Root simu ya android yoyote ukitumia magisk

Root simu ya android yoyote ukitumia magisk

Umefanikiwa kuroot?


  • Total voters
    24
Kuna kipndi niliroot simu baada ya ku unroot google play wakanizuia kudownload appa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna makosa ulifanya wakati una unroot na nadhani ulitumia app ku unroot,kuna wakati zinabahatisha hazimalizi zoezi zima zinamodify system files kama host file na kusababisha matatizo kama hayo
 
Back
Top Bottom