Tetesi: Rose Mayemba amekamatwa na Polisi Mkoani Njombe

Goliath mfalamagoha

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2012
Posts
602
Reaction score
2,506
Kuna taarifa kuwa Kamanda Rose Mayemba amekamatwa na Polisi Mkoani Njombe, taarifa za awali wanasema ni Uchochezi wa Maandamano!!

Yupo mikononi mwa Polisi muda huu na wanapanga kwenda kumfanyia upekuzi Nyumbani kwake

Mlioko Njombe tafadhari fuatilieni jambo hili.
Edwin Enosy Swalle Advocate

FB_IMG_1524498826704.jpg
 
Kwani huyu ni nani
 
MNA makamanda wanaohamasisha kwa uvaaji wao wa kuonesha ndani ya nyeti zao.
 
Back
Top Bottom