PreGE2025 Rose Mayemba: Hilda Newton yuko Central Polisi amepigwa sana na wanataka kumshtaki kwa Makosa ya Mtandao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kupigwa ni sawa na kumhukumu mtu, hii imekaaje? Maelezo yake akayatoe mahakamani na aeleze alivyopigwa.
 
Ni wewe kweli? Duh...
 
Ni wewe kweli? Duh...
Mama yake na Alfonse Mawazo anaishi maisha magumu kupindukia baada ya mwanaye kuuawa kikatili sana kwenye harakati za siasa na wanasiasa. Hao aliokuwa akisimama Alfonse majukwaani kuwanadi hakuna chochote wanachoisaidia ile familia.

Siasa ni ajira ,ukiamua kumpambania mtu apate ajira kwa njia ya siasa ilhali wewe hufaidiki chochote ~ kwangu mimi naona ni kujipotezea muda.
 
Fanyeni kazi zenu za kuwapatia riziki kihalali mambo mengine yasiyo wahusu achaneni nayo, unampambania Mmatumbi kwa lipi, hawa ambao wanatukana walimu wao waliowafundisha kusoma na kuandika kwamba ni malofa wasio na akili, fomu foo felia??
Watu wanawaza Ngono 24/7 hata kuwatunza wazazi wao ni kipengere, hamjui shida wanazo pitia watawala kuifanya hii inji ionekane inji kati ya inji zingine zinazojielewa.

Ungeni mkono juhudi, mabadiliko yakafanyike chini ya kivuli cha kijani.. hawa wengine watakula walikopeleka mboga. Uana harakati Bongo??
Mwenye Nguvu mshauri tu ikishindikana mpishe. Fanya mambo yako!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…