Fanyeni kazi zenu za kuwapatia riziki kihalali mambo mengine yasiyo wahusu achaneni nayo, unampambania Mmatumbi kwa lipi, hawa ambao wanatukana walimu wao waliowafundisha kusoma na kuandika kwamba ni malofa wasio na akili, fomu foo felia??
Watu wanawaza Ngono 24/7 hata kuwatunza wazazi wao ni kipengere, hamjui shida wanazo pitia watawala kuifanya hii inji ionekane inji kati ya inji zingine zinazojielewa.
Ungeni mkono juhudi, mabadiliko yakafanyike chini ya kivuli cha kijani.. hawa wengine watakula walikopeleka mboga. Uana harakati Bongo??
Mwenye Nguvu mshauri tu ikishindikana mpishe. Fanya mambo yako!!