Ronaldo de lima(The Real Ronaldo), Ronaldo de asis moreira(Gaucho) na Christiano Ronaldo nani mkali?

Ronaldo de lima(The Real Ronaldo), Ronaldo de asis moreira(Gaucho) na Christiano Ronaldo nani mkali?

Athuman Idd Chuji..

Kati ya hao wote uliowataja hakuna aliyewahi kufikia kiwango cha huyu mtu tofauti yao ni kwamba wao wamezaliwa kwa watu wanaojielewa zaidi yetu..

Huyu Chuji baada ya mechi kuisha kati ya Ivory coast na Tz, Yahya Toure akamuuliza kwanini hauchezi Ligi za Uingereza.??
 
4-Kwa kutikisa mitako uwanjani gaucho hajambo
3-Kwa selfie na umaliziaji Cr7 hajambo
2-Kwa umaliziaji De lima hajambo
1-KWA DRIBBLING NA MAMBO YOTE KING L10 HAJAMBO
 
Athuman Idd Chuji..

Kati ya hao wote uliowataja hakuna aliyewahi kufikia kiwango cha huyu mtu tofauti yao ni kwamba wao wamezaliwa kwa watu wanaojielewa zaidi yetu..

Huyu Chuji baada ya mechi kuisha kati ya Ivory coast na Tz, Yahya Toure akamuuliza kwanini hauchezi Ligi za Uingereza.??
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kila mmoja ana utam wake na kulingana na wakati pamoja na design ya mpira pamoja na mfumo uliokuwa ukitumika, but kwa kuchezea mpira Gaucho mchawi hawez linganishwa na Hawa watoto Mes na Christian
 
Cr7 kawapita mbali hao. japo nipo upande wa KING LION asielinganishwa na vitakataka.
nyoo..kale chipsy snack..mourinho anamuita the real ronaldo sio Christina wako,MTU wa mpira kazi,anaweza kila kitu,chenga,stamina,mbio,ball control,target,ila kwa uzanduuzandu gaucho mtamu..yaan stress lazma ziishe
 
Bila shaka watoto wa juzi ambao hawakubahatka kuangalia World Cup ya 1998 ambayo Chrstiano Ronaldo alkua na miaka 12 na Gaucho bado alkua nyumban Brazil watakuambia Christiano na Gaucho ndio bora...wakati The Phenomenon,Ronaldo De Luis Nazario Lima alikua pale Paris akiwa anachanganya chenga kama baiskel na magoli ya kutosha uwanjan huku akiwa amezungukwa na kna Rivaldo ...ukipata simu ya mtu kama Patrick Kiluvert atakueleza...ila watoto wa juzi watakuambia kua Christiano Ronaldo na Gaucho ni bora kwao....ila Baada ya Pele na Maradona shujaa ni mmoja tu Ronaldo De Luis Nazario Lima(The Phenomenon ).. .kna Zidane wenyewe walkua mastaa wa mechi moja moja ila si mastaa halisi wenye consinstance...MOURNHO NA IBRAHIMOVIC WANAMUITA THE REAL RONALDO
 
Bila shaka watoto wa juzi ambao hawakubahatka kuangalia World Cup ya 1998 ambayo Chrstiano Ronaldo alkua na miaka 12 na Gaucho bado alkua nyumban brazil watakuambia kua Christiano Ronaldo na Gaucho ni bora kwao....ila Baada ya Pele na Maradona shujaa ni mmoja tu Ronaldo De Luis Nazario Lima(The Phenomenon ).. .kna Zidane wenyewe walkua mastaa wa mechi moja moja ila si mastaa halisi wenye consinstance...MOURNHO NA IBRAHIMOVIC WANAMUITA THE REAL RONALDO
Old Trafford walimpigia makofi baada ya kumtungua barthez bao tatu toka mguuni mwake
 
Hao wote makinda tu kwa REAL KING/mzee wa kukusanya kijiji mpaka keeper. Facts evidence and statistics zinajionyesha zenyewe. Kwanini 2umizane wakati kila ki2 kinajionyesha!!!!


Thank you so so so much THE KING LM10
Thank you DIEGO ARMANDO
Thank you ZINEDINE ZIDANE
Thank you ALFREDO DE STEFANO
Thank you PELE
 
El Phenomena... Ronaldo
Ukitaka kumjua huyu mtu vizuri mtafute kipa mmoja maarafu sana wa Ujerumani kipindi hicho anaitwa Oliver Khan.

Kwa sifa alizokuwa nazo Khan kipindi hicho hadi akapewa sifa ya ziada kwa kuitwa 'kipa mwenye mikono elfu moja' lakini mbele ya El Phenomena Ronaldo de Lima (mwaka 2002 hiyo) alitepeta balaa
 
Back
Top Bottom