DesertStorm
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 3,131
- 2,537
Ndugu Gaucho ni soccer megician hajawahi tokea mwingine duniani wenda itakayokuja.. Huyu mtu aliufanya mpira kuwa rahisi kuliko kitu kingine chochote.. Ukiwa umechukizwa basi kaa kwenye tv yko angalia clip za ronaldinho stress free..
Ndugu huo ni mtazamo wako binafsi,,,alakini wanaolijua soka zaidi yetu wanatambua uwezo wa messi. Hakuna wa kariba yake