Ronaldo de lima(The Real Ronaldo), Ronaldo de asis moreira(Gaucho) na Christiano Ronaldo nani mkali?

Ronaldo de lima(The Real Ronaldo), Ronaldo de asis moreira(Gaucho) na Christiano Ronaldo nani mkali?

Namkubali mnoo messi ila usimletee dharau hizo de lima, nafurah wote nimewatizama vizuri tu hakuna niliyesimuliwa, nakwambia hivi hakuna kama de lima ile ni namba 9 hatari na sijui tutampatia wapi kama yule.

Messi ni most complete player in dribbling n passing, kuna aina ya mfumo unambeba unaona national team wakat mwingine huwa anahangaika sana, na ndio maana kuna wapinzani wake wanakwambia messi si mchezji, oohh, sijui kacheza hapo hapo, sikatai, jaribu kumuweka messi katika mfumo wa mourinho uone tabu yake.. ila de lima ni zaid ya umfikiriavyo kamtizame upya..
emoji35.png
emoji35.png
emoji35.png
emoji35.png


emoji35.png
emoji35.png
emoji124.png
emoji124.png
emoji124.png
emoji124.png
emoji124.png
emoji35.png
emoji35.png
emoji35.png

King MESSI!!!! Kumuweka katika mfumo wa mourinho___je! Umejuwaje kama atapata tabu?? Wakina morata,costa fabregas n.k wameweza,,KING ashindwe nini sasa. Sometimes tuweke na akiba ya maneno.


Ni dhambi kubwa kumfananisha King Messi na vikapuku waliopita na wa sasa.
 
King MESSI!!!! Kumuweka katika mfumo wa mourinho___je! Umejuwaje kama atapata tabu?? Wakina morata,costa fabregas n.k wameweza,,KING ashindwe nini sasa. Sometimes tuweke na akiba ya maneno.


Ni dhambi kubwa kumfananisha King Messi na vikapuku waliopita na wa sasa.
Usiniambie tu kwanin ashindwe, niambie kwanin aweze, morata, costa, fabregas ni wao si messi, ni watu tofauti...

Ila morata yupi kaweza kufanikiwa kwa mourinho, nahis maneno ya akiba ubaki nayo wewe mkuu, huwez kumfananisha costa na messi, wala fabregas na messi, kosa kubwa sana hilo unalotaka kufanya..
 
KEVIN ISAYA TAPELI.....WEWE ni TAPELI...UMENITAPELI PESA ZANGU KWA AHADI UTANITUMIA MZIGO WANGU NILIO KUAGIZA BAADA YA MIMI KUFANYA MALIPO.

USIZANI UPO SALAMA KWA PESA ZA ZULMA...IPO SIKU NITAKUKAMATA.NINA USHAHIDI WA MALIPO NILIYOFANYA KWAKO NA SMS ULIZOKUWA UNANITUMIA ZA UPDATE YA MZIGO MPAKA UKAINGIA MITINI.

WEWE NI TAPELI...NGOJA NIKIPATA LIKIZO NITAENDA KWENYE UBALOZI KUKUSHTAKI WEWE NI JAMBAZI.
aiseeeee pole mkuu
 
1.Ronaldo Luís Nazário de Lima

Heshima
Club
Cruzeiro[6]
Campeonato Mineiro (1): 1994
Copa do Brasil (1): 1993

PSV Eindhoven[6]

Barcelona[6]

Inter Milan[6]
Real Madrid[6]
Corinthians[6]
International
Brazil[6]
Individual


kwa kifupi De lima hajawahi kubeba UEFA ila amebeba makombe mengi yenye heshima zaid ya UEFA zaid ya RONALDINHO NA CHRISTIANO
WORLD CUP 2
CONFEDERATION CUP 2

haya hakuna ambaye kashayafikia hata mmoja

PIA ni mchezaji bora wa dunia mara TATU 1998,2002, 2003
FIFA ballon dor 2001, NA 2002 MARA MBILI KABLA HAZIJATENGWE MWAKA
2009
JUMLA TUZO TANO ZA FIFA WORLD BEST PLAYER



2. RONALDINHO GAUCHO

HESHIMA NA TUZO
Club
Paris Saint-Germain
Barcelona
Milan
Atlético Mineiro
International
Brazil[157]
Individual
MCHEZAJI BORA WA DUNIA MARA 2 2005 NA 2006 NA FIFA BALLON DOR 2005 NA 2006 KABLA HAIJATENGANISHWA


KOMBE LA DUNIA MOJA NA CONFEDERATION CUP 1
naye yuko juu ya christiano ronaldo
ana UEFA 2


3. CHIRSTIANO RONALDO

PAMOJA NA KUWA NYUMA YAO NA YA MESII PIA NAYE NI MKALI.
Ronaldo presenting his third Ballon d'Or to fans at the Santiago Bernabéuin January 2015
Club
Sporting CP
Manchester United[544]
Real Madrid[544]
International
Portugal
Individual
NIMEMKUBALI DE LIMA ZAID,

COMMENT KWA FACTS
Daaah, umewagusa watu mafundi watupu,daaar mimi siwezi kuwafananisha hawa watu!
 
Hebu.ona hii video.mtu anapiga post.amefunga.kitambaa.kichwani.na usoni kwa kweli usipoangalia video.hii.kulaaniwa,, gaucho

 
Usimfananishe Ronaldo De Luis Nazario Lima (The Phenomenon ) na watoto wadogo...apo anayemkarbia kwa mbali ni Ronaldnho Gaucho
Gaucho ni soccer megician.. Kwa mpira wa entertainment hakuna duniani aliyewahi kutokea kama yeye
 
Mwambie atuletee gaucho alipo kwenye 10 bora. Najua hawezi kuleta
Ndugu Gaucho ni soccer megician hajawahi tokea mwingine duniani wenda itakayokuja.. Huyu mtu aliufanya mpira kuwa rahisi kuliko kitu kingine chochote.. Ukiwa umechukizwa basi kaa kwenye tv yko angalia clip za ronaldinho stress free..
 
Back
Top Bottom