Mkuu usiseme humshaur mtu kuroot,,hizo challenge ulizokutana nazo ni bora ungeomba msaada jins ya kutatua kuliko kusema humshaur mtu...
Tunaoijua root huwez kutuambia kitu...nipo na magisk hapa,module kama zote
Sent using Jamii Forums mobile app
Umetumia root gan? Tumia magisk kisha hide hiyo app ya SamsungMandishi kama hayo yananisumbua sana baadhi sehemu
Umetumia root gan? Tumia magisk kisha hide hiyo app ya Samsung
Kweny magisk manager kuna option ya magisk hide...sasa hide app zile zisizotaka rootMagic manager ninayo, na pia kuna mandishi haya yanakuja kila mda juu dk15, nusu saa, lisaa au masaa 2, ukifuta yanatokea tena, ukiweka masaa 2 yatarudi baada ya huo mda, ila hamna sehemu ya kublock mazima.
Ukirestart simu ikiwaka yanatokea
Mkuu naomba kujua ni kwa nini Tecno LC 6 zinagoma?? Pia unaweza kuroot simu bila msaada wa computer ? Haswa zenye Os version 8+Cha msingi ni kuwa makini na kufata hatua zote bila kufoji ni makosa madogo madogo sana yanayopuuzwa hupelekea kubrick simu
Hii njia Tecno Pouvoir 3 Air LC6 vizuri tu kama umejaribu imegoma basi kuna sehemu unakosea.Mkuu naomba kujua ni kwa nini Tecno LC 6 zinagoma?? Pia unaweza kuroot simu bila msaada wa computer ? Haswa zenye Os version 8+
Hii inatokea hasa kwenye note series kuanzia ya 3,hapo Umetrip Knox eFuse,ni ngumu kuirejesha lakini unaweza kumaster reset kutoa error ya kwanza na ya pili itabaki vile vile,njia nyingn kubypass knox kupitia magisk v12 na kuendelea ambayo ni ngum kidogoMandishi kama hayo yananisumbua sana baadhi sehemu
Tumia iyo njiaJisigani ya kuroot infinix hot 8
Tumia iyo njia ya magisk
Kwanza lazima ujue GSF Device Id ya simu yakoMsaada namna ya kufanya playstore iwe certified View attachment 1652808
Mkuu, hautaki kutembelewa?Nina shughuli zingine Hii hua ni hobby yangu
KaribuMkuu, hautaki kutembelewa?
Inategemea,kama unacommon sense na uwezo wa kuelewa faida ni nyingi sana hasara kubwa pekee ni kuvoid warrant lakini kama hauna vyote common sense pamoja na uwezo wa kuelewa basi hakuna faida ya kuroot simu bora uendelee kupiga na kupokea pamoja na kudownload apps playstoreHasara ni nyingi kuliko faida
Umefanikiwa?