Babarazack
Senior Member
- Sep 9, 2015
- 132
- 156
kadri android version inavyozidi kupanda ndivyo security inakua tight zaidi hivyo izo apps haziwezi kuwa reliableIle kingroot sijui? Nimeisahau aiseh
Kuna makosa ulifanya wakati una unroot na nadhani ulitumia app ku unroot,kuna wakati zinabahatisha hazimalizi zoezi zima zinamodify system files kama host file na kusababisha matatizo kama hayoKuna kipndi niliroot simu baada ya ku unroot google play wakanizuia kudownload appa
Sent using Jamii Forums mobile app
Maelezo yote yapo mwanzo wa threadTecno Spark 2
KA7
Mwongozo Wa Kuiroot.
Wengine, labda mpaka tupasuliwe kichwa ndio tunaweza kushika MAFUNDISHO!Kuwasiliana na mtaalam moja kwa moja lakin kam mtu anakichwa kizuri anaweza fata procedure na akafanikiwa bila shida
Hapana ni vile unavyojichukuliaWengine, labda mpaka tupasuliwe kichwa ndio tunaweza kushika MAFUNDISHO!
Chief nina Galaxy M10 (SM - M105F) nipe muongozo/LInk... nijimalize mwenyewe..Hapana ni vile unavyojichukulia
Ingekua hivyo ata jf usingeweza kuitumia
Mpaka latest android version kwa kutumia custom rom kama lineage os na Android 10 aosp
Root Samsung Galaxy M10 SM-M105F/G/M/Y Pie 9.0 using TWRP and Magisk - Android InfotechChief nina Galaxy M10 (SM - M105F) nipe muongozo/LInk... nijimalize mwenyewe..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatua ni zile zile
Hii ni kwa ajili ya kupeana ujuzi,Fuata izo hatua kwa umakini utafanikiwa
Nina shughuli zingine Hii hua ni hobby yangu
Umetumia njia zipi?INFINIX HOT 8 LITE
KILA NJIA NINAYOTUMIA IMESHINDIKANA
Model gani