saleni
JF-Expert Member
- Apr 6, 2019
- 1,880
- 2,843
Tuzo kapata chemical.Mkali huyo ambaye jina lake halisi ni Rosary Robert, mzaliwa wa Moshi Tanzania, leo kupitia ukurasa wake wa Instagram awakumbusha wakali wenzie kadhalika na mashabiki kuwa yeye ndio rappa Bora Afrika tena kiujumla.