Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Simjui,ila namuombea Mungu amtilie wepesi.Imethibitika sasa Hilda Newton yuko Central Polisi, msamalia mwema aliyemuona muda mchache uliopita anasema amepigwa sana na wanataka kumshtaki kwa Makosa ya Mtandao.
Soma Pia: Sintofahamu yatawala CHADEMA: Siku ya Pili Kada Hilda Newton hajaonekana
View attachment 3315115
Yeye anakujua kweli?Simjui,ila namuombea Mungu amtilie wepesi.
Hongera PTYeye anakujua kweli?
Mama anaupiga mwindi hadi unamwagika walahi.Imethibitika sasa Hilda Newton yuko Central Polisi, msamalia mwema aliyemuona muda mchache uliopita anasema amepigwa sana na wanataka kumshtaki kwa Makosa ya Mtandao.
Soma Pia: Sintofahamu yatawala CHADEMA: Siku ya Pili Kada Hilda Newton hajaonekana
View attachment 3315115
We unafaidika nini,mdada wa watu akiteswa kinyume na haki?Hongera PT
Na Mumgu awabariki na kuwapatia iliyostahiki yao.Hongera PT
Magufuli ndo alikua mwema sio saivi ni kiongozi wa malaikaHii ndiyo faida ya kushangilia kifo cha Magufuli
Watashindana lakini hawatashindaImethibitika sasa Hilda Newton yuko Central Polisi, msamalia mwema aliyemuona muda mchache uliopita anasema amepigwa sana na wanataka kumshtaki kwa Makosa ya Mtandao.
Soma Pia: Sintofahamu yatawala CHADEMA: Siku ya Pili Kada Hilda Newton hajaonekana
View attachment 3315115
Watavuna tuMavuno yamekaribia.....
Nadhani polisi wangeachana kabisa na hizi little dramas kwasababu zinawachafua tuImethibitika sasa Hilda Newton yuko Central Polisi, msamalia mwema aliyemuona muda mchache uliopita anasema amepigwa sana na wanataka kumshtaki kwa Makosa ya Mtandao.
Soma Pia: Sintofahamu yatawala CHADEMA: Siku ya Pili Kada Hilda Newton hajaonekana
View attachment 3315115
Ngoja tuone wataishia wapiNadhani polisi wangeachana kabisa na hizi little dramas kwasababu zinawachafua tu