PreGE2025 Rose Mayemba: Hilda Newton yuko Central Polisi amepigwa sana na wanataka kumshtaki kwa Makosa ya Mtandao

PreGE2025 Rose Mayemba: Hilda Newton yuko Central Polisi amepigwa sana na wanataka kumshtaki kwa Makosa ya Mtandao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wafanya fujo wote wadhibitiwe haraka. Wanasiasa wasiteke amani na maendeleo ya nchi yetu pendwa Mama Tanzania.
 
Kama alikuwa kazini kwa maana ya kwa kazi yake hiyo anajipatia riziki (mkate wa Kila siku) ,yupo sahihi.

Lakini kama hakuna chochote anachopata kwa kushadadia mambo ya siasa na wanasiasa, anakosea sana. Huo muda anaoupoteza ni bora angefanya kazi zake za kumuingizia kipato.

Mungu amsaidie
 
Mungu akujaalie Uungwana
 
Mungu akujaalie Uungwana
Wanasiasa ni watu hovyo sana. Wanahamasisha raia kufanya matendo kinyume na maagizo ya serikali halafu wanaenda kupigwa na kuumizwa pasipo malipo yyt. Wakati huo wao (wanasiasa) Wana mishahara na posho , sio fair na haikubaliki.

Halafu hayo mnayoaminisha umma kuwa mnawapigania haki zao kamwe haitokaa yakapatikana zaidi ya kumwagana damu hakuna faida yyt ile raia wataipata.

Sanasana watawasaidia mpate nafasi mnazozipigania kisha mtawatelekeza kama makarai yanayotumika kujenga magorofa hapo kariakoo
 
Imethibitika sasa Hilda Newton yuko Central Polisi, msamalia mwema aliyemuona muda mchache uliopita anasema amepigwa sana na wanataka kumshtaki kwa Makosa ya Mtandao.

24 April 2025
Dar es Salaam, Tanzania
1745577882870.jpeg

Hilda Newton, an activist, journalist, and member of CHADEMA, was arrested today. Her crime was posting on social media about the Tundu Lissu treason case proceedings. Tanzania's constitution permits open court proceedings for criminal cases.
1745577923706.jpeg
 
Imethibitika sasa Hilda Newton yuko Central Polisi, msamalia mwema aliyemuona muda mchache uliopita anasema amepigwa sana na wanataka kumshtaki kwa Makosa ya Mtandao.

Soma Pia: Sintofahamu yatawala CHADEMA: Siku ya Pili Kada Hilda Newton hajaonekana

View attachment 3315115
Ifikie wakati watu wenye elimu ya chuo kikuu ndiyo waajiriwe kuwa polisi. Haya mambo ya kuokoteza watoto wa kota wanaovuta bangi na waliofeli form four, matokeo yake ndiyo haya sasa.

Kwa nini umpige mtu bila ya sababu za msingi? Kwa nini mpaka leo majeshi ya polisi na magereza yanaendeshwa kwa muundo kama ule wa Kikoloni tulio usoma kwenye somo la Historia?
 
Hawa hawa wachuo wanaomsemea mama au hawa wa akina Mwijaku
 
Back
Top Bottom