Ronaldo de lima(The Real Ronaldo), Ronaldo de asis moreira(Gaucho) na Christiano Ronaldo nani mkali?

kevin isaya
Njoo ulipe vya watu...
Mbona sio fair mkuu kumtapeli mwanafamilia mwenzetu wa JF....
Jf ni ndugu mkuu
Chojoa vya watu mkuu
mkuuu wangu haina shida hiyo sisi tumeshawasiliana na kukubaliana na kumuelewa nini tatizo kwahiyo kuwa na amani kevin isaya is honorable person , icone
 

King MESSI!!!! Kumuweka katika mfumo wa mourinho___je! Umejuwaje kama atapata tabu?? Wakina morata,costa fabregas n.k wameweza,,KING ashindwe nini sasa. Sometimes tuweke na akiba ya maneno.


Ni dhambi kubwa kumfananisha King Messi na vikapuku waliopita na wa sasa.
 
Usiniambie tu kwanin ashindwe, niambie kwanin aweze, morata, costa, fabregas ni wao si messi, ni watu tofauti...

Ila morata yupi kaweza kufanikiwa kwa mourinho, nahis maneno ya akiba ubaki nayo wewe mkuu, huwez kumfananisha costa na messi, wala fabregas na messi, kosa kubwa sana hilo unalotaka kufanya..
 
aiseeeee pole mkuu
 
Daaah, umewagusa watu mafundi watupu,daaar mimi siwezi kuwafananisha hawa watu!
 
Hebu.ona hii video.mtu anapiga post.amefunga.kitambaa.kichwani.na usoni kwa kweli usipoangalia video.hii.kulaaniwa,, gaucho

 
Wote hao ni panzi kwa MFALME MESSI.
Umeandika ambacho hakifikirimi hv Messi unaweza kumlinganisha na gaucho au de lima.. Hasogei hata kidg.. Kipindi hiki washindani wachache na hakuna uwezo binafsi
 
Usimfananishe Ronaldo De Luis Nazario Lima (The Phenomenon ) na watoto wadogo...apo anayemkarbia kwa mbali ni Ronaldnho Gaucho
Gaucho ni soccer megician.. Kwa mpira wa entertainment hakuna duniani aliyewahi kutokea kama yeye
 
Mwambie atuletee gaucho alipo kwenye 10 bora. Najua hawezi kuleta
Ndugu Gaucho ni soccer megician hajawahi tokea mwingine duniani wenda itakayokuja.. Huyu mtu aliufanya mpira kuwa rahisi kuliko kitu kingine chochote.. Ukiwa umechukizwa basi kaa kwenye tv yko angalia clip za ronaldinho stress free..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…