hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
basiii achana na hizo takwimu za vijiweni bossMkuu nilizoma somewhere hila sikumbuki vizuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
basiii achana na hizo takwimu za vijiweni bossMkuu nilizoma somewhere hila sikumbuki vizuri
aiseee umeisoma hii content yko vyema kabla ya kuipost ..mkuu mbona haieleweki hahaaUmesoma hizo goli 47 kwa game 49? Piga average halafu piga na hizo zako. DeLima kaweka rekodi kwenye ligi mbalimbali kwa maana ya magoli na kikubwa ni rekodi katika WC ambayo CR7 na Messi wanajukumu la kumfikia Kiongozi wao huyu. Jukumu hilo walifanye vizuri WC hii huko kwa Putin. Kinyume na hapo watuachie Legend awaambie soka ni nini. DeLima[emoji123]
nikumbushe DELIMA alishawahi kumfnya coacher gani apate kiharusi kama ambavyo ameshawahi kufnya messi ..halafu messi hakufnya kwa man u tu..ameshawahi kuwafnya Madrid katk nusu final ya uefa alishamshikisha adabu boarteng juzi juzi tu katoka kumburuza ardhini Marcelo hahaa ..Umesikia ,messi ule mchano aliowachana MAN U mpaka ferguson akatetemeka, de lima zile ndio zilikuw zake, ndio maana mabeki walikuwa wanamuumiza magoti, (mimi sipo kwenye ubishani wa nani Zaidi ), hila mi naona wachezaji mpira wa sasahivi ni soft kuliko wa zamani)
daaahh mkuu hizi habari umezitoa kwa chanzo kipi cha habari .matango pori haya..hahaaa...Sasa hearly tukiacha maneno mengi baadhi ya facts ni hizi hapa
DeLima wakati yuko Barca asilimia ya kufumania nyavu ilikuwa ni 91.9%
Timu ya Taifa 63%
Copa America 2 na Runner-up1
World Cup 2 na Runner-up1
Messi akiwa Barca ufumaniaji nyavu ni 91.6%
Timu ya Taifa 50%
Copa America 0 na Runner-ups3
World Cup 0 na Runner-up1
CR7 akiwa RMadrid kafumania nyavu kwa 104.3%
Timu ya Taifa 54%
EURO 1
Runner-up1
World Cup 0
Runner-up0.
Ufumaniaji nyavu katika timu za Taifa nimechukua tangu walipoanza kuzichezea nchi zao hata wakiwa na umri mdogo. Na kwa Messi nimempendelea kidogo kwa mechi za klabu kwa kuchukua mechi zake zote maana ni club moja tu aliyowahi kuichezea mpaka leo.
NOTE:- HAWA WAWILI WA MWISHO WANA WC HII YA 2018 ILI KUWEKA REKODI ZAO VIZURI. KWA KUWA BINGWA NI MMOJA NAAMINI KATI YA MESSI NA CR7 HAKUNA ATAKAEITWAA NDOO HIYO KUMZIDI DELIMA. HIZI NI FACTS, HUTAKI UNAACHA. TWENDE NA DELIMA [emoji91] [emoji123] [emoji123] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
Post zangu zinaenda kwa mtiririko. Bahati mbaya huzisomi kwa makini mstari kwa mstari. Bahati mbaya hufanyi homework ujue undani wake. Sasa nimekuwekea kumbukumbu chache ili uone jukumu walilonalo hawa vijana wanapokuwa na safari ya kumtafuta DeLima. Ukisema Messi yuko "sayari" nyingine sikuelewi kabisa. Unapoenda sayari nyingine it's obvious kwamba takeoff velocity ni hapahapa duniani. Qn is huyo messi hajaliona kombe la dunia au copa america hadi kayaacha duniani. Hizo runner-ups zilikuwa za nini au ndo yaleyale sizitaki mbichi hizi? Twende na DeLima[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji123]aiseee umeisoma hii content yko vyema kabla ya kuipost ..mkuu mbona haieleweki hahaa
Fanya homework kama ninavyofanya mimi hapa. Nimewasoma wote ndo nikatoka na hiyo executive summary. Hata hivyo kwa swali lako pitia extract hii hapa chini ujifunze kitu kingine. Inaonekana wewe bado sanadaaahh mkuu hizi habari umezitoa kwa chanzo kipi cha habari .matango pori haya..hahaaa...
ronaldo Katka maisha yake amefaulu kutwaa kiatu cha ufungaji bora wa ulaya wa ligi yote ya ulaya Mara 2 tu..messi na rc7 wamechukua hiyo tuzo Mara 8 Mara nne kwa kila mmoja wao..aiseee achana na ufungaji bora wa uefa measi kachukua Mara 3cr7 Mara 4..hizo takwimu wazitoa wapi wewe hahaa
El phenomenaSasa hearly tukiacha maneno mengi baadhi ya facts ni hizi hapa
DeLima wakati yuko Barca asilimia ya kufumania nyavu ilikuwa ni 91.9%
Timu ya Taifa 63%
Copa America 2 na Runner-up1
World Cup 2 na Runner-up1
Messi akiwa Barca ufumaniaji nyavu ni 91.6%
Timu ya Taifa 50%
Copa America 0 na Runner-ups3
World Cup 0 na Runner-up1
CR7 akiwa RMadrid kafumania nyavu kwa 104.3%
Timu ya Taifa 54%
EURO 1
Runner-up1
World Cup 0
Runner-up0.
Ufumaniaji nyavu katika timu za Taifa nimechukua tangu walipoanza kuzichezea nchi zao hata wakiwa na umri mdogo. Na kwa Messi nimempendelea kidogo kwa mechi za klabu kwa kuchukua mechi zake zote maana ni club moja tu aliyowahi kuichezea mpaka leo.
NOTE:- HAWA WAWILI WA MWISHO WANA WC HII YA 2018 ILI KUWEKA REKODI ZAO VIZURI. KWA KUWA BINGWA NI MMOJA NAAMINI KATI YA MESSI NA CR7 HAKUNA ATAKAEITWAA NDOO HIYO KUMZIDI DELIMA. HIZI NI FACTS, HUTAKI UNAACHA. TWENDE NA DELIMA [emoji91] [emoji123] [emoji123] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
HAKIKA [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji91] [emoji91] [emoji91]El phenomena
Kaka nimekubali , c7'na mwenzake ni wachumba tuFanya homework kama ninavyofanya mimi hapa. Nimewasoma wote ndo nikatoka na hiyo executive summary. Hata hivyo kwa swali lako pitia extract hii hapa chini ujifunze kitu kingine. Inaonekana wewe bado sanaView attachment 687582
ninaposema twende na DeLima wewe tufuate tu[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
SASA HAYO MAGOLI 34 YALITOKANA NA MECHI 37. CHUKUA 34/37 X 100= 91.89 approximately to 91.9%. Rudi kwenye hesabu zangu halafu uanze ku trail. Wewe bado sana aisee
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji119] [emoji119]Kaka nimekubali , c7'na mwenzake ni wachumba tu
Ni kwa kuwa tuko humu mitandaoni ndo maana tunapuuzana kirahisi. Mpira tuliucheza zamani na akina Lila Shomari. Lakini kwa sehemu kubwa tulikuwa tukibadilishana uwezo na akina Paulo Rwechungura, akina Bea Simba, Fumo Felician, Clement Kahabuka, Nteze John et al. Yaani ilikuwa ni hivii[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91].sasa wataka messi ahame barca aende katk club..ipi zaidi ya barca na Madrid ...maana hizo ndio club kubwa zinazo worth thamani yake ..sio yakipesa but kiuwezo wa falsafa as club...halafu mkuu una asili ya ubishi sna kwahiyo hoja ya Buffon umeiona yakipuuzi kisha wataka niiamini hoja yako wewe ambaye ukipewa mpira upige jpo Dana Dana 50 huwezi ila unadiriki kumbeza mtu ambaye ni gwiji katk huo mchezo...acha masihara basiiii nataka utoe mafanikio aliyoyapata Rinaldo as individual player ambayo yanamzidi messi na cr7..achana na blahh blaahhh hizo sio sifa za msomi
[emoji1][emoji1][emoji16][emoji23]Wee unashangaa iniesta, mbona hushangai Gaudance Mwaikimba???!!
FIFA ni wabaguzi sana!
Kelvin haule , abbas said kuka, peter tino huyu ni hatari,malota soma, alain shomari, Bwalya, Edd Mohamed, Bakar iddi , maskati said, Julius mwakatika etc , daah long time hiyo, halafu zamani mabeki walikuwa watu wa kazi , gary pallister, captain tony adams, Christian pannuci,mathias sammer,steve bruce, nesta,costacuta etcNi kwa kuwa tuko humu mitandaoni ndo maana tunapuuzana kirahisi. Mpira tuliucheza zamani na akina Lila Shomari. Lakini kwa sehemu kubwa tulikuwa tukibadilishana uwezo na akina Paulo Rwechungura, akina Bea Simba, Fumo Felician, Clement Kahabuka, Nteze John et al. Yaani ilikuwa ni hivii[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91].
Mpira wa enzi hizo ilikuwa burudani sana. Uliweza kucheza na mtu kama Kelvin Haule. Unamkumbuka aisee?
Asantee, hizo beki hazikuwa na lelemama no wonder DeLima alitundika daruga mapema. Hizo beki weka mbali na watoto mkuu. [emoji109]Kelvin haule , abbas said kuka, peter tino huyu ni hatari,malota soma, alain shomari, Bwalya, Edd Mohamed, Bakar iddi , maskati said, Julius mwakatika etc , daah long time hiyo, halafu zamani mabeki walikuwa watu wa kazi , gary pallister, captain tony adams, Christian pannuci,mathias sammer,steve bruce, nesta,costacuta etc
DeLima alijitangaza mwenyewe, mimi nnchofanya ni kuwakumbusha ili tusipotezane. Bahati nzuri nimeleta hapa kilichoko kwenye historia yake. Labda ungenisaidia kitu kipya ambacho kipo leo na DeLima hakukifanya. Gwiji huyo alikuwa na sifa zote unazoziona kwa Messi na CR7. Kukusanya kijiji, kupiga vyenga, kufunga magoli angani na ardhini tena kwa miguu yote. Mpigaji mzuri wa mipira iliyokufa. Uwezo mkubwa wa kumiliki, kukimbia na kuchezea mpira na kote alikocheza alicheza kwa mafanikio makubwa sana.
Nimeandika sana humu ndani ila kwa sababu ni mvivu wa kusoma umekurupuka kama umeshinda hela za Biko. Acha povu soma comments kwanza.Usimfananishe Messi na vitu vya kijinga Mkuu, utaonekana hujui mpira. Messi level nyingine bana.
- Messi
- Diego
- Pele
- Alfredo de stefano
- Johan Cruyff
- Puskas
- Zidane
- Requelme
- Iniesta
- De lima
- Ibracadabra
- Gaucho
- Xavi
- Aimar
- Di maria
- Aguero
- Neimar
- Dybala
- Mbappe
- De bruyn
- Hazard
sasa wataka messi ahame barca aende katk club..ipi zaidi ya barca na Madrid ...maana hizo ndio club kubwa zinazo worth thamani yake ..sio yakipesa but kiuwezo wa falsafa as club...halafu mkuu una asili ya ubishi sna kwahiyo hoja ya Buffon umeiona yakipuuzi kisha wataka niiamini hoja yako wewe ambaye ukipewa mpira upige jpo Dana Dana 50 huwezi ila unadiriki kumbeza mtu ambaye ni gwiji katk huo mchezo...acha masihara basiiii nataka utoe mafanikio aliyoyapata Rinaldo as individual player ambayo yanamzidi messi na cr7..achana na blahh blaahhh hizo sio sifa za msomi
Nimeandika sana humu ndani ila kwa sababu ni mvivu wa kusoma umekurupuka kama umeshinda hela za Biko. Acha povu soma comments kwanza.