Rosa Ree "Mimi Ndio Rappa bora Africa Nzima Kwa Wanawake na Wanaume"

Mkali huyo ambaye jina lake halisi ni Rosary Robert, mzaliwa wa Moshi Tanzania, leo kupitia ukurasa wake wa Instagram awakumbusha wakali wenzie kadhalika na mashabiki kuwa yeye ndio rappa Bora Afrika tena kiujumla.
Tuzo kapata chemical.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…