venchwa
JF-Expert Member
- Aug 5, 2016
- 1,677
- 1,596
Apewe heshimakwa hili, Mie niko upande wa de lima aisee..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Apewe heshimakwa hili, Mie niko upande wa de lima aisee..
Alikuwa anaufanya mpira uonekane simple sanaRonaldinho gaucho Hatari sana
Messi Ana.kombe.gani.la heshima said ya UEFA?Wote hao ni panzi kwa MFALME MESSI.
Yaani watu wanadiriki kumfananisha Gaucho Wa ajabu na watu Wa kawaida?acheni kumfananisha gaucho na watu wa kijinga
[emoji3][emoji3][emoji3]Athuman Idd Chuji..
Kati ya hao wote uliowataja hakuna aliyewahi kufikia kiwango cha huyu mtu tofauti yao ni kwamba wao wamezaliwa kwa watu wanaojielewa zaidi yetu..
Huyu Chuji baada ya mechi kuisha kati ya Ivory coast na Tz, Yahya Toure akamuuliza kwanini hauchezi Ligi za Uingereza.??
nyoo..kale chipsy snack..mourinho anamuita the real ronaldo sio Christina wako,MTU wa mpira kazi,anaweza kila kitu,chenga,stamina,mbio,ball control,target,ila kwa uzanduuzandu gaucho mtamu..yaan stress lazma ziisheCr7 kawapita mbali hao. japo nipo upande wa KING LION asielinganishwa na vitakataka.
Old Trafford walimpigia makofi baada ya kumtungua barthez bao tatu toka mguuni mwakeBila shaka watoto wa juzi ambao hawakubahatka kuangalia World Cup ya 1998 ambayo Chrstiano Ronaldo alkua na miaka 12 na Gaucho bado alkua nyumban brazil watakuambia kua Christiano Ronaldo na Gaucho ni bora kwao....ila Baada ya Pele na Maradona shujaa ni mmoja tu Ronaldo De Luis Nazario Lima(The Phenomenon ).. .kna Zidane wenyewe walkua mastaa wa mechi moja moja ila si mastaa halisi wenye consinstance...MOURNHO NA IBRAHIMOVIC WANAMUITA THE REAL RONALDO
Yaani watu wanadiriki kumfananisha Gaucho Wa ajabu na watu Wa kawaida?
Pale Yokohama kama si Seoul ..Wajeruman hawatakaa wamsahau...Muulize Oliver Khan anamtambua vyema De lima