Ronaldo de lima(The Real Ronaldo), Ronaldo de asis moreira(Gaucho) na Christiano Ronaldo nani mkali?

Jamaa unaujua mpira na umeuangalia.sana, mjadara.unakuwa mtamu ukikutana na anaye jua kama wewe
Shukrani mkuu..

Majadiliano na mtu anejuwa huwa napenda sana, naenjoy hicho kitu..

Ila kujadiliana na mtu asiejua ni kero inayozaa mabishano yasiyo na msingi. Afadhali mtu asiyejua lakin anaelewa.
 
Nikurekebishe.. de lima hakuwa mmaliziaji, wamaliziaj ni kina inzaghi, chicharito, giroud n.k

De lima alikuwa zaidi ya umfikiriavyo wewe, alikuwa na driblling nzur, ana vitu mguuni, control imelala, vibaiskeli sijui takataka gani alikuwa anavyo mguuni, na mwisho ndio mfungaji..

Mtafute popote alipo ukamuombe radhi..
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
De lima Kuna baiskeli moja alimpigia kipa wa ghana akalala kushoto af mwamba akacheka na nyavu sitaisahau...ila all in all Christiano amewika sana kwa kufunga magoli bila kujali ni ya aina gani ila mnyama gaucho alikua ana vitu adimu mno uwanjani akifuatiwa na De lima...so kwa opinion yangu hapo kwa vitu adimu hapo wa kwanza Gaucho,wa mwisho CR
 
KEVIN ISAYA TAPELI.....WEWE ni TAPELI...UMENITAPELI PESA ZANGU KWA AHADI UTANITUMIA MZIGO WANGU NILIO KUAGIZA BAADA YA MIMI KUFANYA MALIPO.

USIZANI UPO SALAMA KWA PESA ZA ZULMA...IPO SIKU NITAKUKAMATA.NINA USHAHIDI WA MALIPO NILIYOFANYA KWAKO NA SMS ULIZOKUWA UNANITUMIA ZA UPDATE YA MZIGO MPAKA UKAINGIA MITINI.

WEWE NI TAPELI...NGOJA NIKIPATA LIKIZO NITAENDA KWENYE UBALOZI KUKUSHTAKI WEWE NI JAMBAZI.
 
Tangu mpira ugunduliwe duniani sijamuona mtaalamu wa mpira kma Gaucho.....Yule mtu Ni kiumbe wa ajabu akiwa na mpira mguuni mwake...
Yaani ni kma alitoka nao kutoka tumboni mwa mamayake
 
KEVIN ISAYA TAPELI.....WEWE ni TAPELI...UMENITAPELI PESA ZANGU KWA AHADI UTANITUMIA MZIGO WANGU NILIO KUAGIZA BAADA YA MIMI KUFANYA MALIPO.

USIZANI UPO SALAMA KWA PESA ZA ZULMA...IPO SIKU NITAKUKAMATA.NINA USHAHIDI WA MALIPO NILIYOFANYA KWAKO NA SMS ULIZOKUWA UNANITUMIA ZA UPDATE YA MZIGO MPAKA UKAINGIA MITINI.

WEWE NI TAPELI...NGOJA NIKIPATA LIKIZO NITAENDA KWENYE UBALOZI KUKUSHTAKI WEWE NI JAMBAZI.
Heeeee wewe jamaa uliandikaga Uzi humu kuhusu kutapeliwa kwako.......Na huyu bwana...
Kwani hujalipwa badooo
 
KEVIN ISAYA TAPELI.....WEWE ni TAPELI...UMENITAPELI PESA ZANGU KWA AHADI UTANITUMIA MZIGO WANGU NILIO KUAGIZA BAADA YA MIMI KUFANYA MALIPO.

USIZANI UPO SALAMA KWA PESA ZA ZULMA...IPO SIKU NITAKUKAMATA.NINA USHAHIDI WA MALIPO NILIYOFANYA KWAKO NA SMS ULIZOKUWA UNANITUMIA ZA UPDATE YA MZIGO MPAKA UKAINGIA MITINI.

WEWE NI TAPELI...NGOJA NIKIPATA LIKIZO NITAENDA KWENYE UBALOZI KUKUSHTAKI WEWE NI JAMBAZI.
kevin isaya
Njoo ulipe vya watu...
Mbona sio fair mkuu kumtapeli mwanafamilia mwenzetu wa JF....
Jf ni ndugu mkuu
Chojoa vya watu mkuu
 
Nikurekebishe.. de lima hakuwa mmaliziaji, wamaliziaj ni kina inzaghi, chicharito, giroud n.k

De lima alikuwa zaidi ya umfikiriavyo wewe, alikuwa na driblling nzur, ana vitu mguuni, control imelala, vibaiskeli sijui takataka gani alikuwa anavyo mguuni, na mwisho ndio mfungaji..

Mtafute popote alipo ukamuombe radhi..
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Anafkiria De Lima kama christiano ronaldo, yule kipa wa Ghana alifanywa vibaya na De Lima kwwnye WC 2006. De Lima anadriblle na anafanya kila kitu akiwa na mpira, hakuwa mviziaji kama akina Benzema.
 
De lima alikuwa anaujua mpira, mtu wa kazi, control, skills za kumwaga, speed anayo, akitaka lake atalipata, sio mtu wa kuguswa na kuanguka anguka kama anadege dege kabla ya pancha yake, alikuwa na target, alikuwa na stamina..

Niliinjoi mnoo kumtazama uwanjan, mara kwa mara narudia baadhi ya game zake.. huyu mtu ni hatari namba 9 bora toka nianze kutizama mpira.
Na jamaa hakuwa na matamaa ya ufungaji wa magoli kama christiano ila alikuwa anacheza mpira wa kawaida sana uliojaa burudani. Hata timu pinzani zilimpenda jamaa.
 
Delima nisawa tu na heri Kane, sijaona hadhi ya kuingia kwenye group la cr7 na gaucho
 
Kwanza mtoa mada ni mwizi, amekuja baada ya kuona watu wanesahau, chukueni tahadhari na huyu mtu
 
Christiano Ronald na loner mess wamepokezana baron deor Kwa kuwa zama zako hizi Hawana ushindani mkubwa ktk soka. Vipaji vya soka vimepungua Sana. Ndio mana unaona Nchi nyingi tu zilizokuwa kzinawika kisoka zipo chini. Angalia km uholanzi ufaransa Cameron Nigeria uingereza Italy. Hazipo vzr kisoka. Wachezaji wenye vipaji Binafsi wamapungua Sana au hawapo kbs. Sababu hiyo umefanya mess na Ronaldo waonekane peke yao tu. Ukweli Huko nyuma kulikuwa na wachezaji waliokuwa wanaujua mpira Kama wamezaliwa nao. Watu km kina Pele kina gaucho De Lima Beckham Zidane Louis figo jj kocha J weah na wengineo wengi WA zama zile isingekuwa rahisi Kwa mess na Ronaldo kuchukua mfululizo baron deor. Pia hata uteuzi wa tuzo hao umejaa ukakasi
 
De Lima halinganishwi na hawa ndugu.Alikuwa ni zaidi ya burudani.
 
Na jamaa hakuwa na matamaa ya ufungaji wa magoli kama christiano ila alikuwa anacheza mpira wa kawaida sana uliojaa burudani. Hata timu pinzani zilimpenda jamaa.
Cr7 anajua kitu kinachomuweka kwenye chati ni magoli hana mpira wa maana kuwasumbua hawa magwiji.. ndio maana huwa anahaha kusaka goli..

Hawa unaona walikuwa wanacheza mpira wamerelax, wanainjoi kile wanachokifanya, cr7 akitaka kufanya jambo unaona kabisa anafosi, anajikaza kweli kweli..
 
Delima nisawa tu na heri Kane, sijaona hadhi ya kuingia kwenye group la cr7 na gaucho
[emoji23] [emoji23] [emoji23] heri kane[emoji23] [emoji23] [emoji23]

[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] kwaherini mie nasepa, imefikia r9 anafananishwa na harry kane [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji35] [emoji35]
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] sepa tu mkuu hamna shida
 
wajukuu wangu nitawasimulia story za De Lima na Messi!..
 
KEVIN ISAYA TAPELI.....WEWE ni TAPELI...UMENITAPELI PESA ZANGU KWA AHADI UTANITUMIA MZIGO WANGU NILIO KUAGIZA BAADA YA MIMI KUFANYA MALIPO.

USIZANI UPO SALAMA KWA PESA ZA ZULMA...IPO SIKU NITAKUKAMATA.NINA USHAHIDI WA MALIPO NILIYOFANYA KWAKO NA SMS ULIZOKUWA UNANITUMIA ZA UPDATE YA MZIGO MPAKA UKAINGIA MITINI.

WEWE NI TAPELI...NGOJA NIKIPATA LIKIZO NITAENDA KWENYE UBALOZI KUKUSHTAKI WEWE NI JAMBAZI.
mkuuu si tumeshawasiliana
 
Back
Top Bottom