Ronaldo de Lima: Kizazi changu ilikuwa ngumu kuwa bora Duniani

Ronaldo de Lima: Kizazi changu ilikuwa ngumu kuwa bora Duniani

makaveli [HASHTAG]#heshima10[/HASHTAG] yako kwanza...
mkuu hiki kizazi ni moja ya vizazi bora kabisa kuwahi kutokea ..maana messi tu kama mchezaji mmoja lakini anasifa zote ambazo zilikuwa zinapatikana kwa wachezaji mmoja mmoja wa wakati huo wazamani hahaa ndio maana zamani palikuwa na competition kubwa ..ukimuangalia messi vyema utagundua kuwa ana skills .ana drible anaichezesha team .ndiye mtoaji pass za mwisho za magoli na ndiye mfungaji bora wa club na ligi ya Spain wa muda wote...so wataka nini tena ??
Kizazi hiki ni messi tu mkuu, ronaldo kaachwa mbali sama na ronaldo sasa kama ronaldo kaachwa mbali na mtu mfupi, vipi hawa vilaza wengine walioachwa na roboti cr7 mnyama..

Kiukweli ronaldo kizazi cha ronaldo kilikuwa hatari pigia mahesabu ya 94 mpaka 2006 jaribu kuweka majina ya mafundi wa zama zile ndio utakuja kukubali de lima kasema ukweli. Jaribu kuwafananisha na masupastaa wa sasa ni messi na cr7 tu wengi wao watasubiri saana, wachache watafikiriwa kupenya..

Binafsi namkubali na kumuheshimu sana andunje messi baada ya pele.
 
alichokisema Rinaldo kinaukweli kiasi lakini niktika upande wa ushindani wakizazi chao...nasio katk ubora alionao messi ama cristiano ronaldo na wao...ktk hao aliowataja watu wanaopaswa kuingizwa ktk compatation ya baina ya messi na cristiano kwa mbali ni ronaldo mwenyew na zidane bhasiiii na bado ubora wao haufikii hata kwa messi..mtu aliyeweza kupiga goal 91 ktka msimu mmoja mtu aliyeweza kuchkua tuzo NNE bora ya fifa katika miaka mi4 mfululizo ..mtu ambaye ameivusha agentina nakuipeleka world cup tena kwa nguvu zake nzito kiasi Kile mtu ambaye amekuwa anafnya vyema kila baada ya miaka 2 ..waweza kumfananisha nahao kina delima..delima alikuwa nimchezaji mzuri mnoo lakini alizungukwa na wachezaji wazuri pia ktk team yao ya taifa...watu kama gaucho rivaldo na kaka huwezi acha kuwataja mbele ya mafanikio ya delima katk team ya taifa ..ukimtazama messi kuanzi upigaji chenga ..kasi ..uwezo wakutoa Pasi za mwisho mpaka uwezo wakuzifumania nyavu .hakuna wakumuweka level moja nae hapa....kiasi anajitahidi cristiano nanikatk upande wa magoli tu pekee ...lakini sio ukokotaji mpira wala upigaji chenga wla pasi za mwisho na jinsi ambavyo anaichezesha team
Mara kibao tumekuwa tunaona messi akiwa hayupo na barca NAyO haina pumzi..itazame barca ilivyoondokewa na neymar ..ilivyoondokewa na gaucho ..hakuna aliyetegemea kama itakuwa katk level hizi ..yote hiyo nikwaajili ya uwezo wa messi
zidane alikuwa anacontrol mnoo anapiga chenga pia na kuichezesha team pia...but hakuwa mpigaji mzuri wa mipira iliyokufa kama messi hakuwa mwenye uwezo mkubwa wakupiga chenga watu wanne mpka wa tano kama messi ..hakuwa mfungaji bora hata siku moja ..hakuwahi kuwa nakasi kama messi..hakuwahi na pasi za mwisho nyingi kama messi...messi nimchezaji aliyetemia na uwezo wake dhidi hayo wachezaji waliotajwa hapo nivitu vinavyotengana kama maji na mafuta ..messi kawaacha mbali mnoo

Hao aliowataja hawafikii hata ubora wa Neymar Jr. Wale walikuwa wazuri kwa wakati wao, hiki ni kizazi kingine.
 
Kizazi hiki ni messi tu mkuu, ronaldo kaachwa mbali sama na ronaldo sasa kama ronaldo kaachwa mbali na mtu mfupi, vipi hawa vilaza wengine walioachwa na roboti cr7 mnyama..

Kiukweli ronaldo kizazi cha ronaldo kilikuwa hatari pigia mahesabu ya 94 mpaka 2006 jaribu kuweka majina ya mafundi wa zama zile ndio utakuja kukubali de lima kasema ukweli. Jaribu kuwafananisha na masupastaa wa sasa ni messi na cr7 tu wengi wao watasubiri saana, wachache watafikiriwa kupenya..

Binafsi namkubali na kumuheshimu sana andunje messi baada ya pele.
Na ukitaka kufanya hivyo kuhusu viwango waweza kuanzia chini kabisa hapa nyumbani jinsi leo watu wanataka kuwafananisha kina gagarino zamoyoni mwameja issa athumani na method mogela walingane uwezo na vijana wetu wa leo. Ile ligi ya ndovu huku pamba mwanza kule majimaji pale RTC kigoma duh waqt umekwenda wapi ?
 
Nyakati zinakwenda kwa speed ya light..
 
Hao aliowataja hawafikii hata ubora wa Neymar Jr. Wale walikuwa wazuri kwa wakati wao, hiki ni kizazi kingine.
We acha masihara neymar naye mchezaji , Brazil wamepigwa bao saba na huyo jamaa ndani , tena Germany waliwastahi brazil tu
 
Hao aliowataja hawafikii hata ubora wa Neymar Jr. Wale walikuwa wazuri kwa wakati wao, hiki ni kizazi kingine.

Umemaliza kila kitu kaka na mjadala ufungwe.ongeza na Dybala Suarez,iniesta,mbappe na Hazard.
 
Hao aliowataja hawafikii hata ubora wa Neymar Jr. Wale walikuwa wazuri kwa wakati wao, hiki ni kizazi kingine.

Tatizo lao ubishi umewazidi. Yani imefikia Messi analinganishwa nakutakiaDi lima 😀😀😀 ndio maana nikase.a mtu kama hajui mpira aende akafuatilie makatuni.

Level 1
  1. Messi
  2. Diego
  3. Pele

Level 2

  1. Alfredo de stefano
  2. Cruyff
  3. Platini
  4. Puskas
  5. Cr7
  6. Zidane

Level 3

  1. Requelme
  2. Ibrahimovich
  3. Aimar
  4. De lima
  5. Iniesta
  6. Xavi
  7. Dybala
  8. Aguero
  9. Suarez
  10. Di maria
  11. Neimar
  12. Lewandowsky
  13. Okocha
  14. Henry
  15. Gaucho
  16. Etoo n.k

Duh! Wewe jamaa acha kudanganya watu humu na kufanya hawaujui mpira,,, yani de lima amzidi Messi huyu Messi!!! Au unakusudia messi wa mchangani!!! Gaucho na Messi wapi na wapi!! De lima na Messi wapi na wapi Ni kama tembo na sisimizi,,,,, mtake radhi huyu kiumbe ambaye hana mpinzani adi leo hii.

Ili wawe bora zaidi ya King Messi,,, kwanza kabisa wavuke kwa Diego Maradona, Zidane,de stefano, puskas,cruiff na kwa Pele.....baada ya hapo kama watakuwa wamevuka, so walinganishwe na Professor mwenyewe/MESSI......

kwa taarifa yako,,, hivyo vichezaji vyako vingekuwepo kipindi hiki visingeambulia chochote huo ndio ukweli halisi....
Wewe ni mshabiki wa juzi wa messi na Argrntina,Huna cha zaidi unachokijua.
 
Hujui mpira kabisa mkuu, nimesoma comment zako nimegundua umeanza kushabikia mpira miaka ya 2000, nakuambia hivi hao akina mbape sijui hazard na wengine ni mavi tu, mbape?? Kweli?? Amefanya nini kwenye soka.. siku hizi media zimekuza sana wachezaji, ni media tu ndo zimewafanya wawe wakubwa.. hakuna cha maana. Enzi za akina zidane, trazguet, delima, nedved, inzaghi, owen, ilikuwa balaa hakuna wa kufananisha.. na nakuambia hivi sijui kama kitatokea kizazi kama kile katika soka, enzi hizo mpira ulikuwa mtamu bhana.. wazee wa busara mguuni kama akina mzee seedorf, pirlo, del PL,alafu wew unataja mbape, eti ndo tuwafananishe na akiba gaucho.. acha bhana
Mwambia akatizame World Cup final ya 1998,Brazil na France,Brazil akifa 3-0 tena akiwa na kosi bora kabisa.France nae akiwa bora pia.Pia akatizame WC fina 2002 Brazil na Gernany.Ndio atajua sasa hivi media zinatudanganya kuna wachezaji wazuri kumbe ni mpira biashara.
 
Hakika
 
Na ukitaka kufanya hivyo kuhusu viwango waweza kuanzia chini kabisa hapa nyumbani jinsi leo watu wanataka kuwafananisha kina gagarino zamoyoni mwameja issa athumani na method mogela walingane uwezo na vijana wetu wa leo. Ile ligi ya ndovu huku pamba mwanza kule majimaji pale RTC kigoma duh waqt umekwenda wapi ?
Vijana hawataki kusikia hii kitu. Kuna mchezaji alikwenda kwa jina la Said Mwamba aka KIZOTA
 
Tatizo lao ubishi umewazidi. Yani imefikia Messi analinganishwa nakutakiaDi lima 😀😀😀 ndio maana nikase.a mtu kama hajui mpira aende akafuatilie makatuni.

Level 1
  1. Messi
  2. Diego
  3. Pele

Level 2

  1. Alfredo de stefano
  2. Cruyff
  3. Platini
  4. Puskas
  5. Cr7
  6. Zidane

Level 3

  1. Requelme
  2. Ibrahimovich
  3. Aimar
  4. De lima
  5. Iniesta
  6. Xavi
  7. Dybala
  8. Aguero
  9. Suarez
  10. Di maria
  11. Neimar
  12. Lewandowsky
  13. Okocha
  14. Henry
  15. Gaucho
  16. Etoo n.k

Hii umeipitia vizuri kabla hujaipachika humu? Kwenye hayo makundi wafuatao ( tena kwa uchache) umewaachaje

FRANZ BECKENBAUER
CARLOS VALDERRAMA
GEORGE WEAH
HRISTO STOICHKOV

Angalia namna nilivyowaleta ili ujifunze kitu na ntafurahi ukiwazungumzia kidogo (Kama unawafahamu). Asante
 
Back
Top Bottom