Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Asee hakuna polisi katili duniani kama ya Tz
Huwezi kuona anatesa wazanzibar wenzakeSamia acha kutesa watu
Gentleman,Imethibitika sasa Hilda Newton yuko Central Polisi, msamalia mwema aliyemuona muda mchache uliopita anasema amepigwa sana na wanataka kumshtaki kwa Makosa ya Mtandao.
Soma Pia: Sintofahamu yatawala CHADEMA: Siku ya Pili Kada Hilda Newton hajaonekana
View attachment 3315115
Mungu aipe laana CCM ianguke na siku ya kuanguka viongozi wake na wafuasi wake wageuke machizi ikibidi wafe kifo cha mbwa mwiziImethibitika sasa Hilda Newton yuko Central Polisi, msamalia mwema aliyemuona muda mchache uliopita anasema amepigwa sana na wanataka kumshtaki kwa Makosa ya Mtandao.
Soma Pia: Sintofahamu yatawala CHADEMA: Siku ya Pili Kada Hilda Newton hajaonekana
View attachment 3315115
Jeshi letu la Polisi halina weledi hata kidogo. Na watawala wamekosea sana kujifungamanisha na vyombo vya usalama! Na jeshi letu la wananchi limekuwa kama linaongozwa na mapoyoyo, hivi wanashindwa nini kuwakemea Polisi waache ukandamizaji kwa raia? Wenzetu Kenya wameweza kuwadhibiti Polisi maana wakijidai tu mtaani hapakaliki wanapotea mmoja baada ya mwingine!Mapolisi mbona mnatuonea hivi? Tuacheni tupambane na CCM.
Mungu tusimpe majukumu ambayo siyo yake! Hapa ni sisi raia ndio tunatakiwa kuwadhibiti Polisi waache kuibeba CCM!Mungu aipe laana CCM ianguke na siku ya kuanguka viongozi wake na wafuasi wake wageuke machizi ikibidi wafe kifo cha mbwa mwizi
Viherehere wacha kiwapate!Simjui,ila namuombea Mungu amtilie wepesi.
Mwanaume una lalama,unaomba msaada mahakamani dhidi ya binti mdogo hivyo?!!hiki kidada kinafaaa kipewe kesi ya uhaini ili kinyongwe hadi kufa hakina maana kabisa
Wapumbavu wakubwa hawa mbwaImethibitika sasa Hilda Newton yuko Central Polisi, msamalia mwema aliyemuona muda mchache uliopita anasema amepigwa sana na wanataka kumshtaki kwa Makosa ya Mtandao.
Soma Pia: Sintofahamu yatawala CHADEMA: Siku ya Pili Kada Hilda Newton hajaonekana
View attachment 3315115
Ipo siku na ndugu yako yatamkuta atanyongwa mpaka kufaMwanaume una lalama,unaomba msaada mahakamani dhidi ya binti mdogo hivyo?!!
Mwasisi wa mauovu yote haya.Hii ndiyo faida ya kushangilia kifo cha Magufuli
Badaye huwa wanaishi maisha ya ajabu sana utawaonea hurumaAsee hakuna polisi katili duniani kama ya Tz
UmekurupukaIpo siku na ndugu yako yatamkuta atanyongwa mpaka kufa