Goliath mfalamagoha
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 602
- 2,506
Armenia leo waziri mkuu ameondolewa madarakani na nguvu ya umma huko saa hizi ni sherehe.Tarehe 26 mwezi wa 4 ni noma aisee! They're trying soo hard to find the CHADEMA connection there but in vain.
Kamanda gani anakamatwa?? Au Kamanda uchwara?? Plus Advocate uchwara!!BREAKING NEWS!
Kuna taarifa kuwa Kamanda Rose Mayemba amekamatwa na Polisi Mkoani Njombe, taarifa za awali wanasema ni Uchochezi wa Maandamano!!
Yupo mikononi mwa Polisi muda huu na wanapanga kwenda kumfanyia upekuzi Nyumbani kwake
Mlioko Njombe tafadhari fuatilieni jambo hili.
Edwin Enosy Swalle AdvocateView attachment 754531View attachment 754533View attachment 754535
Hapa haiwezi tokea na makamanda uchwara kama wewe!!Armenia leo waziri mkuu ameondolewa madarakani na nguvu ya umma huko saa hizi ni sherehe.
Wanajaribu kuzuia mafuriko kwa mikono!
Kuna taarifa kuwa Kamanda Rose Mayemba amekamatwa na Polisi Mkoani Njombe, taarifa za awali wanasema ni Uchochezi wa Maandamano!!
Yupo mikononi mwa Polisi muda huu na wanapanga kwenda kumfanyia upekuzi Nyumbani kwake
Mlioko Njombe tafadhari fuatilieni jambo hili.
Edwin Enosy Swalle Advocate
The last kickingsTarehe 26 mwezi wa 4 ni noma aisee! They're trying soo hard to find the CHADEMA connection there but in vain.
Hiyo ni Armenia mkuu,Armenia leo waziri mkuu ameondolewa madarakani na nguvu ya umma huko saa hizi ni sherehe.