Mkali huyo ambaye jina lake halisi ni Rosary Robert, mzaliwa wa Moshi Tanzania, leo kupitia ukurasa wake wa Instagram awakumbusha wakali wenzie kadhalika na mashabiki kuwa yeye ndio rappa Bora Afrika tena kiujumla.
"I AM THE GODDESSSSS! 👑. Hakuna rapper ambaye ananizidi Africa nzima. Nawapenda, Nlnawaheshimu na nasikiliza miziki yenu. Lakini mimi ndiye Rapper bora Africa! Sio rapper bora wa kike, bali Rapper bora kiujumla!
Kama unabisha bonyeza link kwenye bio yangu upate uhakika! #BLUEPRINT ✊🏾🔥" - ameandika Goddess.
Tazama Hii Michano Hapa Kwenye Hii Nyimbo yake Mpya , Alafu utoe maoni yako kama ni kweli