Rosa Ree "Mimi Ndio Rappa bora Africa Nzima Kwa Wanawake na Wanaume"

Rosa Ree "Mimi Ndio Rappa bora Africa Nzima Kwa Wanawake na Wanaume"

Nisichopenda kutoka kwake ni ile Tabia ya kuachama na kutoa ulimi nje km nyoka anataka kulamba unga.

Huwa ananikera sn

Vinginevyo anajitahidi kuchana,Ila siyo mkali kuliko waanahipo wote Africa,mwepesi sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wee ni mkorofi mnooo.
 
Huyu mwanamke nahitaji konekshen zake nimuweke ndani,nampenda sana
 
Back
Top Bottom