Buffon anastaili. Ishu ya kuchukua vikombe sio kigezo sahihi. Wengi wamebeba vikombe. Tatizo ni ushabiki tu.....wapiga kura wote team Messi vs Team Cr7hebu suggest sasa nani anafaa halafu uchakachue huyo uliemchagua performance yake na hao watu zinaendana?? me naanza na Buffon
Naomba unijuze pale Bayern alipochukua UEFA,Bundasiliga. Mchezaji gani alienda alibeba Baloon D'Or? Mimi naungana na Morinho ku-criticize hii tuzo kwa miaka ya hivi karibuni imepoteza mvuto kabisa tena akibeba tena CR7 itakua haina maana kabisa. Hii tuzo ilikua haitazami vikombe tu.....ilikua inatazama na indivual performance ya mchezaji . Performance ya CR7 kwa sasa si nzuri kabisa ni kutokana na umri wake. Napenda Messi na CR7 wasipewe hii tuzo kabisa kinyume na hapo ni kuwakatisha moyo wachezaji wengine kuwa ni ngumu kupata hii tuzo hata ukijituma.
Mazingahombwe gani?? Mbona hajayafanya ili waingie UEFA na kuchukua laliger??Messi sio mchezaji wa mpira ni mwanamazingaombwe hio ndo fani yake
Hili jibu limejitoshereza, no question again, bigup brooKatika Msimu huu Mesi ni sawa na Mwanafunzi ambaye alikuwa anafauli vizuri katika Mitihani ya Ndani ya shule na alikuwa anaongoza sana ila Mtihani wa Taifa Ronald kafauli ingawa alikuwa wa Kawaida katika mitihani ya Ndani...
Mess ni boraa sana ila msimu huyu huyu rival wake ndo atachkukua ballon d'or
sawa lakini msimu wote kaonekana mechi 3 tu. mbili vs Bayern na 1 vs Atletico. SWALI: Unakumbuka jinsi Romosi alivokuwaga anaibeba Madrid tena dakika za mwisho anaharibu matokeo. Wapo wengi wameifanya Madrid kung'ara msimu huu tofauti na mviziaji . Watu wanapiga kazi we unatengewa tu. Tazama assist za Cr7 ni dhaifu sana huwa atafuti mipira na kutia chengaaa ......!Cr7 kasaidia timu yake saana, msimu Cr7 ni bora sana
Hawajasema impact ya magoli kwenye timu.Mesi amefunga magoli mengi lkn hayana impact kubwa kwa timu yake, Ronaldo amefunga magoli machache na Hasa ktk mechi muhimu sana, na kupelekea Madrid kufikia malengo ya jumla ktk msimu!
Kwangu Ronaldo amekuwa bora
Wakikereka tuma tena.
Mimi Messi.hebu suggest sasa nani anafaa halafu uchakachue huyo uliemchagua performance yake na hao watu zinaendana?? me naanza na Buffon
Kabisa Mkuu, mafundi akina Xavi, Sneider, Iniesta n.k wamebaki kushika nafasi ya 3 na kuendelea.Buffon anastaili. Ishu ya kuchukua vikombe sio kigezo sahihi. Wengi wamebeba vikombe. Tatizo ni ushabiki tu.....wapiga kura wote team Messi vs Team Cr7
Duh....kama mizoga
Huyu ndie mfalme tulienae.
[emoji146]. Leo.... lapurga Leo... king leo
Messi
Ronaldo ni mmaliziaji Mzuri saana, ipo hivyo. Ila linapokuja suala la perfomance yake kitimu ni ndogo.sawa lakini msimu wote kaonekana mechi 3 tu. mbili vs Bayern na 1 vs Atletico. SWALI: Unakumbuka jinsi Romosi alivokuwaga anaibeba Madrid tena dakika za mwisho anaharibu matokeo. Wapo wengi wameifanya Madrid kung'ara msimu huu tofauti na mviziaji . Watu wanapiga kazi we unatengewa tu. Tazama assist za Cr7 ni dhaifu sana huwa atafuti mipira na kutia chengaaa ......!
mh babu messi
[emoji146]. Leo.... lapurga Leo... king leo
Messi