Ronaldo de Lima: Kizazi changu ilikuwa ngumu kuwa bora Duniani

Tulia basi ueleweshwe. Nguli mwenyewe kakwambia kile kizazi ni balaa na bahati mbaya umemzungumzia De Lima akiwa timu yake ya Taifa. Muulize Messi mwenyewe analijua balaa la mfumaniaji magoli huyo alipokuwa Barca kabla ya kwenda Seria A. Kule walichuana sana na chuma ya Italy ikienda kwa jina la Del Piero. Kilikuwa kipindi cha aina yake kusema kweli.
hata hujielewi Ronaldo unaye mzungumzia hapa hakuwahi kumaliza msimu kwa goal 40 ktk league yyote ..halafu wasema nimuulize messi kuhusu DELIMA yaani nimuulize messi mchezaji ambaye ameshawahi kumaliza zaidi ya mabao 45 ktk league na sio Mara moja. sasa hapo anayepaswa kuulizwa ninani kati ya DELIMA na messi....hahaa Hivi uko timamu kweli...Ronaldo delima hamfikii messi hata kiduchu...NI sawa na umbali wa mbingu na ardhi au Yale mabao yake mawili aliyowafunga ujerumani katk fainali ya kombe LA dunia ndio inayokupa mawenge ..tena magoli yenyew aliyafunga baada ya kufanywa na kazi nzito ya rivaldo..maana kuna Moira ulipigwa kumfuata rivaldo rivaldo akauruka kuwazuga mabeki kisha Rinaldo akapata nafasi yakupiga bila usufumbufu ..kisha rivaldo alipiga tena shuti Kali ambalo lilimshinda oliver Kahn alipo litema kwakuwa Rinaldo alikuwa katk eneo lake laushambukiaji akakutana na ule Mpira kisha akaumalizia..kisha wataka kumfananisha na messi aliyetaka kumvunja nyonga boateng .kisha akafnga bao ..daahh kuwa serious basii mkuu
 
Ww labda haujamuelewa de lima , de lima messi na ronaldo wanachua uchezaji bora mara kwa mara kwa wachezaji wanaoshindana nao ni dhaifu
ronaldo wivu tu ndio unamsumbua

NGOJA NIKUPE HII..MESSI NA CR7 NI WACHEZAJI WA LEVEL YA U GENIUS ..KINA DELIMA NA GENERATION YKE WALIKUWA NI WACHEZAJI WAKIWANGO CHA LEVEL YA KATI "
ndio maana wakati wao ulikuwa unaushindani kwa sbabu wachezaji wa level ya kati huwa wanakuwaga wengi tofauti na wenye level ya u genius...nimewaona hao wote wakicheza na hkuna wakunidnganya ..UWEZO aliokuwa nao FIGO .ZIDANE .DELIMA .RIVALDO .OWEN .KAKA .BECKAM ..NA UWEZO WALIO NAO KINA NEYMAR OZIL .ASENSIO .HAZARD .SANCHEZ ANGEL DE MARIA COUTINHO ..NI UWEZO SAWA TU WOTE NI WACHEZAJI WAKUBWA WENYE UWEZO WAVIWANGO VYA KATI ..ILA KILICHOPO SASA HAWA WACHEZAJI WALIOPO WAKIWANGO CHAKATI WANASHINDWA KUTOA USHINDANI KWAKUWA WANACHEZA KTK WAKATI MBAYA ULIOTAWALIWA NA HAWA MAGENIUS WAWILI MESSI NA CR7 ...kama wasinge kuwapo hao ma genius basii computation ya hao wachezaji niliokutajia ingekuwapo vile vile kama ilivyokuwa awali kwa kina delima
 
takwimu za UEFA ZINA WATAMBUA YOHAN CRUYF MICHELE PLATIN NA C.RONALDO
KUWA NDIO WACHEZAJI WANAO KAMILISHA TATU BORA YA WACHEZAJI BORA WA MUDA WOTE KUWAHI KUTOKEA DUNIANI ..KISHA ZIDANE ANAFUATIA KWA KUKAMATA NAFASI YA NNE ...hahaaaa halafu DELIMA anakuja kuongea utumbo wake hapa..kabla yakuwa fananisha kina zidane .r.DELIMA .figo .rivaldo na UWEZO WA LM10 WAAMBIE WASHINDANE KWANZA NA HAO KINA YOHAN CRYF KISHA WAKISHA WASHINDA NDIO WAKASHINDANISHWE NA MESSI MAANA MPKA SASA MESSI AMESHAWEKA KWENYE ILE LEVEL YA UTATU MTAKATIFU ...((PELE .MARADONA .MESSI))

bila shaka utakuwa umenipata..
 
hata hujielewi Ronaldo unaye mzungumzia hapa hakuwahi kumaliza msimu kwa goal 40 ktk league yyote ..halafu wasema nimuulize messi kuhusu DELIMA yaani nimuulize messi mchezaji ambaye ameshawahi kumaliza zaidi ya mabao 45 ktk league na sio Mara moja. sasa hapo anayepaswa kuulizwa ninani kati ya DELIMA na messi....hahaa Hivi uko timamu kweli...Ronaldo delima hamfikii messi hata kiduchu...NI sawa na umbali wa mbingu na ardhi au Yale mabao yake mawili aliyowafunga ujerumani katk fainali ya kombe LA dunia ndio inayokupa mawenge ..tena magoli yenyew aliyafunga baada ya kufanywa na kazi nzito ya rivaldo..maana kuna Moira ulipigwa kumfuata rivaldo rivaldo akauruka kuwazuga mabeki kisha Rinaldo akapata nafasi yakupiga bila usufumbufu ..kisha rivaldo alipiga tena shuti Kali ambalo lilimshinda oliver Kahn alipo litema kwakuwa Rinaldo alikuwa katk eneo lake laushambukiaji akakutana na ule Mpira kisha akaumalizia..kisha wataka kumfananisha na messi aliyetaka kumvunja nyonga boateng .kisha akafnga bao ..daahh kuwa serious basii mkuu
Unaongelea fainali ya 2002 kama benchmark yako kwa DeLima? Lazima huu uwe ni utoto. DeLima kacheza kwa mafanikio makubwa akiwa Barca kipindi hicho messi bado kinda kabisa. Akaondoka kwenda Inter Milan na kufanya yake huku akiwakabiri mabeki wenye utata na uwezo mkubwa kabisa katika soka. Hivi uliwahi hata kumsikia Paolo Montero, Maldini au hata Matias Summer? Uliwahi kumsikia Hassan Sasi na Kipa wake Rustu Receba wewe kijana? Waulize wote hao kuhusu huyu jamaa
 
ronaldo wivu tu ndio unamsumbua

NGOJA NIKUPE HII..MESSI NA CR7 NI WACHEZAJI WA LEVEL YA U GENIUS ..KINA DELIMA NA GENERATION YKE WALIKUWA NI WACHEZAJI WAKIWANGO CHA LEVEL YA KATI "
ndio maana wakati wao ulikuwa unaushindani kwa sbabu wachezaji wa level ya kati huwa wanakuwaga wengi tofauti na wenye level ya u genius...nimewaona hao wote wakicheza na hkuna wakunidnganya ..UWEZO aliokuwa nao FIGO .ZIDANE .DELIMA .RIVALDO .OWEN .KAKA .BECKAM ..NA UWEZO WALIO NAO KINA NEYMAR OZIL .ASENSIO .HAZARD .SANCHEZ ANGEL DE MARIA COUTINHO ..NI UWEZO SAWA TU WOTE NI WACHEZAJI WAKUBWA WENYE UWEZO WAVIWANGO VYA KATI ..ILA KILICHOPO SASA HAWA WACHEZAJI WALIOPO WAKIWANGO CHAKATI WANASHINDWA KUTOA USHINDANI KWAKUWA WANACHEZA KTK WAKATI MBAYA ULIOTAWALIWA NA HAWA MAGENIUS WAWILI MESSI NA CR7 ...kama wasinge kuwapo hao ma genius basii computation ya hao wachezaji niliokutajia ingekuwapo vile vile kama ilivyokuwa awali kwa kina delima
IMG_20180130_121458.jpeg
 
Ronaldo is regarded by many in the sport as one of the greatest and most complete forwards of all time.[3][6][85] Dubbed Il Fenomeno (the phenomenon), he was a prolific goalscorer, and despite being more of an individualistic attacker, he was also capable of providing assists for his teammates, due to his vision, passing and crossing ability.[3][86][87] He was an extremely powerful, fast, and technical player, as well as being a composed finisher.[88][89] He was capable of playing in several offensive positions, although his preferred role was that of a striker,[3][90] and he was able to use both feet, despite being naturally right footed.[91][92] Ronaldo was highly regarded for his technical ability, and he is considered one of the most skilful individual dribblers in the game.[93] Along with Brazilian compatriot Romário and African star George Weah, Ronaldo was seen as a new breed of striker in the 1990s who would also operate outside the penalty area before running with the ball towards goal: Ronaldo was frequently capable of beating several players when undergoing individual dribbling runs at speed, and he was also equally competent in one on one situations, due to his ball control, acceleration, agility, balance, quick feet and technical skills.[3][6][93]
 
hahaaaa sasa thirty henry Mani mbele ya mtu kama Pele amabaye amekuwa akisema kuwa messi he is a alien...hizo quote unazo zileta humu zipo kibao zinamuhusu messi so ondoa huu ujinga hapa tuzungumze kwa fact khaaa

Buffon ameshawahi kusema alikuwa haamini kuwa messi ni binaadamu wa kawaida mpka pale alipowahi kushikana nae mikono ..upo hapo
 
hearly huyu hapa Messi akimzungumzia gwiji huyu wa aina yake katika soka

His coach at Barcelona, Bobby Robson, commented: "He was the fastest thing I've ever seen running with the ball. Had he managed to stay free of injury, he had every chance of becoming the best footballer ever", while Lionel Messi states: "He was the best striker I've ever seen. He was so fast he could score from nothing, and could shoot the ball better than anyone."[96] Ronaldinho called Ronaldo "the most complete striker there has ever been."[97] Ronaldo was also a strong and powerful player who could shield the ball from the opposition, with former Italian defender Alessandro Nesta (who faced Ronaldo in a high-profile one on one duel in the 1998 UEFA Cup final) stating: "Ronaldo is the hardest attacker I've ever had to face. He was impossible to stop."[96] With his quick reactions and anticipation, he regularly beat defenders to the ball, and as a finisher he was effective with his head, and could finish well both inside and outside the penalty area.[3] In addition to these attributes, Ronaldo was an accurate free-kick and penalty kick taker.[85] At his physical peak in the 1990s, Ronaldo later became severely affected by serious knee injuries he would suffer from late 1999 onward and the subsequent weight gain during his inactivity, which limited his speed, fitness, and mobility.[3][88]

Nadhani maneno mengine ni kutia mbwembwe tu. Ngoja niendelee na mengine sasa.
 
Unaongelea fainali ya 2002 kama benchmark yako kwa DeLima? Lazima huu uwe ni utoto. DeLima kacheza kwa mafanikio makubwa akiwa Barca kipindi hicho messi bado kinda kabisa. Akaondoka kwenda Inter Milan na kufanya yake huku akiwakabiri mabeki wenye utata na uwezo mkubwa kabisa katika soka. Hivi uliwahi hata kumsikia Paolo Montero, Maldini au hata Matias Summer? Uliwahi kumsikia Hassan Sasi na Kipa wake Rustu Receba wewe kijana? Waulize wote hao kuhusu huyu jamaa
hahaaaa wewe jamaaa ni muongo mkubwa mnooooo ambaye sijawahi kumuona kuwahi kutokea daaaaahhhh mafanikio yapi ambayo ronaldo amewahi kuyapata zaidi ya kuchukua kombe La laga na la mfalme tu ...hebu acha vichekesho basiiii ...
 
soma post namba 91 uwasikilize magwiji kadhaa wakimwongelea mshambuliaji huyu. Messi nae kamwongelea vizuri maana anamfahamu vizuri kuliko wewe. Ukitaka mafanikio yake subiri link ntakuwekea. Uko tayari kupokea gift hiyo bana mkubwa?
 
hearly huyu hapa Messi akimzungumzia gwiji huyu wa aina yake katika soka

His coach at Barcelona, Bobby Robson, commented: "He was the fastest thing I've ever seen running with the ball. Had he managed to stay free of injury, he had every chance of becoming the best footballer ever", while Lionel Messi states: "He was the best striker I've ever seen. He was so fast he could score from nothing, and could shoot the ball better than anyone."[96] Ronaldinho called Ronaldo "the most complete striker there has ever been."[97] Ronaldo was also a strong and powerful player who could shield the ball from the opposition, with former Italian defender Alessandro Nesta (who faced Ronaldo in a high-profile one on one duel in the 1998 UEFA Cup final) stating: "Ronaldo is the hardest attacker I've ever had to face. He was impossible to stop."[96] With his quick reactions and anticipation, he regularly beat defenders to the ball, and as a finisher he was effective with his head, and could finish well both inside and outside the penalty area.[3] In addition to these attributes, Ronaldo was an accurate free-kick and penalty kick taker.[85] At his physical peak in the 1990s, Ronaldo later became severely affected by serious knee injuries he would suffer from late 1999 onward and the subsequent weight gain during his inactivity, which limited his speed, fitness, and mobility.[3][88]

Nadhani maneno mengine ni kutia mbwembwe tu. Ngoja niendelee na mengine sasa.
umeshawahi kumsikia messi akimzungumzia mchezaji yoyote vibaya mkuu ...
mimi nataka tuongee kwa fact hapa...ueleze mafanikio ya DELIMA kama mchezaji binafsi pia tuyataje na mafanikio ya messi kama mchezaji binafsi ..sio waruka ruka tu ..messi ameshawahi kuwazungumzia kina Rooney .lampard .Gerald kuwa niwachezaji bora kabisa katk ulimwengu wa soccer usipagawe na hii article sawa. na mimi cjasema kuwa delima sio mchezaji bora ..but sio mchezaji bora kuzidi level ya messi hicho ndio nilichokueleza mkuu...
Hivi wajua kuwa messi ana rec.ya magoli 91 ndani ya msimu mmoja ..messi ana goli 45 to 50 katk msimu mmoja..nani kukumbushe tu kuwa messi na cr7 sio mastricker ..hebu acha kumfananisha messi na vitu vya kijinga tafadhali
 
soma post namba 91 uwasikilize magwiji kadhaa wakimwongelea mshambuliaji huyu. Messi nae kamwongelea vizuri maana anamfahamu vizuri kuliko wewe. Ukitaka mafanikio yake subiri link ntakuwekea. Uko tayari kupokea gift hiyo bana mkubwa?
mafanikio ya huyo r.delima katk soccer hakuna ambacho sikujui kuhusu yeye..alikuwa ni bonge la striker kuwahi kutokea na diriki kusema kuwa ni striker bora mnoo ambao ulimwengu umewahi kumshudia ..na dunia ya michezo INA thamini mnoo uwepo wake...but unapotaka kumuweka kwenye level ya messi ndio unapo puyanga ..hhaahaa
messi huyu huyu anayewapiga chenga watu kuanzia kwenye kati ya uwanja mpka kwenda kufunga goal ..au wamzungua singano messi wa Simba mkuu
 
Hiyo ndio ilkua real competition ya wanaume Wa kweli sio hii ya hawa mabwenyenye wawili
 
mafanikio ya huyo r.delima katk soccer hakuna ambacho sikujui kuhusu yeye..alikuwa ni bonge la striker kuwahi kutokea na diriki kusema kuwa ni striker bora mnoo ambao ulimwengu umewahi kumshudia ..na dunia ya michezo INA thamini mnoo uwepo wake...but unapotaka kumuweka kwenye level ya messi ndio unapo puyanga ..hhaahaa
messi huyu huyu anayewapiga chenga watu kuanzia kwenye kati ya uwanja mpka kwenda kufunga goal ..au wamzungua singano messi wa Simba mkuu
Hutaki article halafu unataka kubishana ili iweje sasa. Kupiga chenga kutoka katikati ya uwanja ni kazi ambayo DeLima alishaifanya. Umemsoma NESTA beki akiahadithia huyu jamaa. Hivi unasoma kweli? Kama huwezi kusoma nenda you tube uone kazi zake akiwa Barca.

Mafanikio yake ni mengi tangu akiwa Corithians, PSV, Barcelona, RMA, Inter Milan na Timu yake ya Taifa. Is such and real phenomenon, aliyewika katika ligi na mashindano mbalimbali kwa kiwango cha juu kabisa.
 
Back
Top Bottom