Root simu ya android yoyote ukitumia magisk

Root simu ya android yoyote ukitumia magisk

Umefanikiwa kuroot?


  • Total voters
    24
Mkuu usiseme humshaur mtu kuroot,,hizo challenge ulizokutana nazo ni bora ungeomba msaada jins ya kutatua kuliko kusema humshaur mtu...

Tunaoijua root huwez kutuambia kitu...nipo na magisk hapa,module kama zote

Sent using Jamii Forums mobile app

Mandishi kama hayo yananisumbua sana baadhi sehemu
 

Attachments

  • QuickScreencapture_20200607-105538.png
    QuickScreencapture_20200607-105538.png
    39.7 KB · Views: 14
Umetumia root gan? Tumia magisk kisha hide hiyo app ya Samsung

Magic manager ninayo, na pia kuna mandishi haya yanakuja kila mda juu dk15, nusu saa, lisaa au masaa 2, ukifuta yanatokea tena, ukiweka masaa 2 yatarudi baada ya huo mda, ila hamna sehemu ya kublock mazima.

Ukirestart simu ikiwaka yanatokea
 

Attachments

  • 20200607_111529.png
    20200607_111529.png
    41.2 KB · Views: 11
Magic manager ninayo, na pia kuna mandishi haya yanakuja kila mda juu dk15, nusu saa, lisaa au masaa 2, ukifuta yanatokea tena, ukiweka masaa 2 yatarudi baada ya huo mda, ila hamna sehemu ya kublock mazima.

Ukirestart simu ikiwaka yanatokea
Kweny magisk manager kuna option ya magisk hide...sasa hide app zile zisizotaka root
 
Cha msingi ni kuwa makini na kufata hatua zote bila kufoji ni makosa madogo madogo sana yanayopuuzwa hupelekea kubrick simu
Mkuu naomba kujua ni kwa nini Tecno LC 6 zinagoma?? Pia unaweza kuroot simu bila msaada wa computer ? Haswa zenye Os version 8+
 
Mkuu naomba kujua ni kwa nini Tecno LC 6 zinagoma?? Pia unaweza kuroot simu bila msaada wa computer ? Haswa zenye Os version 8+
Hii njia Tecno Pouvoir 3 Air LC6 vizuri tu kama umejaribu imegoma basi kuna sehemu unakosea.
Bila kutumia computer utaangaika sana na chance ya kutokufanikiwa ni kubwa
 
Mandishi kama hayo yananisumbua sana baadhi sehemu
Hii inatokea hasa kwenye note series kuanzia ya 3,hapo Umetrip Knox eFuse,ni ngumu kuirejesha lakini unaweza kumaster reset kutoa error ya kwanza na ya pili itabaki vile vile,njia nyingn kubypass knox kupitia magisk v12 na kuendelea ambayo ni ngum kidogo
 
Msaada namna ya kufanya playstore iwe certified View attachment 1652808
Kwanza lazima ujue GSF Device Id ya simu yako

  1. Angalia GSF Device-ID ya simu yako. Kuna app iko play store inaitwa ‘Device ID‘, lakini kwa vile huwezi kuaccess Play Store nenda kwenye hii link mirrored the application here download Iyo app
  2. Fungua iyo app na copy code iliopo kwenye mstari wa pili inaitwa “Google Service Framework (GSF).”
  3. Nenda kwenye hii website link this webpage.
  4. Ingiza GSF Device-ID yako kwenye box lq “Android ID”.
  5. Kisha bonyeza “Register”, registered ID yako itatokea kwenye hiyo page.
 
Hasara ni nyingi kuliko faida
Inategemea,kama unacommon sense na uwezo wa kuelewa faida ni nyingi sana hasara kubwa pekee ni kuvoid warrant lakini kama hauna vyote common sense pamoja na uwezo wa kuelewa basi hakuna faida ya kuroot simu bora uendelee kupiga na kupokea pamoja na kudownload apps playstore
 
Back
Top Bottom