwenyewe google ujionee utawakuta wapo namba ngapi... kwa Cr7 ingawa simpendi lakini ana mafanikio makubwa zaidi ya hao niliowataja hapo juu RED...na yeye pia yumo katika orodha ya wachezaji wa zamani + ZIDANE N.K.
 
Back
Top Bottom