DesertStorm
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 3,131
- 2,537
Ndugu Gaucho ni soccer megician hajawahi tokea mwingine duniani wenda itakayokuja.. Huyu mtu aliufanya mpira kuwa rahisi kuliko kitu kingine chochote.. Ukiwa umechukizwa basi kaa kwenye tv yko angalia clip za ronaldinho stress free..
ivo ulivotaja anamzidi kwa kiuhalisia au maneno ya mdomoni?nyoo..kale chipsy snack..mourinho anamuita the real ronaldo sio Christina wako,MTU wa mpira kazi,anaweza kila kitu,chenga,stamina,mbio,ball control,target,ila kwa uzanduuzandu gaucho mtamu..yaan stress lazma ziishe
Mourinho mpaka leo anasema anamfaham Ronaldo mmoja tu - the phenomenon!Bila shaka watoto wa juzi ambao hawakubahatka kuangalia World Cup ya 1998 ambayo Chrstiano Ronaldo alkua na miaka 12 na Gaucho bado alkua nyumban Brazil watakuambia Christiano na Gaucho ndio bora...wakati The Phenomenon,Ronaldo De Luis Nazario Lima alikua pale Paris akiwa anachanganya chenga kama baiskel na magoli ya kutosha uwanjan huku akiwa amezungukwa na kna Rivaldo ...ukipata simu ya mtu kama Patrick Kiluvert atakueleza...ila watoto wa juzi watakuambia kua Christiano Ronaldo na Gaucho ni bora kwao....ila Baada ya Pele na Maradona shujaa ni mmoja tu Ronaldo De Luis Nazario Lima(The Phenomenon ).. .kna Zidane wenyewe walkua mastaa wa mechi moja moja ila si mastaa halisi wenye consinstance...MOURNHO NA IBRAHIMOVIC WANAMUITA THE REAL RONALDO
kwa vichekesho vingine vya namna hii bonyeza desertstorm.Huyo ni nyanya kwa KUN AGUERO.
Hao wachumba tu kwa KING MESSI. Mtu alienza kufatilia soka kitambo anajua haswaa Messi ndiye baba wa soccer asie na mpinzani.
Dah,[emoji23][emoji23][emoji23] aiseh, hivi hao mabeki wa kawaida ndio kina nani kwa mfano?Kila mmoja ni mkali kwa wakati wake,
Ronaldo de Lima alicheza kipindi kinachoaminika kuwa na mabeki Wa kawaida tofauti na sasa, mabeki Wa sasa so rahisi kuwalinganisha na mabeki Wa zamani,
Hapa hakuna usawa katika kumpata alie bora zaidi ya mwenzake zaidi ya mapenzi binafsi
Me nadhani kila mmoja ni bora katika muda/kipindi chake
Alikaa nje misimu miwili mfululizo alivyovunjwa na Nesta,De lima alikuwa anaujua mpira, mtu wa kazi, control, skills za kumwaga, speed anayo, akitaka lake atalipata, sio mtu wa kuguswa na kuanguka anguka kama anadege dege kabla ya pancha yake, alikuwa na target, alikuwa na stamina..
Niliinjoi mnoo kumtazama uwanjan, mara kwa mara narudia baadhi ya game zake.. huyu mtu ni hatari namba 9 bora toka nianze kutizama mpira.