Namkubali mnoo messi ila usimletee dharau hizo de lima, nafurah wote nimewatizama vizuri tu hakuna niliyesimuliwa, nakwambia hivi hakuna kama de lima ile ni namba 9 hatari na sijui tutampatia wapi kama yule.
Messi ni most complete player in dribbling n passing, kuna aina ya mfumo unambeba unaona national team wakat mwingine huwa anahangaika sana, na ndio maana kuna wapinzani wake wanakwambia messi si mchezji, oohh, sijui kacheza hapo hapo, sikatai,
jaribu kumuweka messi katika mfumo wa mourinho uone tabu yake.. ila de lima ni zaid ya umfikiriavyo kamtizame upya..